• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

N

nizakale

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2019
Messages
585
Points
500
N

nizakale

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2019
585 500
Hata wakianza kutaga yanakuwa size ndogo
Mkuu, ulishawai kufuga kuku, japo 50? Maana kama ni wale broilers wakipata ugonjwa unaweza kupata presha, tena kama pesa ndo za FINCA, itakula kwako. Bora kuku wa mayai, ila ndio hivyo uwe na mtaji mnene coz wanakula kwa miezi 5-6 ndo waanze kutaga mayai!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
256
Points
250
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
256 250
Nimetengeneza Excel template kwa ajili ya wafugaji ambayo ina sehemu ya mapato, matumizi pamoja na stock inventory. Inaonesha faida/hasara, na pia inajiupdate automatically (ukiuza mfugo mfano kuku, template inakuonesha idadi ya kuku iliyobaki bandani bila hata kuhesabu idadi yao).

Nimekuwa nikitangaza template mbalimbali lakini mods wanazifuta hivyo kwa sasa nimesitisha kutangaza tena template mpya nilizonazo (nilitangaza templates zaidi ya tano, lakini mpaka sasa zimebaki mbili zingine zote wamezifuta)
Template inatunza taarifa (kumbukumbu) za mwezi mzima na inakuwezesha kujua mapato na matumizi katika tarehe yoyote unayohitaji (ipo kama google search).

Bei ya template ni Tsh 25,000/=
Kama unaihitaji tuwasiliane kupitia ebusiness.excel@gmail.com au PM
Unaweza kupitia pia templates zingine katika post za "started by" kwenye profile yangu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
G

GJ Ze Great

Member
Joined
Jan 21, 2020
Messages
10
Points
45
G

GJ Ze Great

Member
Joined Jan 21, 2020
10 45
Habari wa ndugu kwa wale wafugaji wa kuku wa nyama nafahamu katika kuandaa banda la kuku kwa ajiri ya kuingiza vifaranga n lazima pawepo na malanda na malanda mazuri hasa ambayo hayana mazala kwa kuku wako n malanda ya mpunga japo kwa apa dar n garama kidogo kwa roba moja ni 7000 ad 8000 mm nawapa solution na unafuu kidogo wa haya malanda kwa roba moja utapata kwa 5000 na pia kadri unavyozid chukua tunaweza fanya biashara ya mali kauli na punguzo zaidi ya hapo tuwasiliane wana ndugu
Mimi nahitaji sana pumba unapatikana wapi hapa Dar


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Youngstunna

Youngstunna

Senior Member
Joined
Jul 5, 2016
Messages
100
Points
225
Youngstunna

Youngstunna

Senior Member
Joined Jul 5, 2016
100 225
Nanunua mayai naomba contact zake
Wakongwe,

Kuna ndugu yangu ameanza mradi wa ufugaji kuku wa kisasa miezi kadhaa iliyopita.
Ila changamoto anayopata ni katika kupata masoko,aliingia kwenye ufugaji bila kufanya utafiti wa masoko.
Kwa wenye kufahamu namna anaweza kupata masoko naomba mtusaidie..!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
17,787
Points
2,000
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
17,787 2,000
Hii thread imekuwapo toka mwaka 2009, yaani miaka 11 hadi leo, sasa tunaomba mrejesho kama kuna mwana JF aliyefanikiwa kutoka kimaisha - yaani kusomesha watoto shule nzuri, kujenga nyumba, kununua gari nk kupitia hawa kuku tu...
 
B

BLOGER10

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Messages
255
Points
250
B

BLOGER10

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2017
255 250
Kuku wa broiler ni kuku wa nyama kwa wale wasiojua hii aina ya kuku.

Uzuri wa kuku wa broiler wanafugwa ndani ya wiki nne tu, yaani mwezi mmoja na wanakuwa tayari kwa ajili ya kupelekwa sokoni.

Kujua zaidi kuhusiana ana ufugaji huu tazama video niliyoiandaa hapa kwenye mradi wangu wa ufugaji wa broiler apa chini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
October man

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
3,029
Points
2,000
October man

October man

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2017
3,029 2,000
Hii thread imekuwapo toka mwaka 2009, yaani miaka 11 hadi leo, sasa tunaomba mrejesho kama kuna mwana JF aliyefanikiwa kutoka kimaisha - yaani kusomesha watoto shule nzuri, kujenga nyumba, kununua gari nk kupitia hawa kuku tu...
Kwanini umeweka “hawa kuku tu”

Mjasiliamari afanyi biashara moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzanite klm

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
430
Points
500
Tanzanite klm

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
430 500
Kwa mahitaji ya kutotoa mayai yako upate vifaranga kama upo Arusha mjini.
tupo Njiro.

Tupigie au SMS 0710609032.
Leta kuanzia tray tatu kuendelea.
Kama huna mayai ya mbegu, tutakupa mayai bora.
 

Forum statistics

Threads 1,405,611
Members 532,063
Posts 34,490,707
Top