Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

Mkuu Tumbili
Ulichoandika ni sahihi, kwa kuongezea, baada ya hiyo barua, Nyoni akapitisha circular ya uamisho kwa madaktari, ilikuwa ni tawanya tawanya, ilikuwa ni kulipiza kisasi. Lakini, ikabidi waziri mwakyusa aingilie kati, ndo uamisho ukasitishwa.
Huyo mama ana deviant behavior, ni mkorofi sana kwa sabodinate wake.
Anapenda kuweka team/system yake ya upigaji.
TISS, TAKUKURU nawapa tena assignment, nendeni mkahoji ni kwa nini alitaka kumuamisha Procurement officer wa miradi ya ADB, na kutaka kumuweka mtu wake. Lakini ADB, walikataa huo ****** wake, wakasema huyo jamaa aliyopo ndo wanamtaka, hawataki mabadiliko wowote.
Huyu mama anatakiwa apande karandinga mapema sana.
 
mtasikia tu
kuwa bi Nyoni hana makosa yeyote na yupo huru,serikali imempangia kazi nyingine na kumlipa mishahara yeke yote wakati alipo kuwa amepisha uchunguzi

subirini mtaliona hilo siku si nyingi zijazo
 
Mkuu Tumbili
Ulichoandika ni sahihi, kwa kuongezea, baada ya hiyo barua, Nyoni akapitisha circular ya uamisho kwa madaktari, ilikuwa ni tawanya tawanya, ilikuwa ni kulipiza kisasi. Lakini, ikabidi waziri mwakyusa aingilie kati, ndo uamisho ukasitishwa.
Huyo mama ana deviant behavior, ni mkorofi sana kwa sabodinate wake.
Anapenda kuweka team/system yake ya upigaji.
TISS, TAKUKURU nawapa tena assignment, nendeni mkahoji ni kwa nini alitaka kumuamisha Procurement officer wa miradi ya ADB, na kutaka kumuweka mtu wake. Lakini ADB, walikataa huo ****** wake, wakasema huyo jamaa aliyopo ndo wanamtaka, hawataki mabadiliko wowote.
Huyu mama anatakiwa apande karandinga mapema sana.

Hiyo kazi tungewapa polisi wa interpol maana ndio wanaweza kuja na ukweli halisi,lakini akipewa CAG hakuna kitu hapo,atasafishwa tu
 
Mkuu Tumbili
Ulichoandika ni sahihi, kwa kuongezea, baada ya hiyo barua, Nyoni akapitisha circular ya uamisho kwa madaktari, ilikuwa ni tawanya tawanya, ilikuwa ni kulipiza kisasi. Lakini, ikabidi waziri mwakyusa aingilie kati, ndo uamisho ukasitishwa.
Huyo mama ana deviant behavior, ni mkorofi sana kwa sabodinate wake.
Anapenda kuweka team/system yake ya upigaji.
TISS, TAKUKURU nawapa tena assignment, nendeni mkahoji ni kwa nini alitaka kumuamisha Procurement officer wa miradi ya ADB, na kutaka kumuweka mtu wake. Lakini ADB, walikataa huo ****** wake, wakasema huyo jamaa aliyopo ndo wanamtaka, hawataki mabadiliko wowote.
Huyu mama anatakiwa apande karandinga mapema sana.

Mkuu nendeni na kule MSD mutashangaa mara 100 ya hayo yanayotokea wizarani. Kule yeye ndiye CEO wa MSD kwani Mgaya ni kama rubber stamp. Kwanza kabisa head wa PMU anayelalamikiwa na CAG famasisti Lucy ni binamu yake Blandina wa damu. Halafu Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ni Eva Nzaro ambaye ni mama yake mdogo na huyo Lucy. Manunuzi yote ya MSD yanayolalamikiwa Blandina Nyoni ana percent yake na ndiyo maana hawezi kumchukulia hatua mkuu wa PMU ambaye analalamikiwa kununua dawa zisizohitajika nchini za Bilioni nane ambazo ziliteketezwa mwaka 2010
 
Kama nilivyohaidi, nimeendelea kuwasiliana na watumishi wa Wizara ya Afya na wa Wizara ya Maliasili na Utalii kuhusu Ufisadi wa Blandina Nyoni. Yafuatayo ni baadhi ya vitendo vya Ufisadi vya Mama huyu ambaye kwa wengine wanamuona kama mchapa kazi hodari asiyekuwa na doa na anaezuia mianya ya wizi:-

1. Amekuwa akijilipa mshahara wa ziada kupitia Mradi wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi (NACP) wakati tayari serikali inamlipa mshahara wa ngazi ya Commissioner kupita Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)


2. Ametengua utaratibu rasmi wa kila Idara ya Wizara ya Afya kuwa na afisa manunuzi wake badala yake ame centralize kwake mwenyewe. Kwa maana hiyo, manunuzi yote ya Wizara anamlazimisha (Comand) Mkurugenzi wa Kitengo cha Manunuzi kumpa kazi zote ndugu yake anaeitwa Donatha Koko.

3. Amekuwa akicomand wizara kununua uniform za madereva, suti za sikukuu (Sabasaba na Nanenane) na Maua kutoka Mariedo bila kushindanisha na muuzaji mwingine kinyume na kanuni za manunuzi.

4. Katika mikutano yote inayofanyika Wizarani, amekuwa akicomand kampuni ya Kaliula Catering Services kupewa tenda ya kulisha chakula washiriki tangu alipotua Wizarani kama Katibu Mkuu.

5. Miezi mitatu iliyopita aliiteua kampuni ya Soft tech ambayo yeye ni mbia kwenda kukagua Accounts System ya Muhimbili kinyume na kanuni za kikaguzi kwa kuwa tayari ana ‘Conflict of Interest’

6. Amekuwa akiongoza Wizara kwa kutumia Informers ambao kazi yao kubwa ni kumpelekea habari nani anasema nini na nani anasema nini kuhusu yeye binafsi na uongozi wake. Informers wake wakuu ni Elias Mkumbo ambaye ni dereva na Donatha Koko ambeye ni ndugu yake wa damu damu na ni afisa ugavi wa wizara

7. Amemkopesha gari la serikali aina ya Suzuki Informer wake Elias Mkumbo (dereva) ambae kimsingi hastahili kukopeshwa gari kutokana na cheo chake. Kwa dereva wa serikali, anachoruhusiwa kukopa ni Baiskeli, Piki piki na Piki piki ya miguu mitatu (Bajaj)

8. Amenunua vingamuzi vya magari (Vehicle Security and Fuel control system) vibovu kwa ajili ya magari manne kwa shilingi 1.3 Billion bila kufuata taratibu za manunuzi kwa kucomand Single source procurement kutoka kampuni moja yenye makao yake huko Israel. Manunuzi haya yamefanyika wakati Hospitali nchini zikiwa hazina dawa, Interns doctors hawajalipwa mishahara yao, watumishi wake wakidai fedha za likizo, uhamisho na vyuo vingi vya afya vilivyo chini yake vikiwa na madeni lukuki.

9. Mwishoni mwa mwaka wa fedha 2009/2010 alihamisha kiasi cha Shilingi 1,968,475,931 mali ya Wizara ya Afya kwenda National Institute for Medical Research (NIMR) bila kibali cha hazina kwa matumizi yasiyojulikana. Fedha hizi zilikuja kuhojiwa na CAG katika ripoti yake ya serikali kuu ya mwaka 2009/2010

10. Mwishoni mwa mwaka huo huo wa fedha alihamisha kiasi cha Shilingi 3,083,400,000 mali ya Wizara ya Afya kwenda Health Sector Development Project bila kibali cha hazina kwa matumizi yasiyojulikana. Fedha hizo pia zilihojiwa na CAG.

11. Amelikosesha Taifa kupata fedha za Mfuko wa dunia mzunguko wa 11 (Global Fund Round 11) kwa kupitia Mradi wa Taifa wa kudhibiti Malaria Nchini (NMCP) kwa kushindwa kutumia fedha zote zilizotolewa na mfuko huo katika mizinguko ya nyuma. Kwa kifupi ni kwamba Global Fund hawatoi pesa wakiona una Significant unspent balances.

12. Amekuwa akizuia uhamisho wa Chief Accountant (Bi Helen Saria Mwakipunda), Chief Internal Auditor (Bi Anna Joseph Mhere) na Director of Adminstration and Personnel (Bi Tabu Chando) kwa kile anachodai wanamsaidia katika utendaji wa Wizara. Amezua barua za uhamisho za Chief Accountant mara mbili, Chief Internal Auditor mara moja na Director of Administration and Personnnel mara moja. Ukweli ni kwamba amekuwa akizua uhamisho wa wakurugenzi hawa kwa sababu ni watu waoga na wamekuwa wakikubali chochote anachosema hata kama kinavunja kanunu na taratibu za serikali mfano katika maeneo ya Manunuzi.

Kwa nini Chief Accountant (Hellen Saria Mwakipunda) na Chief Internal Auditor (Anna Joseph Mhere) wanamuogopa kama Mungu Blandina Nyoni? Ni hivi: Hellen Mwakipunda, alikua Junior staff kwa Nyoni, kipindi hicho Nyoni ni Mhasibu mkuu wa Serikali. Blandina Nyoni ndiye aliye mpandisha cheo Mwakipunda na kuwa Chief Accountant, kipindi hicho hata CPA hakuwa nayo. Anna Mhere alipata u-CIA akiwa na Advance Diploma in Accountancy - ADA tu. Ili swala lilikuwa linawashangaza watu wengi sana. Sasa kwa inferiority complex walizokuwa nazo hawa wakina mama, ni lazima wamuabudu Blandina Nyoni.

13. Amemuhamisha aliyekuwa Kaimu wa Kitecho cha Ugavi Mzee Funga kwenda Hospitali ya Mirembe Dodoma kwa kukataa kununua Uniforms, suti na Maua kutoka kwa Mariedo kwa sababu alihoji ni kwa nini Mariedo watoe huduma wakiwa hawana Mkataba na hawajashindanishwa na wauzaji wengine.

14. Amekuwa akihama hama na dereva wake toka Hazina alipokuwa Muhasibu Mkuu wa serikali hadi Wizara ya Maliasili na Utalii kama Katibu Mkuu. Pia amehama na dereva huyo huyo kutoka Maliasili hadi Wizara ya Afya kinyume na taratibu na kanuni za Utumishi wa umma ambazo haziruhusu kiongozi au mtendaji yeyote wa serikali kuhama na dereva au / na secretary

15. Hamsalimii Naibu wake Waziri Bi Lucy Nkya kutokana na Naibu huyo kugoma kupangiwa dereva ambaye ni Informer wake. Hadi leo hii hamsalimii hata wakikutana kwenye kordo. Kinachowazungumzisha ni madokezo tu.

16. Alikuwa na uhusiano mbaya na Naibu Waziri wake aliyeondoka Bi Aisha Kigoda kwa sababu ambazo hazijulikani. Kama ilivyo kwa Lucy Nkya nae pia walikuwa hawasalimiani.

17. Akiwa Wizara ya Maliasili na Utalii, aligombana na Waziri wake Bi Shamsa Mwangunga na wakawa hawasalimiani hata wakikutana kwenye kordo

18. Alipokuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali alikuwa anateua ndugu zake na watu anaofahamiana nao na kuwapa vyeo vya u Chief Accountants na Chief Internal auditors bila kuwa na sifa kamili ya kupewa vyeo hivyo. Mfano kuhold CPA (T) na Masters.

19. Amesababisha kushuka kwa morali ya utumishi kwa Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii. Hivi sasa ndiyo Wizara inayoongoza kwa kuwa na watumishi wengi walioamua kwenda likizo ya masomo ili kuepuka manyanyaso yake.

20. Ameanzisha utaratibu ndani ya Wizara ya Afya wa kupokea Excheque kutoka hazina na anazihold bila kufanya distribution kwenye idara zake. Kutokana na utaratibu wake huu anafanya malipo kwa kutegemea mahitaji yanavyojitokeza. Utaratibu huu ni kinyume na kanuni za hazina za matumizi ya fedha za umma.

21. Ikitokea kazi za Construction na maintanance anacomand tenda ipewe kwa Mzenzi Contractors Ltd. Alishinikisha Mzenzi ajenge ofisi za Wizara zilizopo Dodoma na akafanikiwa, baadae alishinikiza Mzenzi ajenge jengo banda la Maonyesho la Wizara kwa ajili ya Nane nane lilipo Dodoma na akafanikiwa na alishinikiza Mzenzi apewe tenda ya kufanya small maintanance wizarani kwenye ofisi yake, Ofisi ya Waziri na Naibu Waziri kwa ajili ya kuweka tiles na kuboresha vyoo na akafanikiwa.

22. Katika section ya Matibabu ya nje amejenga Network na Hospitali za India ambazo zinapelekewa wagonjwa kuibill wizara inflated invoice prices.

23. Amechukua mashine za kusafishia figo akishirikiana na Dk Linda Ezekiel pamoja na reagent na filter wakazipeleka Msasani kwenye Hospitali yao ambayo Blandina Nyoni ana shares.

24. Amejenga banda la maonyesho ya sikukuu ya nane nane kwa kutumia fedha za NIMR kwa Shilingi 1.5 billion. Lakini banda lenyewe lililopo pale Nane nane Dodoma ukiliangalia tu kwa haraka haraka kwa macho thamani yake haizidi hata million 400.

25. Ameingiza robo tatu ya vifaa bandia vya vipimo vya Ukimwi kutoka Korea Kusini.

26. Ameingiza kinyemela bila kufuata taratibu za Manunuzi kampuni ya kufanya usafi ndani ya Hospitali ya Taifa Muhimbili.

27. Ameshinikiza kampuni ya Jambo Concept Tanzania Limited kupewa tenda namba ME/007/2009-10/HQ/G/191 kwa ajili ya Printing and Placing of Billboards with TB/TBHIV bila kufuata taratibu za manunuzi. Kwa maelezo zaidi juu hii tenda soma maelezo kutoka 'someone' kama nilivyoyaatach hapa chini baada hii orodha

28. Blandina Nyoni akishirikiana na Dr Deo Mtasiwa wamecheza mchezo mchafu katika tenda ya ununuzi wa Bajaj kama ilivyoratibiwa na Wizara ya Miundombinu kupitia tenda namba ME/015/2009 - 2010/S/06. Katika tenda hiyo bajaj moja ilinunuliwa kwa US$ 8,400. Kwa maelezo zaidi juu hii tenda soma maelezo kutoka kwa 'someone' kama nilivyoyaatach hapa chini baada ya orodha hii.

29. Yeye ndiye chanzo cha masahibu yanayowakabili Watanzania hivi leo kwa kukosa huduma ya afya kwa kitendo chake cha kutaka kulipiza kisasi kwa Intern Doctors kwa kuwahamishia Mikoani pale walipodai haki zao ambazo ni stahili zao halali



Uchunguzi wa hizi tuhuma zilizowasilishwa na Mwana JF assuredly naendelea kufuatilia ili nipate majina kamali ya hao ndugu zake hatimae tuweze kuingiza kwenye Orodha yetu.

Note: Orodha itaendelea kuongezwa kadri tunavyozidi kupata data kwa watu walio karibu na Wizara na Muhimbili

From 'someone'


NYONGEZA
Katika manunuzi ya Bajaji za wajawazito kwa ajili ya mikoani za awali kabla hajachakachua kwa kushirikiana mr. simba Afisa manunuzi mkuu wa wizara zilitakiwa kuwa na uwezo wa kmbeba mjamzito, nesi wa kumhudumia mjamito, kifaa cha kundikia dawa kama maji/gucose nk na ndugu wa mama mjamzito lakini wamechakachua na kuleta pikipiki /bajaji ambazo hata mama mjamzito hawezi kulala, mikoani zimekataliwa na nyingi ziko nyuma ya ofisi za TFDA/Mamlaka ya Chakula na Dawa takriban ziko zaidi ya 600, mabibo external, ushahidi upo nenda nilipokuelekeza utaziona na kuwa shahidi wa macho
 
TISS na TAKUKURU nendeni MSD mukangalie jinsi madawa ya UKIMWI yenye thamani ya zaidi ya Bilioni 4 ambayo ni msaada toka kwa wafadhili ambayo yame ekspaya mara tu yalipoingia nchini. Wahusika wa manunuzi hayo ambao ni Lucy Nderimo ambaye ni binamu yake na Blandina Nyoni. Blandina Nyoni amekuwa anamkingia kifua huyu mkuu wa kitengo cha manunuzi asichukuliwe hatua licha ya ripoti za ukaguzi wa PPRA na CAG kuonyesha kuwa hana sifa za kufanya kazi ya manunuzi. Naye Mkurugenzi wa MSD anashindwa kumwajibisha kwa vile mwenyekiti wa bodi ni mama yake mdogo anayeitwa Eva Nzaro
 
Blandina Nyoni anausika pia kwenye kuikingia kifua kampuni ya GEMA SECURITY, inayotoa huduma za 'Security and Reception Services' wizara ya afya.
Kwa taarifa za ndani, mkataba kati ya Wizara na GEMA, ulitakiwa uwe umeisha tokea June, 2010 na kupisha kampuni nyingine, lkn cha ajabu hadi leo, bado wapo.
Inavyosemekana bodi ya zabuni, ilikuwa imetoa maelekezo kwa mr. Simba-mkuu wa PMU, kuwa GEMA Waondoke ifikapo june 2010, kwa ubabe wa nyoni hadi leo wapo. PPRA fatilieni na muweze jua.
 
Blandina Nyoni anausika pia kwenye kuikingia kifua kampuni ya GEMA SECURITY, inayotoa huduma za 'Security and Reception Services' wizara ya afya.
Kwa taarifa za ndani, mkataba kati ya Wizara na GEMA, ulitakiwa uwe umeisha tokea June, 2011 na kupisha kampuni nyingine, lkn cha ajabu hadi leo, bado wapo.
Inavyosemekana bodi ya zabuni, ilikuwa imetoa maelekezo kwa mr. Simba-mkuu wa PMU, kuwa GEMA Waondoke ifikapo june 2011, kwa ubabe wa nyoni hadi leo wapo. PPRA fatilieni na muweze jua, kwani hii kampuni ipo hapo zaidi ya miaka 5, ingawa wanasifika kwa kuiba mali mbalimbali za wizara.
 
Mkuu MD25 endelea kumwaga data usiogope kwa vile inaonekana wakuu wanapita humu na naamini TISS wamepunguziwa kazi kwa vile maeneo ya kuanzia yote wanayo. Tuwaunge mkono akina Dr Ulimboka ambao wame scrifice professions zao na kazi zao kwa ajili ya kulitetea taifa letu.
 
Aise no 25 ni hatari sana kwa taifa!.kauza roho yake kwa shetani au?hii pesa dah!
 
Hii message ni kwa mr mukama.

Wakati mukama anaondoka pale afya ni kuamia maji, blandina ndio alichukua nafasi yako.
Siku ili huyo mama anaingia pale ofisini alisema yafuatayo:
1 - wewe ni mchafu na ndio maana ofisi yako imekua chafu.
Ikabidi nyoni amuite rafiki yake, mzenzi contractor kwa ajili ya 'ukarabati' kabambe wa ofisi yake.
Akamuita rafiki yake Kisa Mohamed, kwa ajili ya upandaji na uwekaji maua pale wizarani.
Yote hayo alifanya kwa single source.
2 - alisema wewe ni muchawi, ndio maana akamuagiza mkuu wa pmu akuletee huko wizara ya maji kile kiti ulichokua unakalia pale afya...
3 - aliapa ni lazima awanyooshe watu pale, kutokana na system yako ya 'mr sawa' uliyoiacha pale.
 
Mungu awatie nguvu,muendelee kufunguka.TANZANIA NI YETU SOTE,cha kushanganza wanafaidi wachache tu.
 
Haya waTZ kwa uhakika hiyo ni ncha tu! Kwa maelezo hayo, nina uhakika yapo ambayo ukiyahoji ni sawa sawa na uhaini kwa serikali yetu. Yapo ambayo yanafanywa kwa kushirikiana na watu ambao hawagusiki na sheria ina/itawalinda. Umefika wakati wa waTZ kuhoji uhalali wa umasikini wetu. Kwa hali ilivyo, wananchi wanaitumikia serikali na kila jema kutoka serikalini ni zawadi ya upendeleo na sio haki yetu. Maisha yetu ni taratibu za mazoea tulizojiwekea na sio sheria. Inapotokea wananchi wanakuwa na umoja unaoweza kuhoji, serikali huja juu kwa namna ya ajabu. Wanalindana kwa FFU. Tafakari.
 
Bajaji zaidi ya dola 8000!! Vyandarua kumbe ilikuwa full utapeli!
 
Kimsingi huyu mama hakufanya mwenyewe. Kuna wengi ambao walishirikiana naye. Kwa mfumo wa wizara ulivyo, huwezi kuwaamuru watu wa MSD wanunue kama hujamshirikisha mtu kama chief pharmacist na mkurugenzi wa preventive services kwa case ya madawa. Hii ni pamoja na watu wa idara/program zinazohusika.
Inabidi vyombo husika kuchunguza na meanwhile,watuhumiwa waende likizo kama alivyokwenda aunt/dada/demu wao alivyokwenda
 
Kimsingi huyu mama hakufanya mwenyewe. Kuna wengi ambao walishirikiana naye. Kwa mfumo wa wizara ulivyo, huwezi kuwaamuru watu wa MSD wanunue kama hujamshirikisha mtu kama chief pharmacist na mkurugenzi wa preventive services kwa case ya madawa. Hii ni pamoja na watu wa idara/program zinazohusika.
Inabidi vyombo husika kuchunguza na meanwhile,watuhumiwa waende likizo kama alivyokwenda aunt/dada/demu wao alivyokwenda
Ushahidi upo wazi sana tusubiri taarifa ya hiyo tume siku si nyingi.
 
Du yote hayo yanamhusu? mbona hali itakuwa mbaya sana huko tuendako maana ukiunganiasha ufisadi wa ******* yote utakuta nchi imekwisha uzwa
 
Back
Top Bottom