Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Hata wakianza kutaga yanakuwa size ndogo.
Mkuu, ulishawai kufuga kuku, japo 50? Maana kama ni wale broilers wakipata ugonjwa unaweza kupata presha, tena kama pesa ndo za FINCA, itakula kwako. Bora kuku wa mayai, ila ndio hivyo uwe na mtaji mnene coz wanakula kwa miezi 5-6 ndo waanze kutaga mayai!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wa ndugu kwa wale wafugaji wa kuku wa nyama nafahamu katika kuandaa banda la kuku kwa ajiri ya kuingiza vifaranga n lazima pawepo na malanda na malanda mazuri hasa ambayo hayana mazala kwa kuku wako n malanda ya mpunga japo kwa apa dar n garama kidogo kwa roba moja ni 7000 ad 8000 mm nawapa solution na unafuu kidogo wa haya malanda kwa roba moja utapata kwa 5000 na pia kadri unavyozid chukua tunaweza fanya biashara ya mali kauli na punguzo zaidi ya hapo tuwasiliane wana ndugu

Mimi nahitaji sana pumba unapatikana wapi hapa Dar


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuku wa broiler ni kuku wa nyama kwa wale wasiojua hii aina ya kuku.

Uzuri wa kuku wa broiler wanafugwa ndani ya wiki nne tu, yaani mwezi mmoja na wanakuwa tayari kwa ajili ya kupelekwa sokoni.

Kujua zaidi kuhusiana ana ufugaji huu tazama video niliyoiandaa hapa kwenye mradi wangu wa ufugaji wa broiler apa chini.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii thread imekuwapo toka mwaka 2009, yaani miaka 11 hadi leo, sasa tunaomba mrejesho kama kuna mwana JF aliyefanikiwa kutoka kimaisha - yaani kusomesha watoto shule nzuri, kujenga nyumba, kununua gari nk kupitia hawa kuku tu...
Kwanini umeweka “hawa kuku tu”

Mjasiliamari afanyi biashara moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mahitaji ya kutotoa mayai yako upate vifaranga kama upo Arusha mjini.
tupo Njiro.

Tupigie au SMS 0710609032.
Leta kuanzia tray tatu kuendelea.
Kama huna mayai ya mbegu, tutakupa mayai bora.
 
Hata mimi nipo nafuga nakutana na Changamoto sana kiongozi.
Yan ni basi tu

Unatumia gharama kubwa sokoni wanakuzingua. ila pambna kiongozi I believe one day yes Tunaelimika kutokana na makosa. Nina imani ulivyo sasa ni tofauti na ulivyoanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom