Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

Huyu Nyoni atakuwa bilionea ,hivi bado hajapelekwa takukuru tu? Hii ni hatari sana nafikiri katika awamu zilizopita alikuwa na watu wakubwa nyuma yake.
 
Kodi yangu jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Naona km aloanzisha habar za huyu mama , anakataarifa .

Nikm wanataka kumtumbua tuu sasa zinaanza za kunyapia
 
Uwiiii sijui nipo nchi gan
Upo Tanganyika.
Alikuwa mwenyekiti wa bodi ya NHC mpaka jana alipotumbuliwa na JIWE!
Mie sikulijua hilo, kwamba pamja na madudu yote pale wizarani, alikuwa bado anakula pesa za walipa kodi kupitia NHC
 
yaani hyu mama kumbe alikuwa bado kwenye system? pamoja na wizi wote alioufanya akiwa wizarani?
 
yaani hyu mama kumbe alikuwa bado kwenye system? pamoja na wizi wote alioufanya akiwa wizarani?

Ukiangalia Viongozi waliopo Sasa Ni walewale wa miaka 20 iliyopita... Sijui vijana wa leo watakua viongozi lini...
 
Kaburi la siku nyingi sana hili.....hivi Blandina bado anauza maji ya upako ya TB JOSHUA!
 
Back
Top Bottom