Ugali wa unga wa yanga.....!

Ugali wa unga wa yanga.....!

Huo ni msaada wa hisani ya watu wa USA, Nyerere alipotutumbukiza kwenye umaskini usio mfano, maskini wa mwisho duniani. Duhh, yule mzee, Mwenyeezi Mungu atamweka anapostahiki.

Acha hizo,mbona huku duniani unauzwa dukani-sijui nani aliwaambia wabongo kwamba kula huu unga ni umasikini
00702%2010%20BAK%20Cornmeal%20Can_rev-500x500.png
 
Back
Top Bottom