Uganda kumuenzi iddi amin je historia ilipindishwa?

jerrybanks

jerrybanks

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Messages
1,228
Points
2,000
jerrybanks

jerrybanks

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2017
1,228 2,000
Habari wana jamvi,

Niende kwenye mada hasa nikibase kwenye historia ya idd amin aliyekuwa rais wa uganda.
Historia inamtafsiri iddi amin kama raisi katili kutokea katoka katika nchi ya uganda ambae alitolewa kwa mapinduzi na majeshi ya Tanzania baada ya kuvamia mkoa wa kagera na kudai kuwa ni sehemu ya Uganda,na kukimbilia uhamishoni saudi arabia hadi pale kifo kilipompata mwaka 2003.Vyombo vya kimataifa vilimtangaza idd amin kama raisi katili Africa kiasi cha kutungiwa mpaka filamu zenye kuonyesha ukatili wa kutisha wa amin mpka kufikia hatua ya kula nyama za watu.

Leo hii serikali ya Uganda inafanya maadhimisho ya kumkumbuka raisi Idd amin kama raisi shujaa na mwanamapinduzi ambae na mwanaharakati ambae alipigania wananchi wake katika kupata maendeleo yao.

Shirika la BBC swahili limekutana na watu ambao walikuwa wakifanya kazi na kuishi ndani ya serikali ya Idd amini na kumsifia kuwa alikuwa ni raisi mwenye huruma na wananchi wake isipokuwa kulikuwa na baadhi ya askari wake waliokuwa wanatumia vibaya madaraka waliyopewa na idd amini,hivyo serikali na umoja huo wa watu waliokuwepo kwenye utawala wa idd amin wamezindua maadhimisho/maonyesho yakiambatana na makumbusho ambayo itakuwa inatoa historia halisi ya rais idd amin kama raisi shujaa wa nchi ya Uganda

Je historia ya rais Idd amin wa Uganda na kisa halisi cha vita ya kagera vilipindishwa?
20190829_220716-jpeg.1193038
 
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
4,444
Points
2,000
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
4,444 2,000
Idd Amin Dada ni Rais ambaye alipaswa kuenziwa na kupewa ukubwa kuliko hata aliopewa TATA Mandela.
.
Hata Julius Nyerere hamfikii iddi Amin ni mtu pekee mweusi duniani kupigiwa magoti na wazungu licha ya kaujinga kadogo tu alikokafanya ka kuwavamia kina Nshomile
 
jerrybanks

jerrybanks

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Messages
1,228
Points
2,000
jerrybanks

jerrybanks

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2017
1,228 2,000
Idd Amin Dada ni Rais ambaye alipaswa kuenziwa na kupewa ukubwa kuliko hata aliopewa TATA Mandela.
.
Hata Julius Nyerere hamfikii iddi Amin ni mtu pekee mweusi duniani kupigiwa magoti na wazungu licha ya kaujinga kadogo tu alikokafanya ka kuwavamia kina Nshomile
kwanini historia yake sasa inapotoshwa?
 
patience96

patience96

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Messages
1,203
Points
1,225
patience96

patience96

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2011
1,203 1,225
Idd Amin Dada ni Rais ambaye alipaswa kuenziwa na kupewa ukubwa kuliko hata aliopewa TATA Mandela.
.
Hata Julius Nyerere hamfikii iddi Amin ni mtu pekee mweusi duniani kupigiwa magoti na wazungu licha ya kaujinga kadogo tu alikokafanya ka kuwavamia kina Nshomile
Nonsense!
 
ELI-91

ELI-91

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Messages
3,301
Points
2,000
ELI-91

ELI-91

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2014
3,301 2,000
pole sana, hicho unachokiita historia ni mchanganyiko wa ukweli kiasi na propaganda nyingi za nyerere, itachukua vizazi kadhaa kuja kupata uhuru wa akili.
ukienda uganda historia ya hiyo vita iko mtizamo tofauti kabisa.
 
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
14,504
Points
2,000
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
14,504 2,000
Binafsi naona Idd Amin na kaguta Mseveni hawana tofauti yoyote

Ila uganda wanabahati ya kupata madikteta
 
carcinoma

carcinoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
3,920
Points
2,000
carcinoma

carcinoma

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
3,920 2,000
Idd amin dada mla nyama za watu..
Muua mtoto wake mwenyewe.
Kawamwaga watu mto wa mamba.
Kaua ndugu zetu wa kagera na mabomu yake.

Huyu boya tulitakiwa kumdaka tukamfunga bongo hapa hapa akawa analima na kuchunga ng'ombe.
 
andaskoo

andaskoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Messages
971
Points
1,000
andaskoo

andaskoo

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2015
971 1,000
Chochote unachofundishwa ni kwa interest za aliyekuandikia amekusudia nini, hiyo unaita Vita ya Kagera huko Uganda ilikuwa positive sana tu.... hata sasa wakazi wengi wa Kagera hujinasibisha na Uganda.
Rejea kwa Adolf Hitler.
 

Forum statistics

Threads 1,335,211
Members 512,271
Posts 32,499,229
Top