Ugali wa unga wa yanga.....!

Ugali wa unga wa yanga.....!

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,693
unga.jpg

Enzi hizo bhana full virutubisho dah ugali unalika bila mboga .........!
 
Duuh.. Kule kirua tulikuwa tukiuita unga wa porridge!
 
Jamaa jasho linamtoka haswa
Mkirua habari za kwako aise
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenikumbusha mwaka 1984, tuliula sana aiseee. Umeshawahi kula na makande yake? Full burudani
 
Daaah!!!! Umenikumbusha enzi hizooo......nilikuwa boarding shule moja huko upareni (Shighatini Sec) 1984!!! Kitu ugali wa yanga na maharage meupe tunachanganya na parachichi!!!!! Weeeeeee....asikuambie mtu huo utamuuuu!!!!!
 
Huo ni msaada wa hisani ya watu wa USA, Nyerere alipotutumbukiza kwenye umaskini usio mfano, maskini wa mwisho duniani. Duhh, yule mzee, Mwenyeezi Mungu atamweka anapostahiki.
 
Afu hii picha ni ya shule ama chuo cha ualimu. Hizo sufuria zilikuwa msaada wa danida.
Tumepewaga msaada na sie mweeh!

Mambo ya siasa ya ujamaa na kujitegemea, unapanga foleni ndefu duka la ushirika unasubiri hiii mikitu aisee...................acha tu warip huko waliko
 
Enzi zileeee! kipindi hicho kulikuwa na kanjaa fulani hivi!
 
zomba ulaaniwe milele,
hivi kama siyo nyerere ungesoma hadi hapo ulipo wewe
Huo ni msaada wa hisani ya watu wa USA, Nyerere alipotutumbukiza kwenye umaskini usio mfano, maskini wa mwisho duniani. Duhh, yule mzee, Mwenyeezi Mungu atamweka anapostahiki.
 
Last edited by a moderator:
zomba ulaaniwe milele,
hivi kama siyo nyerere ungesoma hadi hapo ulipo wewe

Nyerere hakunisomesha mimi wewe, nilipokuwa nasoma tulikuwa tunalipa fees. Hata hao mnaojidai wamesomeshwa na Nyerere, nakuuliza, Nyerere alikuja na fedha zake kutoka Butiama?

Msitake kudanganya watu, fedha zilikuwa za kodi za wazee wetu.

Dua ya kuku haimpati mwewe.
 
Afu hii picha ni ya shule ama chuo cha ualimu. Hizo sufuria zilikuwa msaada wa danida.
Tumepewaga msaada na sie mweeh!
Halafu wewe nakutafuta, hata ukininunia mimi bado ni baba yako... King'asti
 
Last edited by a moderator:
Shikamoo Mzee Mtambuzi....

Afu nimeona gari lenu mitaa ya hapa chini kwetu, nikakukumbuka sana aisee!!
Kuna colleague wangu yuko hapo Mwanza kikazi lakini sijampa anuani yako maana ni kicheche, asije akakunaniliu bure, mie roho ikaniuma maana niliishia kuchezewa sharubu na sikuona ndani....LOL
 
Back
Top Bottom