Jf.doctor,tafadhali naomba,msaadawako nduguyangu. Tangia mwaka 2000.hadisasa ugonjwahuu wa taiphod hauchezi mbali nami kwa marayakwanza nililazwa katika hospl ya merrystopes,mjini moshi. Ilikua mwaka 2000. Tangia sikuhio nimekua mhanga wa ugonjwa huu plz hebu nifamishe nakosea wapi? Mimi ni mtu ninaejali afya kuliko kitu kingine doct. Nisaidie tafadhali.