Mkuu kuna mtu anasema weka majina yako halisi matatuMimi natafuta mtu aniloge.
Nishindwe kuja JF kesho. Kwa sababu ya vipele vya vidole vyote.
Zawadi nono itatolewa.
What is ur considerationMimi natafuta mtu aniloge.
Nishindwe kuja JF kesho. Kwa sababu ya vipele vya vidole vyote.
Zawadi nono itatolewa.
Ni sawa kabisaa lakini haiondoi kuwepo kwa uchawi, ushirikina au nguvu za giza. Kuna watu walisharogwa na kuroga.Wakati mwingine watu wanapata magonjwa yanayoambatana na hofu na kuamini kwamba amerogwa
Hahaha, some of these "wachawi" may send you anthrax by mail and call it uchawi!My offer is open-ended!
Anyone who can hex me, have at it!
What do you mean what is my consideration?What is ur consideration
Mkuu kuna mtu anasema weka majina yako halisi matatu
bila kusahau na jina la mama yako mzazi aanze kazi.
Tulisha kuloga usiamini uwepo wa munguMimi natafuta mtu aniloge.
Nishindwe kuja JF kesho. Kwa sababu ya vipele vya vidole vyote.
Zawadi nono itatolewa.
Hapana, Mungu ni nadharia mbovu isiyo ushahidi walauthibitisho, inayoelea kwenye bahari kubwa ya ujinga.Tulisha kuloga usiamini uwepo wa mungu
Sisi ndo tumekuloga ujidanganye hivyoo...Hapana, Mungu ni nadharia mbovu isiyo ushahidi walauthibitisho, inayoelea kwenye bahari kubwa ya ujinga.
Test ya kuniloga ni kuniloga nilivyoamua mimi, vidole vipate ugonjwa nisiweze kuja hapa JF.Sisi ndo tumekuloga ujidanganye hivyoo...
Sasa kwanini una bisha?
Masharti ya uo uchawi ni kuweka majina matatu, hivyo ndivyo vitendea kazi.Kwani uchawi wake hauwezi kujua majina yangu?
Whats next, utaniambia ninywe sumu ya panya nife kama sehemu ya uo uchawi?
Huo utakuwa uchawi au chemistry na biology sasa?
Majina yangu ni John Pazi Kipilimba.Masharti ya uo uchawi ni kuweka majina matatu, hivyo ndivyo vitendea kazi.
Lazima utaje mwenyewe, hata kama mganga anajua majina yako
Ngoja Mshana Jr aingie kazini, ikibainika umedanganya tutakuambia na hivyo hatutaweza fanyia kazi maombi yakoMajina yangu ni John Pazi Kipilimba.
Test ya kuniloga ni kuniloga nilivyoamua mimi, vidole vipate ugonjwa nisiweze kuja hapa JF.
Ndani ya siku saba kuanzia leo.
Sio umeona nimevaa Jeans leo, halafu unakimbilia kusema umeniloga nivae jeans.
Hapo utakuwa unachekesha baraza tu.
Ukiihitaji translator kwa banamhala na bakiikolo, bafumu noo basumba batale, nipe kazi hiyo, hahaaaaa.Hahaaaaa wenzio watakuja na kisingizio kwamba wachawi huwa hawapangiwi!
Anywho, later this summer/ early autumn naenda Gamboshi na nitafanya ka-mini documentary humu ‘Mubashara kutoka Gamboshi’. Nita document hali na mazingira ya kawaida kabisa kuhusu hicho kijiji.
Hilo jina kubwa, litavunja dishi zote za Mshana.Majina yangu ni John Pazi Kipilimba.
Mashart ya uchawi hayapo kama inavyo amua wewe, kwasababu nguvu za kuloga zinatofautianaTest ya kuniloga ni kuniloga nilivyoamua mimi, vidole vipate ugonjwa nisiweze kuja hapa JF.
Ndani ya siku saba kuanzia leo.
Sio umeona nimevaa Jeans leo, halafu unakimbilia kusema umeniloga nivae jeans.
Hapo utakuwa unachekesha baraza tu.