kwakweli sikujua kama huyu mama ni shetani wa miguu mitatu, jinsi alivyo na dhambi aliyoitenda hakika Mungu Baba hatamuacha hivihivi.
sasa tuhuma zote hizi wafanyakazi wa wizara walikuwa wanasubiri madaktari wawagomee?
huyu mama kaishia wapi na sakata lake? Tuliambiwa uchunguzi unafanyika, miezi yote hii? Au kasharushwa ubalozini?
Ni maelezo ya mbunge wa viti maalum magdalena sakaya bungeni...kweli inasikitisha sana...katibu mkuu wa wizara anaondoa vifaa muhimu vya tiba kwenye hospitali ya umma na kuvipeleka kwenye hospitali binafsi kwa ajili ya dili...hatimaye anayelaumiwa ni serikali na rais kumbe ni wasaliti wachache wenye njaa zao...kwa taarifa ya magdalena sakaya blandina nyoni akamatwe na polisi na kisha afikishwe mahakamani
Kuna ushahidi au kupaka watu matope pasi na sababu mpate umaarufu?
Ni maelezo ya mbunge wa viti maalum magdalena sakaya bungeni...kweli inasikitisha sana...katibu mkuu wa wizara anaondoa vifaa muhimu vya tiba kwenye hospitali ya umma na kuvipeleka kwenye hospitali binafsi kwa ajili ya dili...hatimaye anayelaumiwa ni serikali na rais kumbe ni wasaliti wachache wenye njaa zao...kwa taarifa ya magdalena sakaya blandina nyoni akamatwe na polisi na kisha afikishwe mahakamani
Wananchi wanateseka bure kumbe kila kitu serikali imenunua, hujuma tu kutoka kwa watu wachache wasio na maadili