Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

hivi vyombo vya usalama vilikuwa wapi muda wote alipokuwa anafanya maovu hayo?
upelelezi ufanywe haraka ashughulikiwe tena arudishe mali yetu watanzania
 
A double agent, commonly abbreviated referral of double secret agent, is a counterintelligence term used to designate an employee of a secret service or organization, whose primary aim is to spy on the target organization, but who in fact is a member of that same target organization oneself. They are often used in local, national and international businesses. Most commercial organizations may formally delay the movement from one organization to another competitor after a defined time limit upon formally resigning from the official organization.
Double agentry may be practiced by spies of the target organization who infiltrate the controlling organization, or may result from the turning (switching sides) of previously loyal agents of the controlling organization by the target; the threat of execution is the most common method of turning a captured agent (working for an intelligence service) into a double agent (working for a foreign intelligence service) or a double agent into a re-doubled agent. It is unlike a defector, who is not considered an agent as agents are in place to function for an intelligence service and defectors are not, but some consider that defectors in place are agents until they have defected.
Double agents are often used to transmit disinformation or to identify other agents as part of counter-espionage operations. They are often very trusted by the controlling organization since the target organization will give them true, but useless, information to pass along.

AttentionWhore.jpg
 
Vita hii watashinda wananchi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania! Nchi yetu sote hii! Dhuluma haiwezi kushinda kamwe!
 
kama yote hayo ni kweli na hayo nisehemu tu ya madudu yanayoendelea nchinia ndugu zangu wa JF naona wote kwaujumla wetu tuchukue hatua ya mwanzo kuyaweka hadharani madudu yote tunayo yaona huko tuliko kwakuyaeleza waziwazi kwa kuwataja MAJINA YAO hao wanaohusika bila kuwaonea hayo maana wao wanafikiri hawajulikani ndio maana wanakuwa na JEURI YA CHAMA tuwaumbue hiiiwe hatua yamwanzo
 
Nchi ambayo kila kitu kinawezekana!!!!!!!!! Ujinga huu........ikishinda tena CCM miaka ijayo naamia msituni
 
Hii inatisha mwenyezi mungu atahukumu mpaka achoke, watu wengine ni wakala wa shetani na freemasonly kuacha wagonjwa wanakufa hovyo ilikuwa ni hujuma ya kukusanya damu kwa ajili ya kafara zao, jamani watu tumuombe mungu sana hali inatisha tanzania hii iliyokuwa kisiwa cha amani. Mama huyu akikuchukia ulikuwa umekwisha hata baadhi ya makabila alikuwa hayataki sababu haijulikani wakati tanzania hatuangalii ukabila tunatanguliza utaifa kwanza.
 
Taarifa za karibuni ni kwamba, pamoja na kusimamishwa kazi bado blandina anaenda ofisini na kujifungia na internal auditor, na external auditor wanachofanya wanakijua wao, ina maana kamdharau waziri mkuu aliyetamka kumsimamisha kazi, anasafisha nini mle ofisini?
 
Ndugu yangu Tumbiri, TISS (UWT) wameshakufanyia uchunguzi, file lako wanalo na wameshakujua wewe ni nani. Wamenidokeza kuwa wewe ni mtumishi wa Wizara ya Afya, so kaa mkao wa kula siku yeyote wanakuletea kipira.

Karata, pole sana.
Siku nyingine usiongee C*R*A*P
TISS ilikuwa miaka hiyo, kwa sasa pale hakuna kitu, ndo sababu kila kitu kinavuja sasa.
Mikwara mbuzi kama huo wa kwako ishapitwa na wakati long time sana
 
The system is wrong. Makatibu Wakuu ni Miungu - Hata Waziri hamfikii

Big Up! The system is very wrong. Without changing the system there is no way to eliminate such practices. Principal Secretaries have so much power to make them extremely corrupt.
 
Wadau tujuzeni kinachoendelea maana mambo yako kimya tokea mkuu wa nchi amalize soo la mgomo na madaktari. Au yale yaliyosemwa kuwa Blandina Nyoni atapangiwa kazi nyingine na JK yametimia?
 
Wadau, Kuna habari za kuaminika kuwa JK anamrudisha Iron Lady "Blandina Nyoni" kwenye kiti chake cha enzi pale Wizara ya Afya, Wadau kaane chonjo
 
Iyo ni sawa na kurudisha gesi kwenye chupa ya soda baada ya kuifungua
 
Kweli kabisa, kuna siku nilikuwa na jamaa yangu wa karibu sana na Blandina Nyoni na huyo jamaa ni mhubiri akaniambia alikuwa ameitwa na Blandina aende kumwombea, akamkuta kwake. Ajabu ni kuwa Blandina Nyoni bado anatembelea gari la wizara na akamwambia huyo jamaa kuwa anategemea kurudi wizarani au atapangiwa wizara nyingine.
 
Kwani hakuna Watanzania wengine wanaoweza kuifanya hiyo kazi? Kila siku ni hao hao wapumbavu waliotufikisha hapa tulipo kwa kutumia Masaburi yao kama Mkuu wao wa Magogoni anavyotumia Masaburi kuwadanganya Watanzania
 
kiburi na dharau huyo mkulu anaweza pasi kujali watasema niini waungwana
 
Wadau, Kuna habari za kuaminika kuwa JK anamrudisha Iron Lady "Blandina Nyoni" kwenye kiti chake cha enzi pale Wizara ya Afya, Wadau kaane chonjo

Ayan lady karibu tumekummsss yaani tuka uondoke hapa wizarani hata chai hatunywi maisha yamekuwa ovyo sana hii wizara inataka watu wa aina yako yaani upole, ukarimu na ucheshi wako vinahitajika sana kama kuna kelele na hiyo mariedo basi achana nayo kwa muda
 
Back
Top Bottom