Ina maana maji mengi yanatibu Taifod?vile vile pendelea sana kunywa maji mengi ni dawa numbari moja.
Mkuu kaongea kamaliza hapa....Chemsha maji ya kunywa, usile vitu vichafu, zingatia usafi wa chakula sometime mazingira yanachangia ugonjwa kurudi hivyo wewe unadhani wa kudumu kumbe mazingira unayoishi ni majanga
Ukitumia dawa za hospitali hujapona maradhi yako nione nipate kukutibia ili uweze kupona maradhi yako uguwa pole.Wapendwa tafadhali mwenye kuijua dawa ya typhoid sugu ya asili please nijulishe hapa.
Chukua majani ya mpera, na majani ya embe machanga, kitunguu swaum na limao then yablend pamoja kwenye limao ukimaliza kukamua weks na maganda yaan ile ngozi ya kijani sio ganda loteKwa yeyote anayejua tiba mbadala ya typhoid please naomba msaada.Nikisema mbadala namaanisha matunda,mizizi,mimea ama vyakula.
Bwana Yesu asifiwe.
===============
Ila mkuu hauumwi taiphoid huu ugonjwa huws ni wa mlipuko kama kipindupindu na ni ugonjwa mkubwa sana. Ndo maana hospitali ndogo hawaruhusiwi kuupima wala kuutibu. Mm nimesumbuliwa sana na huu ugonjws hospitsli binafsi na nimekunywa sana dawa baadae nikaamua kwenda rufaa nikaambiwa sina taifod na kipimo chake huchukua siku 4 hadi7 ndo majibu ya toke. Cha ajabu ukipima hospitali ndogo ndani ya nusu saa huwa wametoa majibu. Hiki huwa ni kipimo cha awali hata kama unaminyoo utaambiwa ni taifod.Hii nimepimwa kwenye zahanati ya Kazini.Hii ni baada ya mfululizo wa kuumwa tumbo hasa wakati wa usiku kama nimebeba kitu kizito tumboni.Nilishaenda kwenye zahanati hiyo nikapewa dawa zilizonisaidia kiasi.Nilipoona tumbo linaaza tena ndio nikaenda na kukuta sina maleria wala vile vidudu vya kwanza.na ndipo walipochukua uamuzi wa kunipima typhoid na kunikuta nayo.kwa sasa sijaanza kutumia dawa walizonipa hospital ila natumia vitunguu saumu,mpka hapo nikikuta havinisaidii.
Kwa ufupi nadhani hawako kibiashra zaidi ila pengine ujuzi ndio ishu
Asante sana binafsi nitajaribuChukua majani ya mpera, na majani ya embe machanga, kitunguu swaum na limao then yablend pamoja kwenye limao ukimaliza kukamua weks na maganda yaan ile ngozi ya kijani sio ganda lote
Then kunywa ikiwa fresh asubuhi mchana na jion kwa siku 7. Kwa neema ya Mungu utapata kupona