Ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid) na tiba mbadala

Niwatakie mchana mwema! Kunya maji yaliyochemshwa epuka Typhoid
Kama kuna mtu anasumbuliwa na typhoid ya mara kwa mara mwambie anitafute! Tatizo lake litakwisha kabisa
Mchana mwema
 
Ni kweli ndg. Endelea kusaidia watu, haya magonjwa sasa tishio. Afadhali uugue UKIMWI kuliko typhoid na malaria.
 
Yeah Typhoid ni mbaya hasa ikiwa sugu! Yaani utakula chrolophenical mpaka mwili wote utanuka dawa! Hii dawa wengi imewasaidia tushirikiane kuwapa taarifa!
 
Mbaya zaidi ugonjwa huu umebaki midomoni kama siasa tu. Kuna mwanaJF mmoja aliwahi shauri kuwa serikali iangalie uwezeka wa kuwatafuti "UKIMBIZI WA MAGONJWA" wahanga wa magonjwa ya typhoid na malaria sugu katika nchi ambazo hazina magonjwa haya hususani nchi za baridi. Nafikiri pia dawa hiyo unaweza nunua na kuwapelekea ndg na marafiki kama zawadi katika zama hizi za magonjwa sugu kuliko mkate. Unawajengea uwezo kiafya then mkate wananunua wenyewe. Big up. Tutashirikiana.
 
Karibu sana mkuu! Im getting positive testimonies toka kwa watu waliokuwa na shida na wametumia wamepona! This thing is public kama kungekuwa na utapeli wa aina yeyote ungeona review za watumiaji
All in all im glad to offer some help to people afflicted with this disease! Im looking forward to promote it more and more
 
======Latest Update =======

Nduguznguni
Ninapenda kuwaletea habari njema
Nimeendelea kupata taarifa kutoka kwa wale wote waliotumia dawa hii, habari ni njema. Wote wameponaaaaa! Wengine wamekuwa wakisumbuka kwa miaka
Ndani ya siku 7 tu tatizo limekwenda
Naendelea kutoa wito Tafadhali kama una mtu anasumbuliwa na Typhoid MLETE tumsaidie
 
Sasa mimi natumia dawa za hospitali, na nina siku ya 3.
Ina mana nikatishe dozi nikishaichukua yako?
Manake nina Typhoid sugu na Malaria.
Wiki ya tatu hii hamna nafuu.
 
Pole sana! Tatizo lako litaisha! In-fact unaweza sitisha hizo antbiotics ukaanza mara moja hizi! Njoo utapata maelezo ya namna ya kufanya!!!
 
Tunashukuru kwa taarifa ila ni vizuri ungewaambia watu ni mti gani huo maana kama umeandikiwa kupata utapata tu ila saidia watu wasio na uwezo wa hiyo hela '' Huenda mti wenyewe watu wanaufaham watajie'' kuliko kutumia majina ya kuficha mti kwa majina ya products mbona wenzetu weupe wako wazi kwanin si weusi ni siri hata kisicho cha siri ni siri ndo maana tumeachwa kimaendeleo. Na hii ni tabia ya waganga wa kienyeji wanaojifanya wanatibu kila ugonjwa wakati wenzetu wanaspecialize lakini sisi kila kitu tunatibu ndo maana waganga wa kienyeji hawaamini kwa tiba huenda kweli kuna magonjwa wanayatibu kabisa kuliko hata dawa za weupe.
Okoa maisha ya wasichonacho kuliko kuokoa ya wenye nacho maana ndo wenye uwezo wa hiyo hela lakin wengine watakufa nawe utakuwa shahid kwa mola wako kuwa alikupa ujuzi wa kusaidia watu lakin ukathamin dunia kuliko utu wa kibinadamu (mim mkumbushaji huenda umeghafilika na dunia) taraji malipo makubwa kwa mola wako maana ni kweli utakutana naye kuliko utajiri utakao uacha huku ndugu/wanao wakikulaan na si kukuombea msamaha kwa mali utakaowaachia
 
Sidhani kama uko sahihi, sidhani kama formular ya Cipro iko wazi kwa namna ambayo ungetaka wewe!!
Kwa taarifa yako tu ni kwamba hakuna mtu amekuja kwangu hana pesa nikamnyima dawa!

Kwa namna unavyo urgue hapa unataka tiba zote za jadi ziwe free kitu ambacho sio sahihi. Tangazo langu liko wazi ninauza dawa ya mitishamba ya typhoid sijasema natoa bure kwa nini usiliheshimu hilo

Humu ndani kuna mabandiko mengine ya tiba za asili za tyohoid wametoa wazi wazi jina la miti shamba na namna ya kutengeneza hizo dawa!
Umeshawahi kwenda duka la dawa ukawaambia kuwa hauna pesa, ila kwa sababu unaumwa wakakupa dawa bure?
 
Ladies and Gents Good Morning!
Lets get the referral going as we seek to help people with Typhoid
 
Sidhani kama uko sahihi, sidhani kama formular ya Cipro iko wazi kwa namna ambayo ungetaka wewe!!
Kwa taarifa yako tu ni kwamba hakuna mtu amekuja kwangu hana pesa nikamnyima dawa!

Kwa namna unavyo urgue hapa unataka tiba zote za jadi ziwe free kitu ambacho sio sahihi. Tangazo langu liko wazi ninauza dawa ya mitishamba ya typhoid sijasema natoa bure kwa nini usiliheshimu hilo

Humu ndani kuna mabandiko mengine ya tiba za asili za tyohoid wametoa wazi wazi jina la miti shamba na namna ya kutengeneza hizo dawa!
Umeshawahi kwenda duka la dawa ukawaambia kuwa hauna pesa, ila kwa sababu unaumwa wakakupa dawa bure?

Sawa kwa mawazo yako ila waganga wengi wa jadi ndo zao nawe kama ni kijana au mzee ndo hao hao tu maana waeleze watu ni mti gani na mwambie mtu ila wewe ukitengeneza utauza shilingi kadhaa kuliko mara bei hii mara ile!
Ila sikulaumu ndo maana nikasema mimi mkumbushaji kama wapo unawapa wasiokuwa nacho hiyo ni akiba yako na hazina yako kwa aliyekuleta dunian (Sidhani kama uko sahihi, sidhani kama formular ya Cipro iko wazi kwa namna ambayo ungetaka wewe!" google cipro formula/composition kama hujapata).
Cha msingi nikusihi tenda wema hata kidogo kesho utakusaidia na nikuombee kwa aliyekuleta dunia ulee na moyo huo wa kuwasaidia wasichokuwanacho
 
Wao!!!! thank you for the lecture!!!
 
Nataka kupunguza utumiaji wa dawa za hospitali,nikimaanisha vidonge mpaka hapo itakapokuwa lazima sana.Kwa yeyote anayejua tiba mbadala ya typhoid please naomba msaada.
Nikisema mbadala namaanisha matunda,mizizi,mimea ama vyakula.

Bwana Yesu asifiwe.

Waweza kuwasailiana nami kwa namba 0753333003 kwa tyiba ya uhakika ya typhoid sugu! Natumia tiba mbadala na dizi ni siku nne tu. Gharama ya tiba ni sh elfu kumi!
 
Back
Top Bottom