Uganda kumuenzi iddi amin je historia ilipindishwa?

BuletAngle

BuletAngle

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2017
Messages
674
Points
1,000
BuletAngle

BuletAngle

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2017
674 1,000
Hawawezi kuweka mazuri hata siku moja ..pakujifunza ni pale kwa gaddafi amefanya mazuri mengi kwa wananchi wake ila kafate historia yake utakuta maovu tu mengi
unaweza kuona nonsense but kuna mengi mazuri kuhusu huyu mtu lakini wameyaficha
 
B

Belzera

Senior Member
Joined
Feb 22, 2019
Messages
122
Points
250
B

Belzera

Senior Member
Joined Feb 22, 2019
122 250
Wakimuenzi ni haki yao.Hata jambazi muuaji na katili sana,kama anajali familia yake(au hata asipojali sana), mabaya yakimkuta, lazima hatakosa wapendwa wa kumlilia na hata kusema 'jinsi alivyokuwa mzuri na mwema kwa walio karibu naye'.

Hakuna tatizo na mema yake.Ila mema na mazuri yake,hayakuahalalisha kutenda aliyoyatenda dhidi ya Tz.Akachapwa kisawa sawa kabisa.Pia propaganda kabla,wakati na baada ya vita yaweza kuwa na kamchango na kwenye vita ni jambo la kawaida,ila,ukweli alivamia Tz.

Cha msingi, alifanya kosa kuivamia Tanzania na kuchukua ardhi ya Tz na askari wake kufanya ukatili ndani ya waTz.Hatimae akakipata kilichomstahili na alistahili.

Ni dhahiri hakosi mema aliyofanya nchini mwake, japo hata kwa wachache. Na si ajabu ni kweli kabisa baadhi ya watu walifanya uovu na kuishia kumchafulia yeye kama kiongozi.Mfano kina Malyamungu,Bob Astles,na makamu wake Idris.Lakini,yeye kama kiongozi alipaswa kusimamia anaowaongoza na 'kuashiria' toka awali kuwa,vitendo vya kikatili hawezi kuvikubali wala kuvivumilia.Waliokuwa chini yake,ama wasingetenda kabisa au vingekuwa vichache sana,tena kwa kificho.

Yakitokea mabaya chini ya uongozi wa anayeongoza,kuwajibika (ama kuwajibishwa kwa namna fulani) ni kawaida.

Tunae Rais mstaafu aliyekuwa mwungwana sana na kuamua kuwajibika alipokuwa waziri kwa makosa yaliyotendwa na waliokuwa chini yake.Huu ni mfano tu.
amin-idd-jpg.1193173

Idi Amin with only a handful of his children
 
jerrybanks

jerrybanks

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Messages
1,252
Points
2,000
jerrybanks

jerrybanks

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2017
1,252 2,000
Wakimuenzi ni haki yao.Hata jambazi muuaji na katili sana,kama anajali familia yake(au hata asipojali sana), mabaya yakimkuta, lazima hatakosa wapendwa wa kumlilia na hata kusema 'jinsi alivyokuwa mzuri na mwema kwa walio karibu naye'.Hakuna tatizo na mema yake.Ila mema na mazuri yake,hayakuahalalisha kutenda aliyoyatenda dhidi ya Tz.Akachapwa kisawa sawa kabisa.Pia propaganda kabla,wakati na baada ya vita yaweza kuwa na kamchango na kwenye vita ni jambo la kawaida,ila,ukweli alivamia Tz.
Cha msingi, alifanya kosa kuivamia Tanzania na kuchukua ardhi ya Tz na askari wake kufanya ukatili ndani ya waTz.Hatimae akakipata kilichomstahili na alistahili.
Ni dhahiri hakosi mema mengi alifanya nchini mwake na si ajabu ni kweli kabisa baadhi ya watu walifanya uovu na kumchafulia yeye.Mfano kina Malyamungu,Bob Astles,na makamu wake Idris.
Lakini,yeye kama kiongozi alipaswa kusimamia anaowaongoza na 'kuashiria' toka awali kuwa,vitendo vya kikatili hawezi kuvikubali wala kuvivumilia.Waliokuwa chini yake,ama wasingetenda kabisa au vingekuwa vichache sana,tena kwa kificho.
Yakitokea mabaya chini ya uongozi wa anayeongoza,kuwajibika (ama kuwajibishwa kwa namna fulani) ni kawaida.Tunae Rais mstaafu aliyekuwa mwungwana sana na kuamua kuwajibika alipokuwa waziri kwa makosa yaliyotendwa na waliokuwa chini yake.Huu ni mfano tu.View attachment 1193173
Idi Amin with only a handful of his children
mkuu kuna chanzo kilichosababisha kuingia kwenye ardhi ya tanzania soma vizuri historia hiyo
 
lamalu

lamalu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2014
Messages
457
Points
500
lamalu

lamalu

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2014
457 500
Idd Amini Dada! Sijui hili dada lina maana gani? Naomba niongezee kidogo nilichopata kwa mzee mmoja ye alienda vitani uganda,DADA hakuitaka Kagera kama tunavyoaminishwa pia mzee baba (jk mkubwa) kwanini alichelewa sana kutoa amri ya vita inasemekana hadi kawawa akaingilia kati? Dada hakuitaka kagera ila kutokana na wazimu wake aliingia kagera kwa lengo la kushinikiza apewe watu au mtu wake aliekuwa kafichwa na mzee baba Tz,ni kama vile namteka mwanao ili nikurudishie mwanao naomba unirudishie kwanza mwanangu mtukutu uliemficha
 
mtwa mkulu

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Messages
3,361
Points
2,000
mtwa mkulu

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2013
3,361 2,000
Hakuna jema alilolifanya kaidada zaidi ya hayo mapicha yaliyotupiwa hapo juu.... Alikuwa kibaraka mkubwa wa mkulima wa kizungu Bob astless na hili liko wazi Sana... Alikuwa kibaraka wa queen Elizabeth na kwa hili histry haidanganyi....
Alimuua yule General mzuri maskini nimesahau tuu jina lake mwanzoni kabla ya mapinduzi.. akaruka kwenye kilichotajwa seng'eng'e kwenye vitabu vya kumbukumbu kiasi Cha kujeruhika mwili wake mbona hili lipibwazi Sana. Kwa ushauri wa Bob na kwaamri yake alimuua Askofu Janan Luwumu maskini asiye na hatia na kusingizia ajali ya gari.. mbona hili sio Siri na Ni yeye na Bob walionekana lastly na marehemu.
Yapo maovu mengi jamaa amefanya na kumbuka dunia haikumuona Kama dikteta hakukuwepo walio kuwa upande wa mwalimu rejea malalamiko aliyoyatoa mwalimu kipindi kile.
Msimponde mwalimu kwa kila issue nyie vijana muwe na utu
Echolima mkongwe Kuna uzi huku
Nimeambatanisha picha ya Askofu Luwumu RIP
250px-luwum_and_amin-jpg.1193184
images-7-jpeg.1193185
 
mtwa mkulu

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Messages
3,361
Points
2,000
mtwa mkulu

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2013
3,361 2,000
Idd Amini Dada! Sijui hili dada lina maana gani? Naomba niongezee kidogo nilichopata kwa mzee mmoja ye alienda vitani uganda,DADA hakuitaka Kagera kama tunavyoaminishwa pia mzee baba (jk mkubwa) kwanini alichelewa sana kutoa amri ya vita inasemekana hadi kawawa akaingilia kati? Dada hakuitaka kagera ila kutokana na wazimu wake aliingia kagera kwa lengo la kushinikiza apewe watu au mtu wake aliekuwa kafichwa na mzee baba Tz,ni kama vile namteka mwanao ili nikurudishie mwanao naomba unirudishie kwanza mwanangu mtukutu uliemficha
Ni vyema ukawa mchunguzi wa histry na kuzungumzia ukweli kuliko hisia tetesi na mihemko hasa ukizingatia watu humu ndani Ni wepesi kuaminisha...
Amin alitaka mpaka wake uwe bandari ya Tanga na alitamka hivyo akiikanyaga kanyaga bendera ya CCM pale alikuwa njiani tuu...
 
B

Belzera

Senior Member
Joined
Feb 22, 2019
Messages
122
Points
250
B

Belzera

Senior Member
Joined Feb 22, 2019
122 250
mkuu kuna chanzo kilichosababisha kuingia kwenye ardhi ya tanzania soma vizuri historia hiyo
Asante kaka.Nikipata taarifa sahihi,sisiti kubadili mtazamo.Kwani,napenda kuzingatia lile ambalo hatimae hujua ndilo kweli,hata kama lipo kinyume na ufahamu wangu wa mda mrefu.Ni kwa kuwa nilisoma vitabu vingi sana vya waandishi mbali mbali kuhusu ile vita na huyu mtu.Ila sisimamii kuwa ndio kweli pekee au ndio ukweli kabisa.Ila ndiko yalinipa picha.
Unaweza kunishauri nisome wapi labda,kwani nitashukuru zaidi kuujua ukweli.Asante kwa ushauri
 
B

Belzera

Senior Member
Joined
Feb 22, 2019
Messages
122
Points
250
B

Belzera

Senior Member
Joined Feb 22, 2019
122 250
Idd Amini Dada! Sijui hili dada lina maana gani? Naomba niongezee kidogo nilichopata kwa mzee mmoja ye alienda vitani uganda,DADA hakuitaka Kagera kama tunavyoaminishwa pia mzee baba (jk mkubwa) kwanini alichelewa sana kutoa amri ya vita inasemekana hadi kawawa akaingilia kati? Dada hakuitaka kagera ila kutokana na wazimu wake aliingia kagera kwa lengo la kushinikiza apewe watu au mtu wake aliekuwa kafichwa na mzee baba Tz,ni kama vile namteka mwanao ili nikurudishie mwanao naomba unirudishie kwanza mwanangu mtukutu uliemficha
Nadhani jina hasa lilikuwa ni Dadaa.Hili la Dada ni ama kosa la kimaandishi au ile ile ya kumchafua tu.Dadaa ni jina la kikwao na ni jina linalomhusu,kwa kadiri nijuavyo
 
wa ukae

wa ukae

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2008
Messages
1,690
Points
2,000
wa ukae

wa ukae

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2008
1,690 2,000
Sisi kumchafua IDD AMIN ilikuwa ni sahihi maana alikuwa adui yetu
 
Tajiri mpole

Tajiri mpole

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2018
Messages
1,204
Points
2,000
Tajiri mpole

Tajiri mpole

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2018
1,204 2,000
Udhaifu wa aliopo sasa unamfanya Amini aonekane bora mbele za wananchi wake.Ni hilo tu
 
Kung fu panda

Kung fu panda

Senior Member
Joined
Aug 13, 2019
Messages
192
Points
225
Kung fu panda

Kung fu panda

Senior Member
Joined Aug 13, 2019
192 225
Idd amin dada mla nyama za watu..
Muua mtoto wake mwenyewe.
Kawamwaga watu mto wa mamba.
Kaua ndugu zetu wa kagera na mabomu yake.

Huyu boya tulitakiwa kumdaka tukamfunga bongo hapa hapa akawa analima na kuchunga ng'ombe.
nenda ukamshike yupo bermuda triangle anapunga upepo
 
Msela Baharia

Msela Baharia

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2016
Messages
407
Points
500
Msela Baharia

Msela Baharia

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2016
407 500
Hiyo historia ya uwongo
Idd amin dada mla nyama za watu..
Muua mtoto wake mwenyewe.
Kawamwaga watu mto wa mamba.
Kaua ndugu zetu wa kagera na mabomu yake.

Huyu boya tulitakiwa kumdaka tukamfunga bongo hapa hapa akawa analima na kuchunga ng'ombe.
 
A

Arovera

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Messages
2,733
Points
2,000
A

Arovera

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2013
2,733 2,000
Ni Shujaa kweli kweli sio mchezo
 
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
107,567
Points
2,000
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
107,567 2,000
Cheo chake kamili kinavutia....
screenshot_20190830-090032-2-jpeg.1193587
 
Forum statistics

Threads 1,336,422
Members 512,614
Posts 32,538,950
Top