Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Mlachake

Mlachake

JF-Expert Member
4,120
2,000
Ni nzuri sana kama una eneo kubwa na halina magonjwa ya kuwadhuru kuku hao, kikubwa hapo ni unataka kufuga kuku wa aina gani, kiasi gani, na lengo la kuwafuga ni lipi?
Kisusi Mohammed na wewe unajua biashara ya kufuga kuku? wazee wa teknosevis
 
JMWAKA

JMWAKA

JF-Expert Member
655
500
Milioni 1 nyingi sana nakushauri nunua vifaranga ambao tayari wamepewa chanjo zote being sake kati ya elf4 au 5 nunua hata 40 Wa kuanzia alafu jenga banda lisizidi laki5 kozi 2 tofali zungusha wavu nenda kanunue bati second hand tazara milioni 1 inaweza kukuzalishia mpaka ukaogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
highness long

highness long

JF-Expert Member
520
500
Nashukuru ushauri ni mzuri

Nashukuru sana kwa ushauri mzuri wazo bado lipo hai Naendelea kufanyia kazi zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
B

babuukikolo

Senior Member
125
250
Kuna mtu kanunua silverlands na bdo analalamika hawakui na wanakula sana. Cha muhimu hata hizo za mtaani mi ninazo na sasahv ndo nafuga kibiashara maana mwanzo nilifuga kwa matumizi yangu tu.

Kuku we mpe chanjo zote na kuna ugonjwa mmoja mbaya sana unaitwa coccidiosis unakuwa unawapa dawa tu ukiona choo cha ugoro au dalili ya damu.

Vinginevyo hamna changamoto yoyote mwaka jana mwishoni niliuza kuku 160. Sahv nina kuku 270 tayari kwa pasaka...maisha ni kudhubutu maana mwanzoni niliona hawana faida ila nikitoa gharama ya ulishaji faida naiona.

Pumba tani 1 nanunua kwa laki 3. Then mahindi,mashudu,uduvi au dagaa,mifupa na chumvi. Chakula cha kununua cha ready made ni gharama sana maana kuroiler wanakula balaaa hadi usiku kama ukiwasha taa wao ni kula tu hawajui kingine.

Jaribu huwezi jua bahati yako iko wapi mana kila mtu na mkono wake. Kuna mwingine biashara ya kuku anaona hailipi, mwingine biashara ya gari hataki kusikia kabisa,mwingine kilimo anaona hakilipi ila kwa waliotoboa kupitia hivyo vitu ina mana walijaribu bila kuangalia hasara kwa awali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
highness long

highness long

JF-Expert Member
520
500
Asante sn

casanova69

casanova69

JF-Expert Member
1,940
2,000
Tatizo lipo kwenye gharama za chakula,imetatuaje hili?
 
Wangaeli

Wangaeli

Member
62
95
Jamani wandugu mimi nina banda tena kubwa tu la kutosha kuku 500 na zaidi but kinachonisumbua ni mtaji nipo maeneo ya tabata chang'ombe naomba kama kuna mwenye kujua wapi naweza kopa vifaranga plz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads
1,424,515

Messages
35,065,647

Members
538,005
Top Bottom