Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 2,732
- 4,651
Kwangu ugali dagaa ni full burudani
Hawajielewi mkuuwatakwambia achana na ugali unadumaza akili
Jinga kabisa hili anakulaje ugali🤔Kheeeeeee ❌❌❌
Shemeji yako mkuu 😀Mkuu ni wewe ndo unapika hivi?
Natoka hapa thread inakera 😁Jinga kabisa hili anakulaje ugali🤔
Kijana ana piko huyoMkuu ni wewe ndo unapika hivi?
Hapo ni dagaa tu huo ugali umetudumaza sana akili.
Inanuka ujinga tu hata pombe yangu inaanza kuninyonga kwa dharau sana🤔Natoka hapa thread inakera 😁
Aah uhakika kamanda😁Shemeji yako mkuu 😀
umeanzaKheeeeeee ❌❌❌
🤣🤣🤣Kijana ana piko huyo