Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Afadhali GT umeleta uwanja mpya wa kujadili hii issue, nimejaribu kupost kwenye thread ile ya kumpongeza naona hakuna response au ndio double standard kuna post hapa nime 'iba kule' kuna watu waliuliza lakini hawakupata majibu











I asked those questions kama kuna mtu ajibu, ila aidha watu hawajaona, au hawataki kujibu!




He has to be real estate manager, he has to be professional in that sector, this is not minister's positions. japo nazo tunaona kabisa tunahitaji wataalamu husika wa hilo eneo. He still fit on the company but on the financial issues, au kuwa msaidizi wa director mkuu. I believe Ernst and Young walishauri hivyo

The guy may be clean, ila kawekwa pale kwa kazi maalum, we have been living in this agony for 47 years! why are we forgeting these so easily?
haya haya tena


napita tu humu
 
Kumbe watanzania wana uelewa. Uhuni na ubovu wa Nehemia ulitegemewa tangu mwanzo. Mtu akishateuliwa kwa ukabila na upendeleo ujue uwezo wake ni mdogo na hata utendaji wake utakuwa mdogo. Muda wote atajipendekeza kwa waliomteua.

Here we are, amevuruga shirika na yeye kugeuka mwizi na hatimaye kuondolewa kama kibaka.
 
Aliondolewa, sasa tena karudishwa. Tunajua anayeamua uteuzi sasa ni nani na uhusiano wake na huyo Luhanjo, godfather wa Nahemia.
 
Kwa kuanza tuu napenda niwafahamishe kuwa namfahamu BINAFSI huyu NEHEMIA hivyo sina kinyongo wala matatizo naye if anything nilimfahamisha what to expect alipopewa taarifa ya uteuzi huu miez kadhaa iliyopita.

By definition UFISADI pamoja na kuibia serikali ..tunaweza kusema ni kurudisha maendeleo nyuma na kuwa na upendeleo wa dhahiri kwenye ajira serikalini including NHC!

Nadhani mnakumbuka takriban miezi sita iliyopita nilileta thread ya uteuzi wa DG mpya wa NHC na nikaelezea jinsi uhuni ulivyokuwa umefanywa ili kukidhi profile ya baadhi ya watu. Uhuni huu haukufanywa na mwingine bali IKULU ambako walitoa maagizo kuwa tangazo la awali la nafasi hii iliyotolewa gazetini ibadilishwe...in short tangazo la nafasi ya hii la mwanzo lilitaka mtu mwenye qualifications kem kem baadae tangazo la pili lililotoka likawa limepunzuza sifa za anayetakiwa ...bila maelezo yoyote ile.

Ukweli wa uteuzi huu wa nehemia ni kama ufuatavyo:

1.Nehemia HAKUOMBA kazi hii kama ambayo sheria ilitaka afanye

2. Nehemia hakuitwa kwenye USAILI kama ambavyo sheria ilitaka ifuatwe

3. Nehemia kapata kwa sababu ya presha na ufisadi wa hali ya juu uliyofanywa na Katibu Mkuu wa Ikulu bwana LUHANJO

4. Ambao waliomba na wakaitwa kwenye usaili hawajaandikiwa barua ni sababu zipi walikosa halafu kazi akapewa ambaye hakuomba hiyo kazi in the first place.


Sasa in the wake of haya ya kumsifia Nehemia na mengineyo tusisahau kuwa kuna uteuzi kama huu unaweza kuja kufanywa na rais na nadhani ni muhimu watu wasilalamike kuhusu FAIRNESS kama ambavyo hawalalamiki kuhusu procedures zilizotumika kumpata huyu Bwana NEHEMIA....isije ikawa Mkuki Kwa Nguruwe...

If anything hata kama Luhanjo alikuwa anamtaka kijana wake what was so difficult or worong UTARATIBU ukafuatwa?
Haya sasa kiko wapi....Tanzania ni nchi ya kipuuzi sana
 
Kama Nehemia ana uwezo na amefanikiwa huko ni big up kwake

Kama uteuzi walicheza hizo rafu kwa kutumia mwanya wa uzoefu wake huko alikopita kwa ajili ya malengo la kulihujumu taifa,napinga kwa nguvu zote huo uteuzi

Huu mwaka inabidi tuwe makini sana,kimsingi hatukustahili hata kuibembeleza hii serikali iliyoingia madarakani kwa njia ya KAGODA.
Kamanda Ben Saanane
 
Na haya ndo yanatufanya tuone kwamba hatuna rais. NI kama mwakilishi wa Kikwete yuko Ikulu.
 
Wakati mwingine head hunting hufanyika pia... for a good reason na siyo lazima ufisadi...

I have participated in recruitment processes... wakati mwingine kazi inatangazwa.. wanaoomba unakuta ni watu wa viwango vya chini mno... hata ukiwashindanisha wenyewe kwa wenyewe utaishia kupata mtu asiye stahili.In such circumstance u may be forced to resort to head hunting.

Nehemia as I know him is a material for the position.... tunaweza kulaumu na kusema mengi lakini anabakia THE CEO FOR NHC for the time being..tukubali na tumpe nafasi jamani. It could have been you or me..ila haikuwa.
Uzi ufungwe,HR kashasema yote.
 
Na Kikwete ni mwakilishi wa nani? ..Mwacheni SSH atafute watu sahihi kwa wakati sahihi kwa kazi maalum. Pamoja na madhaifu ya Nehemiah, na mwembwe zake za kitoto, anacho kikubwa cha kuonyesha alichosimamia NHC kama CEO huko nyuma. Naamini anarudi kwa ari, nguvu mpya na kazi iendelee.
Na haya ndo yanatufanya tuone kwamba hatuna rais. NI kama mwakilishi wa Kikwete yuko Ikulu.
 
Na haya ndo yanatufanya tuone kwamba hatuna rais. NI kama mwakilishi wa Kikwete yuko Ikulu.
Unamkosea heshima Mkuu wa nchi, unaukosea heshima mfumo unaongoza nchi, unamkosea heshima mzee Kikwete na unawakosea heshima Watanzania. Acha haya maneno yako!
 
Kuna waziri mwenye dhamana na wizara husika kwa sasa alitajwa kupewa kazi maalumu kumsaidia 'mkuu' ana mkono wake wa kurudi kwa huyu mtu!
 
Back
Top Bottom