figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,030
- 64,111
Huyu kijana ni mwanachama wa CCM anaitwa Mussa Ismail Bad ni timu ya Emmanuel John Nchimbi kumbe alitekwa na watu wasiojulikana. Wanaharakati hawakutilia maanani sababu aalikuwa nzi wa kijani.
Alikuwa anatokea msikiti wa Manyema kuswali baada ya kumaliza shughuli zake ofisi ya Chama cha mapinduzi, lakini pia ni mwana kikundi wa Lumumba Alliance Club (LAC)
Tangia atekwe mpaka sasa ni miezi Minne hakuna anayejua taarifa zake lakini pia huyu kijana kabila lake ni Mbena pia ana undugu na aliyewahi kuwa katibu wa Wizara ya Afya Blandina Nyoni.
Alitekwa Mwezi wa sita maeneo ya Kinondoni Mkwajuni ila kila mtu anaogopa kuzungumza hii ni hatari sana.
Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake, tuungane kupigania haki.
MY TAKE;
Wote waliokuwa na vinasaba na Emmanuel Nchimbi walitekwa kabla ya Nchimbi kujiuzulu.