Uganda kumuenzi iddi amin je historia ilipindishwa?

M

Mzee Kijana

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Messages
774
Points
500
M

Mzee Kijana

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2011
774 500
Napna hujui chochote kuhusu Uganda na unaongea usichokijua wakati wa utawala wake Uchumi wa nchi hiyo ulidolola kwa kiwango kikubwa kabisa,Hata historia inasema hivyo sasa wewe unayepingana na historia endelea kumwabudu IDD AMIN!!! Na ukweli utabaki kuwa yeye alikuwa ni Dicteta wa kutupwa ndyo maana hata waganda wenyewe walikataa kumleta kuzikwa nyumbani na kama angekuwa anapendwa basi tungeona dalili za kupendwa labda ndugu zake ndiyo walikuwa wanampenda lakini historia inamsema yeye ni Dicteta.
Kwani uchumi wa Tanzania enzi hizo ulikuwaje? Au wa Uganda tu ndiyo ulikuwa umedorora?
 
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Messages
8,386
Points
2,000
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined Oct 11, 2006
8,386 2,000
unaweza kuona nonsense but kuna mengi mazuri kuhusu huyu mtu lakini wameyaficha
Mzee, kama hujui ni kwamba historia ina tabia ya kujiandika yenyewe huwa haindikwi kwa kuwa na "yaliyofichwa." Hii tabia ya yetu ya kiswahili kuamini kuwa kila kitu ni conspiracy fulani ya kuficha mambo inatufanya tushindwe kuwa tunasoma na kutambua mambao, badala yake tunategemea kuambiwa tunayopenda kusikia tu, tupoyapenda basi tunasema "tumefichwa ukweli". Soma historia ya Amini imaendikwa sehemu mbalimbali na watu mbalimbali hata wale waliokuwa mawaziri wake, yaani wote walikaa kikao cha kuamua kukuficha wewe ukweli. Katika video hii hata mtoto wake wa kuzaa naye ameonyesha kukiri kuwa kuna mambo ambayo baba yake alifanya mabaya sana, ikiwa ni pamoja na kumuua mke wake, yaani mama wa huyo mtoto.

 

Forum statistics

Threads 1,335,213
Members 512,271
Posts 32,499,296
Top