lakini chama kama cha Mapinduzi kitaweza vipi kuendesha pasipo kuungwa mkono na wanachama wake? Lakini swali la muhimu nadhani pia ni kuona kwanini kuna ulazima wa CCM kuchangiwa wakati kinapokea ruzuku ya karibu bilioni 2 kila mwezi?
Katika vitu ambavyo vinawapa kichwa ngumu CCM ni kuwa na wapinzani wababaishaji. Kwanza OPARESHENI SANGARA kauli mbiu inayotoa hamasa yoyote ile.....!!!
Kwanini wasiita Tanzania Tunayoitaka..Ikawa kama vile kuwaambia wananchi watarajie nini kutoka kwao, na pia kupata maoni ya wananchi kuhus Tanzania Wanayoitaka!
Credibility ya viongozi wetu wa vyama vingi vya upinzani inatia mashaka sana!!
hata mimi sijaipenda hii kauli mbiu ya OPARESHENI SANGARA, siasa sio vitisho tu! tumeona OBAMA na kauli mbiu yake ya "CHANGE WE CAN BELIEVE IN" tuige mifano midogo kama hii katika kupambana kisiasa na pia tuje na mifano halisi tuliyoifanya katika kuiendeleza jamii zetu. maneno mengi na ya vitisho hayatatufikisha popote.
Kauli tamu ya "Nguvu mpya, Kasi mpya" imetunufaisha vipi watanzania hadi sasa?
Katika vitu ambavyo vinawapa kichwa ngumu CCM ni kuwa na wapinzani wababaishaji. Kwanza OPARESHENI SANGARA kauli mbiu inayotoa hamasa yoyote ile.....!!!
Kwanini wasiita Tanzania Tunayoitaka..Ikawa kama vile kuwaambia wananchi watarajie nini kutoka kwao, na pia kupata maoni ya wananchi kuhus Tanzania Wanayoitaka!
Credibility ya viongozi wetu wa vyama vingi vya upinzani inatia mashaka sana!!
Lakini msingi wa urafiki huu hasa ni nini? Kwanini CCM inapokea misaada kutoka kwatu watu of questionable character? Yawezekana kuwa CCM haijali misaada inatoka kwanini alimradi watu hao hawajakutwa na hatia mahakamani?
Ilipogundulika kuwa shangazi yake Obama kule MA (ambaye ni illegal) amechangia karibu dola 230 hivi kwenye kampeni ya mpwae Kamati ya Kampeni ya Obama ilirudisha fedha hizo mara moja. Imetokea pia kwenye wanasiasa wengi inapogundulika kuwa michango waliyopokea imetoka kwa watu ambao haifai kuwa nao karibu.. kwanini CCM haiwezi kufuata mfano huu kuonesha kuwa hata ile kuonekana wanakula sahani moja na mwizi ni no no!?
Credibility ya viongozi wetu wa vyama vingi vya upinzani inatia mashaka sana!!
Asante...............! Wakati mwingine mambo kama haya yanakatisha tamaa sana. Questioning our credibility......generalisation!
Tatizo lenu mnapenda kusifiwa tu mkikosolewa oooh mnatukatisha tamaa! Kauli ya Masaki inajitisheleza kabisa sijui nini usichokielewa hapa ndio tatizo la kupenda misifa na kuwa wanasiasa wa magazeti
Tatizo lenu mnapenda kusifiwa tu mkikosolewa oooh mnatukatisha tamaa! Kauli ya Masaki inajitisheleza kabisa sijui nini usichokielewa hapa ndio tatizo la kupenda misifa na kuwa wanasiasa wa magazeti
Mkuu mbona matusi tena,, looks like it is now personalized. Hivi ni vibaya mtu akieleza feelings zake?
Zitto condemn the generalization and you keep on generalizing!!!!!!!!! Du safari ni ndefu!!
[/COLOR]
Mkuu naona umefunga milango ya fahamu......! nililoliona mimi ni kuwa Mh. Zitto anashangaa unageneralise....as if viongozi wa upinzani wote wanasifa zinazofanana, hili si kweli kabisa! CCM nako si wote ni mafisadi, si wote ni wala rushwa, si wote ni wababaishaji huko kuna voingozi bora pia......so unavyocomment usijumlishe wote kwa pamoja mkubwa.........! Waswahili husema '' Kwenye msafara wa mamba kenge nao huwepo'' therefore it's true, kwenye kila kundi kutakuwa na vizuri na vibaya!
Ma views!
Cheers
Unachekesha tusi lipo wapi hapo? au ndio kujaza posts....
hujaelewa kama ulisoma hesabu za decimal usingepata taabu kujua nilichomaanisha........
Naomba Profile ya ndugu Lukaza,
Asante...............! Wakati mwingine mambo kama haya yanakatisha tamaa sana. Questioning our credibility......generalisation!
Kujaza post ili iweje??????????? Kama ulichoandka unashindwa kupambanua matusi yako wapi basi maybe hujui definition ya tusi au unafikiri tusi ni mapaka maungo ya siri yatajwe?????????