bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,355
- 6,786
Wakati mwingine head hunting hufanyika pia... for a good reason na siyo lazima ufisadi...
I have participated in recruitment processes... wakati mwingine kazi inatangazwa.. wanaoomba unakuta ni watu wa viwango vya chini mno... hata ukiwashindanisha wenyewe kwa wenyewe utaishia kupata mtu asiye stahili.In such circumstance u may be forced to resort to head hunting.
Nehemia as I know him is a material for the position.... tunaweza kulaumu na kusema mengi lakini anabakia THE CEO FOR NHC for the time being..tukubali na tumpe nafasi jamani. It could have been you or me..ila haikuwa.
Afadhali umesema ukweli, maana sasa imekuwa fasheni kwamba kila aliyeteuliwa na JK hafai. Walianza wa dini fulani na sasa imekuwa wote.
Jamani kujibu masuali ya interview vizuri siyo sawa na utendaji mzuri. Kwani utendaji wake umekuwa siyo wa kuridhisha, au tena ni kupikiana majungu tu kila kukicha?