Ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid) na tiba mbadala

Habari za siku ya leo wapendwa Once again I wish you siku njema
Endelea kusaidia Ndugu jamaa au rafiki anayesumbuliwa na Typhoid.
 
Nimeboresha Kidogo kwa wale wenzangu na mimi wanao ongea lugha ya mayai wanaweza kufuatilia bila shida sasa
 
Jamani naumwa typhoid inaoonyesha dalili za kuwa sugu, maana natibu kikamilifu lakini baada ya miezi mitatu naumwa tena na nikipima nakuta typhoid ipo positive

Nahakikisha nakunywa maji yaliyochemshwa, chakula cha moto, na mpaka maji ya kuoga na kupigia mswaki naweka waterguard lakini bado nasumbuliwa na huu ugonjwa


Wanaojua dawa yake espesially ya kienyeji nifahamisheni haraka muokoe maisha yangu


Kuna dawa ipo hapa JF nimeitangaza kama bado tatizo linakusumbua tuwasiliane
Hii dawa inatibu kabisa typhoid na ukishaitumia immune yako itapanda sana na hautaugua tena typhoid. Nilikuwa na Typhoid miaka 5 na tangu nitumie sijawahi tena kupata tatizo hilo nasukutua maji yasiyochemshwa na Morogoro nimeishi lakini sijapata tena problem
 
I have a relative with Chronic Typhoid and I would like to give it a trial!
Does it mean I have to pay first ?

My First impression after 3 days of using the dawa has been so far so good! Alikuwa anatembea kainama halafu anakaza sana misuli ya tumbo lakini tangu aanze kutumia naona anaanza kufunguka! Maumivu ya tumbo anakiri yamepungua kiasi kikubwa! It might be too early to compliment your Kalulu but suffices to say so far so good!
 
My First impression after 3 days of using the dawa has been so far so good! Alikuwa anatembea kainama halafu anakaza sana misuli ya tumbo lakini tangu aanze kutumia naona anaanza kufunguka! Maumivu ya tumbo anakiri yamepungua kiasi kikubwa! It might be too early to compliment your Kalulu but suffices to say so far so good!

Hiyo ni habari njema sana! Natumai wengi watakuja na ushuhuda, Hebu tuungane kuwasaidia wale walio na matatizo haya na wamesumbuka mda mrefu bila mafanikio
 
I was moved by the story about the mom and her 12 yr daughter! Im glad her misery is over now!
 
Unasaidia sana,but hujawajali wa2 wa vpato vya chini 7bu weng wanahitaj but hawawez kumud gharama hyo kaka!
 
Unasaidia sana,but hujawajali wa2 wa vpato vya chini 7bu weng wanahitaj but hawawez kumud gharama hyo kaka!

Pesa isiwe kikwazo! Nimeshaugua ugonjwa huu nafahamu kikamilifu kile ambacho mtu hupitia hasa inapokuwa sugu! Yaani una anza dose na unajua hautapona Gosh!!!! It kills!!!!!
Unaweza kulipa kigodo kidogo just onyesha kuwa unahitaji. Wengi wamepona na wamerudi kushukuru na kiasi hata zaidi ya elf 50
 
Fanya jambo la msaada kwa ndugu au jamaa yako leo!Mwambie kuhusu dawa hii wengi imewasaidia
 
Dozi ELF 50 unalipa kwa installment 2, 25 unachukua Dawa unaenda kutumia ukishapona unaleta inayobaki!
 
Habari njema Rafiki yangu wa Bagamoyo ambaye ametumia dawa hizi kwa wik 2 zilizopita ameniandia ujumbe kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 4 amekutwa hana TYPHOID

Hii ni habari njema sana!
 
Mi naona tatizo ni hizo waterguards, inawezekana ni feki....maana siku hizi bwana feki zimetapakaa....jaribu kununua kwenye big pharmacies (zile zenye hadhi ya kuprotect)

Sent from my BlackBerry
 
wadudu wengi wa typhoid wamekuwa sugu kwa cipro na chloramphenicol . dawa nzuri siku hizi azithromycin. unakunywa gramu moja siku ya kwanza na kunywa nusu gramu kwa siku tano zinazofuata. utakuwa unajitibu lakini wale wad udu sugu huwamalizi hivyo hurudi tena.
 
Niwatakie siku jumapili njema! Fanya tendo la wema msaidie yule anayesumbuliwa na typhoid
 
Back
Top Bottom