Ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid) na tiba mbadala

kuna dawa zinaitwa C-TAX T,ni tablet zina offer 96% clinical cure ya typhoid fever.itafute hyo.
 
MziziMkavu tiba ya aloe vera ni glass ngapi maana umeweka kutwa mara mbili tu bila ufafanuzi wa kina:rolleyez::rolleyez:
 
Last edited by a moderator:
wadudu wa typhoid wamekuwa sugu sana siku hizi na dawa nyingi hazitibu. kuna dawa moja tu kiboko. tumia azithromycin 1g kwa siku ya kwanza harafu tumia 500mg kwa siku tano zinazobaki. cure rate ni zaidi ya 95% na recurrence ni almost zero. achana na cipro na chloramphenicol.
 
=========Latest Update =======

Nduguznguni
Ninapenda kuwaletea habari njema
Nimeendelea kupata taarifa kutoka kwa wale wote waliotumia dawa hii, habari ni njema. Wote wameponaaaaa! Wengine wamekuwa wakisumbuka kwa miaka
Ndani ya siku 7 tu tatizo limekwenda
Naendelea kutoa wito Tafadhali kama una mtu anasumbuliwa na Typhoid MLETE tumsaidie
Nawashukuruni sana kwa ushirikiano wenu

===========xxxxxxx===========



Hakuna kitu Kibaya kama kuwa na Ugonjwa Sugu. Unameza dawa lakini huna tumaini la kupona! Typhoid Sugu inaweza kukupelekea kifo! Bahati mbaya dozi za ugonjwa huu ni antibiotics ambazo huwa ni nyingi na unaweza kumeza kwa week kadhaa! Madhara ya matumizi ya antibiotics kwa muda mrefu sote tunayajua

Kama unatatizo la Typhoid, Jibu la matatizo yako ni hili hapa! Kalulu ni Dawa ya miti shamba ambayo haina masharti yeyote ya waganga wa kienyeji! Ni Mzizi unaotokana na mti pori ambayo huchimbwa na kisha kukaushwa na kusagwa.

Humaliza tatizo la Typhoid Ndani ya siku 7 tu! Dawa hii haina side effect yeyote ni tulivu tumboni! The only effect utakayoiona ni kulainisha choo utakapo anza kuitumia.

Kama una Ndugu, Jamaa au Rafiki mwenye shida hii tafadhali mpatie namba hii hapa chini, ilia pate msaada wa tatizo lake

+255 756 637966
Au ni PM nitakupa details zote
Usiponipata Hewani acha ujumbe nitakupigia !!!!

Are you troubled with Frequent Typhoid Fever? Did your Dr tell you you have a Chronic Typhoid?
Well Well I tell you what! You got a solution to your problem! Kalulu is the Natural herb that cures Chronic Typhoid for just 7 days
An ingestion of a tea spoonful of the grounded roots of the herb three times a day for 7 days gives you complete cure of the disease that can be very very persistent sometimes.
Being a victim of Chronic Typhoid I spent five trying to get rid of the disease with a variety of antibiotics without a success.
In that desperate attempts, I came across the herb that brought back my life once again.Since then I have prescribed to many and the result have been simply astonishing
If you have a same problem, or it is your friend, please I ask you to try this herb! It is purely natural herb without any ingredients. It will give you the relief you have been looking for a very very long time

IMG_20130725_082515.jpg
 
HOMA YA MATUMBO (Typhoid fever)
Ni ugonjwa unaoenezwa na bacteria jamii ya salmonella. Huenezwa kupitia maji yasiyo salama,chakula na kupitia mtu mwenye vjidudu hivyo bila dalili.

DALILI: Awali ni kama za malaria. Kujisikia joto linalopanda hadi kufikia 103-105F (39-40¬¬¬¬C), maumivu

ya kichwa,misuri, na kukosa hamu ya kula. Baada ya juma kama mbili hivi kuharisha kwaweza kuanza. Kama

matibabu hayatatolewa mgonjwa atazidi kuathilika hatimaye kifo.

TIBA ZAKE: Chagua Dawa mojawapo kwako wewe itakuwa ni Rahisi kuitumia na kuipata.
  • Miche ifwatayo itumike kumpa enema mgonjwa au kumpampu kwa njia ya bomba la sindano. Wakia mbili au cc 50-60 za dawa majani ya Red respbarry, magome ya White ork, au Magome ya mninga au Wild alum mizizi.
  • Songwa, ni mmea wa mashambani sio mti: Chuma majani 10 au kijiko kimoja cha chai kama imesagwa kuwa unga, koroga katika glasi moja ya maji moto. Ikiwa ni majani pika maji yachemke, kisha epua, ndipo uyatie hayo majani katika hayo maji mara moja, yakipoa kunywa.
    Dozi hiyo ni kwa siku 10 hadi 14. Dozi: Wazima kikombe 1 cha chai kutwa mara tatu kwa siku 7—14 kutegemea na ugonjwa. Vijana zaidi ya miaka 12 nusu kikombe cha chai kutwa mara tatu. Miaka 6-12 robo kikombe kutwa mara tatu Miaka 2-5Kijiko kikubwa mara tatu kutwa.
  • Msongwa; mti mkubwa wenye kutoa matunda yenye uchachu. Chemusha magome yake au yasage uwe unga.
    Dozi; Gome la ukubwa kiganja lichemshwe katika maji bilauri 6 kwa dakika 10, kisha kunywa vipimo kama namba mbili hapo juu.
  • Aloe vera; tumia dozi hiyo mara mbili. chemsha uwe unakunywa kutwa mara 2.
  • Tangawizi na jira; Saga viwe unga, tumia kijiko kimoja katika glasi moja la maji x2 kutwa. Pia tatizo la kuhara damu na la Amoeba tumia hiyo hiyo..
  • Sogoya:, nao ni mmea wa mashambani sio mti: Chuma majani 10 au kijiko kimoja cha chai kama imesagwa kuwa unga, koroga katika glasi moja ya maji moto. Ikiwa ni majani pika maji yachemke, kisha epua, ndipo uyatie hayo majani katika hayo maji mara moja, yakipoa kunywa. Dozi hiyo ni kwa siku 10 hadi 14.

aloverab.jpg

Aloe Vera Mshubiri



Mkuu MziziMkavu asante sana kwa kutupatia elimu hii. Sasa naomba kukuuliza, huku town huwa kuna wale jamaa wanaotembeza Miche (majani)ya Aloe vera ambayo imeshang'olewa toka shamba huenda ikawa na siku mbili au tatu tangu ing'olewe.

1. Je hiyo itakuwa salama kwa matumizi yaan haitakuwa imeishiwa ubora wake??

2. Je naweza kuichemsha na kuihifadhi katima jokofu kwa matumizi ya juma zima?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu asante sana kwa kutupatia elimu hii. Sasa naomba kukuuliza, huku town huwa kuna wale jamaa wanaotembeza Miche (majani)ya Aloe vera ambayo imeshang'olewa toka shamba huenda ikawa na siku mbili au tatu tangu ing'olewe.

1. Je hiyo itakuwa salama kwa matumizi yaan haitakuwa imeishiwa ubora wake??

2. Je naweza kuichemsha na kuihifadhi katima jokofu kwa matumizi ya juma zima?

Mi sidhani Kama Hilo jani likikaa siku mbili linakuwa na faida tena, maana cha muhimu sio majani ni hiyo GEL iliyopo ndani. Sasa After two days hiyo gel si itakuwa imekauka?
 
Last edited by a moderator:
Namna nzuri ya kujizuia na typhoid ni kuhakikisha unatumia vitu vitakavyoimarisha immunity yako. Kwa kawaida typhoid ni immunosuppressive!
 
I have a relative with Chronic Typhoid and I would like to give it a trial!
Does it mean I have to pay first ?

Just some little advance to show that you are committed.
Utaleta vipimo vya maabala tunavis scan na kuvipost hapa with withheld ID na baada ya kutumia utapima tena na kuweka majibu hapa
 
Kuna watu wawili wamechukua hizi dawa, mmoja ameniambia alimaliza dozi Chrolophenical some weeks ago na bado kapima TYPH +

Soon atasahau shida hii!
Kama una ndugu, rafiki, Jamaa yako just mpe namba hapo kwenye bandiko atapona!
 
Nawashuru sana JF Members mlio toa mda wenu kuwapatia namba watu ambao wanasumbuliwa na typhoid ninapokea simu almost siku na watu wanazidi kusaidika
Soon nitaanza kupost testimonies za watu waliosaidiwa na dawa hizi Vipimo kabla ya kutumia na vipimo baada ya kutumia
Fanya tendo jema kwa kumsaidia Ndugu yako na Mungu atakubariki sana sana...!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom