Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

nani kakwambia anakuja na pesa kuwekeza hapa?mliowapa nbc walikuja na pesa?duniani kote sasa mitaji hutolewa na bank kwa dhamana ya serikali we uko wapi au unanufaika na ccm?

Sinufaiki chochote na ccm,iko hivi,tpdc imeweka utaratibu,wamiliki wote wa vitalu wawe na mtaji 50% alafu 50% ndio iwe mkopo,hata hilo limewashnda. Sasa wanataka nini?
 
Matendo ya bwana Mengi kuongopa na kupotosha mbele ya umma kuhusu uwekezaji wa kwenye nishati unaonesha jinsi gani alivyokosa uungwana na tamaa iliyopindukia kama mfanyabiashara tena asiekuwa na chembe ya uzalendo hata moja ndani yake.

Halikadhalika wanasiasa wanaodandia hoja ya Mengi na kumbeza Muhongo awastaili kupewa kura kabisa uchaguzi ujao, maana wanatuonyesha unafiki, level ya ujinga waliyo nayo, na upu.mbavu wa hali ya juu kutoka kwao. Sielewi kwanini kuna watu bado awalipati hili somo ina maana ni wazito hivi, Mengi awezi badili msimamo kwasababu msukumo wake ni mmoja tu tamaa lakini iliyokosa uwezo na sasa anatafuta njia za panya kujipenyeza kwa mgongo wa uzawa.

Sijui ni uzawa upi unaoliliwa kwa sasa maana Watanzania katika uwekezaji wa mafuta na gesi ndio TPDC, faida yote watakayo chukua TPDC inarudi serikarini ambapo inaenda kwenye miradi ya maendeleo na wanufaikaji ni watanzania kwa ujumla.

Sielewi kwanini Muhongo mpaka dakika hii aeleweki swala ni simple serikari aina hela ya kuchukua risk za kufanya exploration kutokana na majukumu yake mengine na uwezo wao wa kifedha (hata marekani, canada, brazil na nchi nyingi duniani serikari azijiingizi katika direct investment za nishati completely), kwa Tanzania sheria ama msimamo wa serikari ni kwamba wewe chukua risk zote nishati itakayopatikana kama ni ya kibiashara twende ubia kama aipo hasara yako.

Iwapo akuna nishati ya kutosha kufanyia biashara imekula kwako na kama ipo depending on the reserves volume mikataba ni 65%-75% (kama nakumbuka sawa) mwekezaji anarudisha gharama zake za awali baada ya hapo ni mkataba na isitoshe katika faida zake bado anatakiwa kulipa kodi.

Na katika utaratibu wa sasa hakuna mahala ambapo inasema ubia utaingiwa na wageni tu, ni kwamba ubia utaingiwa na wenye uwezo. Watanzania kama mnauwezo jamani nendeni na nyie mfuate taratibu za sasa muone kama mtanyimwa mbona hilo lipo wazi, serikari inachojali kwa sasa ni vitalu kufanyiwa exploration kama ni vya kibiashara unachorwa mkataba ambapo wao wanachukua perecent zao kwa niaba ya taifa na wewe unachukua utajiri wako aijalishi uwe mkenya, mchaga, mmakonde, mpemba au wote nyie mkachanga na kufanya mwisho wa utaratibu upo clear msimamo wa serikari ni kwamba itatoa percentage for risk takers.

Sasa watanzania wenye tamaa wanatakiwa kusaidiwa vipi, ni sawa kumwongopea mtu mjinga kule barabarani ambae si mwelevu na mgumu kumpa somo, lakini kitendo alichokifanya Mbatia na wanasiasa wengine kama akina Kafulila (mropokaji mwengine) ni vitendo vya aibu halafu wanadai ni kwa maslahi ya watanzania, yaani they come across as cheap and easy to be corrupted na vijisenti vya kuongwa.
 
Hii nchi ya bibi bwana,mh!Wadhungu wameshatuona ujinga wetu uko wapi?Yaani ukiachia kale ka-ten percent unachiwa kila kitu.
 
Mengi anataka kutuibia kwa kisingizio cha uzawa,hana hela ya kuwekeza kenye gesi,anataka apewe kitalu kisha awe dalali,akiuze kwa wawekezaji wengine. Mengi ni mnafiki. Prof Mhongo komaa,nakuombea Mungu akupe nguvu na afya,akulinde..

Imeishaonekana kitaalam hela inayohitajika kwenye uwekezaji mengi hana hata robo,sasa analia nini?anataka matakwa yake binafsi ionekane ni matakwa ya watanzania wote. Mengi kafie mbele,serikalini wanamjua ni mnafiki mkubwa,hana la maana.

Sasa amebaki kuwahonga wabunge wenye njaa kama mbatia wakajiropokee bungeni ili ionekane anaonewa. Watu wenye akili hili wanalijua.

mengi halidhiki anamiliki ardhi kubwa dhahabu na haifanyi? sasa na kwenye gesi na kwenyewe ashike atafute uwekezaji ale cha juu. ndo akahamia chadema mhongo komaa
 
Watanzania sijui mmelogwa?Lini mtakuwa wajanja kama majirani zenu?Mimi bado ninamtetea Mengi na hoja yake ya Wazawa wamiliki vitalu vya gesi na mafuta,Najua Watanzania wengi hawana uwezo wa kumiliki hivyo vitalu hivyo ushauri wangu ungekuwa hivi;Ianzishwe kampuni ya umma ambayo itamilikiwa na Watanzania mbalimbali kupitia ununuzi wa hisa kisha hiyo kampuni iingie kwenye umiliki wa vitalu vya gesi na mafuta;Wafanyabiashara wakubwa wazawa wa nchii waunganishe nguvu kwa kuunda kampuni moja itakayojihusisha na gesi na mafuta;Na serikali iwadhamini/iwafadhili Wazawa katika kumiliki vitalu na hatimaye kuchimba mafuta na gesi.Tunajua kuwa Watanzania wengi hawana uwezo wa kuchimba mafuta na gesi hivyo watalazimika kuingia ubia na makampuni ya nje yenye kujihusisha na shughuli za uchimbaji mafuta na gesi.Hapa Wazawa watamiliki vitalu wakati Wageni watamiliki teknolojia na biashara itafanyika.Hata hili nalo ni gumu kufanyika isipokuwa kuwapa Wageni umiliki wa rasilimali zetu kwa 100%?

u have spoken from my mind
 
Mkuu hizi ni facts wala hazijajificha. Nimetoa mfano wanahitaji ili uwe mwl chuo kikuu uwe na elimu ya phd,na wamesema kila mwenye phd atakaye omba lazima apewe kazi,sasa wewe unaanza kulalamika,kama vigezo unavyo si uende,ukinyimwa ndio ulaumu,na watu watakuelewa,sasa wewe unalaumu hata hujaenda,ni ishara kua huna vigezo ila unataka uhurumiwe maana ungekua na vigezo usingelalamika. Wazawa twendeni TPDC Tukapewe vitalu kama tunao uwezo.

Mbona huo mfano wako hauendani na hoja iliyoko mezani?Suala la kutakiwa kuwa na degree ili ufundishe ni close-ended issue wakati suala la umiliki wa vitalu ni opene-ended issue kwa maana ya kwamba taratibu za kupewa vitalu zinataka mtu mwenye mtaji kuanzia dolar 150 million sasa huenda usimpate mtu mwenye uwezo but still serikali ya Tanzania ikaamua kumfadhili/kumdhamini kifedha na akaweza kununua kitalu au zinaweza kuundwa makampuni yatakayomilikiwa kwa pamoja na Watanzania kisha yakaingia kwenye hii miradi ya gesi na mafuta.Punguza kukariri maisha ndugu yangu,exercise your brain.
 
Mengi ni mtu mmoja mwenye tamaa sana sijapata kuona. Halafu ni mnafik, eti anatumia kibwagizo cha uzawa ili apate sympathy.

Muhongo uzuri wake anampa za uso waziwazi.

Mengi kishakorofishana na kila mtu ambae anaona kwanini huyu kwanini siyo "mimi". Ana ubinafsi, uchoyo na roho mbaya sana. Hata sura yake inaonesha.

c mchaga!!
 
Serikari inasema aina hela ya kuchukulia risk in the first place, halafu unataka iwakopeshe watu wakafanyie kitu kile kile yenyewe inacho ogopa?

Suppose kitalu akipo commercial, hilo deni linalipwaje?
 
Zawadi labda mliyopewa huko moshi sio wa Tz usirudie kuropoka u.pu.m.bavu hapa jf.

mimi namjua mengi zaidi ya wengi wanavyomjua.alisha nita pale ofisini kwake haidari plaza twice nikaongea nae dili kubwa pia nilikua na kampuni yangu pamoja na proposal nzuri worth milion200,akanishawishi nimpe document.za kampuni yangu original.certificate akanibadilishie jina brealla ili liendane na ule mradi, akamwita.bint mmoja alikua anaitwa sylivia na alikua mwanasheria.wake akanihakikishia ndani ya siku tatu nitakua na document mpya, but mpaka leo sijazipata document zangu na mwisho ile project aka i run mwenyewe akabadili vitu vichache, namlaani yule mzee zaidi ya mtu yoyote, ni mwizi na mdhulumati mkubwa, i will never trust him, nawala usirogwe kama una brilliant ideas kumpa lazima atakuzunguka. mengi sio mzalendo period
 
Ila wewe nasikitika sana kukueleza kuwa hicho kichwa kimejaa mav. tu. Nani alikuambia kuwa wawekezaji wanakuja na pesa kutoka nje. kwa taarifa yako wawekezaji wanadhaminiwa na serikali wakati mwingine halafu munawaita wawekezaji wa nje. Kweli itatuchukua muda mrefu kujikomboa kifikira wa Tanzania. Hivi wewe kwanini ukumbatie watu wa nje ambao wanatunyonya halafu wanatuacha hoi. Mara mia moja akitunyonya mtanzania maana kuna spillover zinaweza kutufikia hata tuliooko huku chini.
ukitaka jina ntakwambia ila uniambie kwa nini unalitaka.

Sio kweli kua natetea wawekezaji wa njee ila penye ukweli lazma tuwe wakweli tuache unafiki. Kama mahitaji/vigezo vya kua mwalimu wa chuo kikuu ni kuanzia digrii ya uzamivu(phd) wewe umemaliza darasa la saba au form 4 hiyo kazi unaitaka wakati vigezo huna ukinyimwa ulaumu,ulie kwamba mzawa unanyimwa fursa??.

Imeonekana kitaalam mahitaji ya kifedha(financial resources) ya uvunaji wa gesi hakuna mtanzania anaweza kukidhi vigezo,sasa wakipewa watafanyaje kuvuna hiyo gesi?. Wanataka,hasa mengi apewe kisha awe dalali,akatafte wawekezaji. Huo utakua ni ujuha kama tunaweza kufanya uwekezaji wa aina hiyo.

Wewe niambie wazawa wakishapewa vitalu hiyo gesi wataivunaje wakati hawana hela? Tusipende kulaumu upuuzi.
 
Niliposikia wazungu wamesema heti watanzania ni wa pili toka mwisho kuwa na IQ kubwa nilipatwa na hasira sana,lakini dalili za ukweli zinajitokeza.Mtu anatangaza hadharani kuwa sisi watanzania ni marofa hatuwezi kitu tunashangilia.wakati prof.muhongo hajatupa majibu ni vipi hahusiki na bil.200 (IPTL),yeye anajua akimdhibiti Mengi ametuziba mdomo watanzania
 
Mengi ni mtu mmoja mwenye tamaa sana sijapata kuona. Halafu ni mnafik, eti anatumia kibwagizo cha uzawa ili apate sympathy.

Muhongo uzuri wake anampa za uso waziwazi.

Mengi kishakorofishana na kila mtu ambae anaona kwanini huyu kwanini siyo "mimi". Ana ubinafsi, uchoyo na roho mbaya sana. Hata sura yake inaonesha.

Faiza kuna wakati nakupenda dah... Mengi amepewa eneo la madini Tanga, akaenda kutafuta mwekezaji, mwekezaji akaleta mtaji, Mengi anakula Faida, kwa nini serikali yenyewe isitafute mwekezaji halafu hiyo faida ikaingia katika kuendeleza miundo mbinu? Haiihitaji PHD kujua Mengi ni mnafiki.
 
Kuna msuguano mkubwa baina ya Mengi na Muhongo ambao unatishia uchumi wa taifa katika sekta za madini na nishati!

Si serikali wala bunge wanaochukuwa hatua za kuusuluhisha ugomvi huu!

Kutokana na maelezo ya Mbatia katika bunge la bajeti leo ugomvi baina ya watu hawa unahatarisha uwekezaji wa wazawa katika sekta za madini na nishati!

Kwa nini serikali, kwa maana ya Pinda na JK hawachukuwi hatua za kumaliza sintofahahamu hii?!
Hawa wanasuruhishwa kwenye kipi? Mengi tumeshamzoea kulalama na sasa tumemchoka. Serikali inamjua haiwezi kupoteza muda wake. Labla pengine asubiri Chadema wanzake wachukue nchi mwaka 2070
 
Ila wewe nasikitika sana kukueleza kuwa hicho kichwa kimejaa mav. tu. Nani alikuambia kuwa wawekezaji wanakuja na pesa kutoka nje. kwa taarifa yako wawekezaji wanadhaminiwa na serikali wakati mwingine halafu munawaita wawekezaji wa nje. Kweli itatuchukua muda mrefu kujikomboa kifikira wa Tanzania. Hivi wewe kwanini ukumbatie watu wa nje ambao wanatunyonya halafu wanatuacha hoi. Mara mia moja akitunyonya mtanzania maana kuna spillover zinaweza kutufikia hata tuliooko huku chini.
What has that got to do with the Tanzania government hela ya mwekezaji inapotoka atajijua mwenyewe, mbona makampuni ya China ambayo ni 100% state owned na kwa taarifa tu ni only 4% ya uwekezaji wa China wa nje ya mipaka yao ndio hipo Afrika kama tunadhani tumeingiliwa tukiwaona, huko kwengine jamaa ndio wamewekeza zaidi.

The point ni kwamba biashara za nchi azijali nani anawekeza, zinajali ujio wa capital investment only. Serikari zinafikiria interms ya kutimiza majukumu yake na hili kufanya hivyo kuna ulazima wa kuongeza kipato cha kodi. Hivyo sera za kodi ndio kitu muhimu kwa serikari zote duniani na mikataba (where the government ownership is involved).

Hizi hadithi za serikari zao zinawawezesha ni mawazo ya kimtaani taani tu.

Na kama una imply serikari ya Tanzania ndio inayowadhamini toa ushahidi, vinginevyo acha ulongo.
 
Watanzania ni watu wapumbavü sana sijawahi kuona.
Jitu zima bila aibu linatoka guest na maja.naba linatokwa povu eti linakuja hapa kumtetea tapeli na mtu mnafiki kama MENGI. Kwa wema gani yeye kama mzawa aliolitendea hili taifa???

Kachukua mkopo wa mabilioni NBC kakataa kuurejesha hatimae akaifilisi benki.

Kapewa vitalu vya madini kashindwa kuviendeleza hatimae leo hii yupo kama dalali wa kuvitafutia wawekezaji wa nje naye akizidi kupiga hela za dili.

Kagombana na mawazili chungu nzima pale alipoona hawalindi maslahi yake.
Kagombana na wafanyabiashara chungu nzima pale alipoona wanampa ushindani wa kibiashara, kisa wivü na roho ya korosho.

Amekua akiandaa vyakula vya hisani na kuwadhalilisha watu wenye matatizo kwa kuwaanika mbele ya kadamnasi. Na dunia nzima kuwashuhudia kama watu dhalili kana kwamba yeye ndo bingwa wa kusaidia watu kuliko hata akina Bakhresa wanaotoa misaada zaidi yake lakini kimyakimya kwa kuusitili UTU WA MTU.
Wakati akifanya hayo mkono wa kulia, kushoto umekua ukitumika kuwanyonya watumishi wake wanaoishi kama digidigi kwa kuwalipa vipato vidogo.

Bado hajalidhika anataka tumpe na gesi ili akaendeleze biashara zake za kitapeli na udalali kwa kisingizio cha uzawa??? Na mijitu mijinga bado inakuja hapa kumtetea huyu tapeli na fi.sadi.

Hawa wanaomtetea mengi ukiwafanyia uchunguzi wana element za uchagga, ukaskazini na harufu ya ukawa-ukawa.
Ki mtizamo hata kwa kumuangalia Mengi ni mtu mwenye roho mbaya na ndio maana ameamua kumgeged.a mjukuu wake na kuzaa naye.

MENGI TUONDOLEE UTAPELI WAKO KWA KUWATUMIA MISUKULE WASIOJITAMBUA, KWA KIGEZO CHA UZAWA.

Kumbe tatizo ni hili? Povu loote nikadhani una hoja kumbe uharo mtupu. Pambaf.
 
Hawa wanasuruhishwa kwenye kipi? Mengi tumeshamzoea kulalama na sasa tumemchoka. Serikali inamjua haiwezi kupoteza muda wake. Labla pengine asubiri Chadema wanzake wachukue nchi mwaka 2070
Inasemekana pia ana vitalu kadhaa vya madini ambavyo ameshindwa kuviendeleza!
 
Watanzania sijui mmelogwa?Lini mtakuwa wajanja kama majirani zenu?Mimi bado ninamtetea Mengi na hoja yake ya Wazawa wamiliki vitalu vya gesi na mafuta,Najua Watanzania wengi hawana uwezo wa kumiliki hivyo vitalu hivyo ushauri wangu ungekuwa hivi;Ianzishwe kampuni ya umma ambayo itamilikiwa na Watanzania mbalimbali kupitia ununuzi wa hisa kisha hiyo kampuni iingie kwenye umiliki wa vitalu vya gesi na mafuta;Wafanyabiashara wakubwa wazawa wa nchii waunganishe nguvu kwa kuunda kampuni moja itakayojihusisha na gesi na mafuta;Na serikali iwadhamini/iwafadhili Wazawa katika kumiliki vitalu na hatimaye kuchimba mafuta na gesi.Tunajua kuwa Watanzania wengi hawana uwezo wa kuchimba mafuta na gesi hivyo watalazimika kuingia ubia na makampuni ya nje yenye kujihusisha na shughuli za uchimbaji mafuta na gesi.Hapa Wazawa watamiliki vitalu wakati Wageni watamiliki teknolojia na biashara itafanyika.Hata hili nalo ni gumu kufanyika isipokuwa kuwapa Wageni umiliki wa rasilimali zetu kwa 100%?
Mbona kampuni hiyo ipo tangu zamani!! Nayo ni TPDC!

Huna habari hiyo?! Nenda kanunue hisa yako pale!
 
Hivi Mbatia anamwakilisha nani bungeni? haya ndio matatizo ya kuwa na viti maalumu wasiojua hasa wanaowawakilisha. Matokeo yake wanageuzwa kuwa mavuvuzela ya watu wenye pesa. Sikusikia Prof. Mhongo akimtaja Mengi kwenye majibu yake ya swali la awali la Mbatia kuhusu wachimbaji waoogo. Ila alipojibiwa tu akaona ndio fursa ya kuongelea mambo ya Mengi.
 
Niliposikia wazungu wamesema heti watanzania ni wa pili toka mwisho kuwa na IQ kubwa nilipatwa na hasira sana,lakini dalili za ukweli zinajitokeza.Mtu anatangaza hadharani kuwa sisi watanzania ni marofa hatuwezi kitu tunashangilia.wakati prof.muhongo hajatupa majibu ni vipi hahusiki na bil.200 (IPTL),yeye anajua akimdhibiti Mengi ametuziba mdomo watanzania
Kumbuka hata wewe ni mtanzania na inawezekana hata hiki ulichoandika ni kutokana IQ yako.
 
Back
Top Bottom