Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

Wadau, Kuna habari za kuaminika kuwa JK anamrudisha Iron Lady "Blandina Nyoni" kwenye kiti chake cha enzi pale Wizara ya Afya, Wadau kaane chonjo

Sijui...ila siwezi sema 'never'! Jana (jumapili) madame Iron Lady BN alitoa sadaka ya shukrani kanisa la KKKT Msasani, cha ajabu laiksindikizwa na waKurungenzi na wakuu wa vitengo wengi toka hapo wizara ya afya! Nikabaki najiuliza kama ni kweli huyu mama anapendwa hivi, au watu wanajipendekeza wakijua anarudi hivyo waonekane marafiki au watu wa karibu kwenye ufalme wake! Cha kushangaza zaidi walikuwepo baadhi ya donors wa wizara ya afya...USAID, PMI, GF, PEPFAR...

Inawezekana ufalme wa huyu mama haujafikia mwisho...tusubiri tuone!
 
Kwani alionekana ana kosa gani? Hayo yote majungu. Bravo madamme Blandina Nyoni; bado tunahitaji mchango wako uliotukuka katika kujenga nchi yetu changa na maskini.
 
Yule adui wa afya akirudi tena MOHSW nachana vyeti nilivyohangaikia muhi2 university kwa miaka mingi. Bora nikauze nyanya.
 
Sijui...ila siwezi sema 'never'! Jana (jumapili) madame Iron Lady BN alitoa sadaka ya shukrani kanisa la KKKT Msasani, cha ajabu laiksindikizwa na waKurungenzi na wakuu wa vitengo wengi toka hapo wizara ya afya! Nikabaki najiuliza kama ni kweli huyu mama anapendwa hivi, au watu wanajipendekeza wakijua anarudi hivyo waonekane marafiki au watu wa karibu kwenye ufalme wake! Cha kushangaza zaidi walikuwepo baadhi ya donors wa wizara ya afya...USAID, PMI, GF, PEPFAR...

Inawezekana ufalme wa huyu mama haujafikia mwisho...tusubiri tuone!

Kwa maelezo yako Dr Riwa nahisi kama upo kumbe uwezekano mkubwa wa huyu mama kurudi, unless useme kuwa umejichanganya kujieleza
 
Lazima atarudi ila atabadilishiwa Wizara. kiburi alichokua nacho ni kwa sababu 1. katibu mkuu kiongozi Philemon Luhanjo ni ndugu na mama yake Blandina Nyoni na wanatokea kijiji kimoja Ilembula Njombe. 2. Mjomba wake Blandina Nyoni ni kigogo mkubwa sana wa Usalama wa Taifa anaitwa ndg Nyimbo
 
Cha ajabu nini hapo?
kwa Serikali ya CCM hata sishangai.
 
Kama tume ya uchaguzi ilichakachua matokeo na leo jk ni rais mbona hilo hawaongei.
 
Wadau, Kuna habari za kuaminika kuwa JK anamrudisha Iron Lady "Blandina Nyoni" kwenye kiti chake cha enzi pale Wizara ya Afya, Wadau kaane chonjo

Hapo ndipo mtakapotambua kuwa Pinda ni kama mbwa asiye na meno au joka la kibisa!
 
Kwa maelezo yako Dr Riwa nahisi kama upo kumbe uwezekano mkubwa wa huyu mama kurudi, unless useme kuwa umejichanganya kujieleza
BN ni jembe.anauwezo mzuri sana kutumiwa kifisadi.serikali haiwezi kumuachaa aumie pekee yake wakati madudu yote unayoyajia ambayo yeye amefanya kuna presure toka magogoni.Hawa kwenye familia yao ya Dr. Badi ambaye alikuwa anafanya kazi pale ilembura hospital ni hatari sana.kuna mdogo wake anaitwa Liliani Badi alikuwa mkurugenzi wa frdhs na utawala pale PACT international alukuwa na mikadjfa kibao lakini ilichukuuwa muda mrefu sana kumungoakwa kuwa alikuwa amekamizizi ya hatari wakishirikiana na bn kufuja fedha za miradi toka usaid na pepfar.kwa hiyo huyu bn anaushawishi kwa donar wakubwa kwa miradi ya afya.ameweza kuwaweka vizuri haea donor rrpresentatives walioko nchini kwap takrima.na hii hajaanza leotoka enzi za akiwa hazina.huyu ni msomi wa ngazi ya juu ya uhasibu huwa hafanyi kitu kwa bahati mbaya bali kwa mskusudi na kufukia.sijaona cag amesemaje kuhusu matumizi ya afya lakini hawezi kuoms dosari yoyote ile technicaly.kwa hiyo nashawishika kuamiikuwa huyu ayan lady hawezi kutupwa halkadhalika. Yule jamaa wa nishati na madini aliyepelekwa kule dubai kupumzika baada ya kelele nyingi za wabunge
 
hakufukuzwa alisimamishwa tu

Kweli kabisa, kuna siku nilikuwa na jamaa yangu wa karibu sana na Blandina Nyoni na huyo jamaa ni mhubiri akaniambia alikuwa ameitwa na Blandina aende kumwombea, akamkuta kwake. Ajabu ni kuwa Blandina Nyoni bado anatembelea gari la wizara na akamwambia huyo jamaa kuwa anategemea kurudi wizarani au atapangiwa wizara nyingine.
 
Kama siyo yeye anayetikisa kiberiti basi wewe ndo unatikisa kiberiti!!!!!
 
Vyombo vya dola vimefanya kazi yake kama sheria inavyosema na yeye kama natural justice inavyotaka alipewa nafasi ya kujitetea na imeonekana hana hatia full stop. Majungu hayana nafasi mahala penye haki sasa Dau na genge lako tafuteni mbinu nyingine ya kummaliza huyu mama hii imeshindwa!!
 
Mweee! Wabena Heko!!!! Nilidhani Rtd Lhnj kaondoka basi tutaanza kusakamwa na Mashirika yetu aliyotugawia tuchume, kumbe ng'ooo!
 
Wadau, Kuna habari za kuaminika kuwa JK anamrudisha Iron Lady "Blandina Nyoni" kwenye kiti chake cha enzi pale Wizara ya Afya, Wadau kaane chonjo

Nimeipenda hii arudi kuwakomesha mafisadi wa posho za semina
 
Wadau, Kuna habari za kuaminika kuwa JK anamrudisha Iron Lady "Blandina Nyoni" kwenye kiti chake cha enzi pale Wizara ya Afya, Wadau kaane chonjo[/

Kama BN anawwza kurudi wizara ya afya basi Steven Kanumba naye atafufuka na kumalizia sinema yake ya hollywood
 
Hongera sana JK kwa kuamua kumrudisha Iron lady Blantina Nyoni wizarani. Huyu mama ni mchapa kazi. Madakatari walimchafua na kumdhalilisha kwa sababu ya wivu,majungu,upuuzi mtupu!
Principally,mama huyu ni mchapa kazi sana, makini sana, mwaminifu sana,anauchungu na nchi sana!

JK naomba kwa kwa masilahi mapana ya TZ nchi yetu, mama huyu arudishwe wizara ya Afya mara moja. jamii in muhitaji.Na wale wapiga domo, mafisadi wanaomchafua watelekezwe!

Jamanii tuwe wakweli.Tuacha majungu yasiyo na msingi.Tutachalewa kwa sababu ya majungu yetu!
 
Back
Top Bottom