Ufugaji kuku sio mwanzo wa utajiri pekee, unaweza ukawa mwanzo wa umasikini wa uhakika. Zingatia yafuatayo ili upate mema kupitia kuku

Hivi unaweza jitengenezea chakula bora kama cha silverland.Hats ufanyeje ile formula ni noma.Labda uende SUA ukafanyie PhD. Aisee ilw formula sijaona mbongo alieiweza.Piga UA chakula cha silver land hukikwepi kama kweli wewe in mfugaji.
Mh humu ndani inapaswa mtu kuwa 'active' kiakili ukiwa 'passive' utayumbishwa sana. Watu wanalazimisha 'realities' zao kuwa za wengine.

Kwa welewa wangu mtu unapaswa ujue nini kinaleta nini katika mwili wa kuku. Ukienda mbali ujue umri gani na ale nini, shughuli gani kuku anafanya na ale nini: anataga? anaatamia? wa nyama? Hali ya hewa gani? Na mazingira. Kwa hyo ale hivi! Unahitaji pHD gani sasa hapo zaidi ya maelekezo ya msingi yanayo hitaji akili ya kawaida tu!
 
Kwenye miji midogo bei ya chakula ipo juu balaa! Kuna maeneo Silverland wanauza 2,000/kg
One time nikiwa Mbeya nilitumiaga chakula toka Simex, niliona si mbaya kadiri ya bei (Starter ilikuwa 45,000/50kg)
 
Mkuu ungekuwa umetusaidia sana ungetutajia walau formula moja ya chakula inayofanana walau kwa 80% na hivi vyakula vya viwandani
 
Mimi nina totoresha vifaranga , tray moja ni shilingi 14000 pekee.

Njoo na mayai yako bora kabisa yenye mbegu.
kama hauna mayai tutakuunganisha na wenye mayai bora yenye mbegu.
Tuko kimara dar es salaam.
 
Mkuu ungekuwa umetusaidia sana ungetutajia walau formula moja ya chakula inayofanana walau kwa 80% na hivi vyakula vya viwandani
Wabongo weng ni wachoyo wa maarifa....wakat hata soko lenyewe hatijaweza kulikidhi mahitaji yalyopo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom