Zuleykha
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,163
- 1,656
Anapatkana wapi?ANAITWA BRAHMA
Anapatkana wapi?ANAITWA BRAHMA
Mh humu ndani inapaswa mtu kuwa 'active' kiakili ukiwa 'passive' utayumbishwa sana. Watu wanalazimisha 'realities' zao kuwa za wengine.Hivi unaweza jitengenezea chakula bora kama cha silverland.Hats ufanyeje ile formula ni noma.Labda uende SUA ukafanyie PhD. Aisee ilw formula sijaona mbongo alieiweza.Piga UA chakula cha silver land hukikwepi kama kweli wewe in mfugaji.
Hehe!Mkuu ukiwa na kuku 300 utawafungulia wakazurure? Huyu anazungumzia ufugaji kuku wawe wakizungu au kiswahili wrote wanahitaji chakula bora.
Mwaka 2013 niliwa kuona mbegu inayotaka kufanana na hiyo maeneo ya Ngara-Kagera,mpakani na Burundi.Mbegu ya kuku huyo ninaweza kuipata kwako?
Wabongo weng ni wachoyo wa maarifa....wakat hata soko lenyewe hatijaweza kulikidhi mahitaji yalyopoMkuu ungekuwa umetusaidia sana ungetutajia walau formula moja ya chakula inayofanana walau kwa 80% na hivi vyakula vya viwandani
Andika neno KUKUSITE Najua utanishukuru Kwa upande wa kuchanganya chakula.Ila kwakweli hebu wadau tiririkeni formula za chakula cha kuku....broilers kwa layers