Ufahamu uchawi wa Sigil

Hapo ulipoandika "Usichanganye na dini ya kiarabu" . Ulikusudia au ni makosa ya kiuandishi ?

Na kama ulikusudia ni nini maana ya hiyo kauli ?
 
Hapa kaka nina swali la kuuliza,kipi kilicho kujulisha hizo alama ni za kishetani na huo muhuri halikadhalika ni wa kishetani ?

Ukinijibu swali hilo kuna mengine nitakuuliza bro !
 
Hapa kaka nina swali la kuuliza,kipi kilicho kujulisha hizo alama ni za kishetani na huo muhuri halikadhalika ni wa kishetani ?

Ukinijibu swali hilo kuna mengine nitakuuliza bro !
Kila kitu kina pande mbili... Upande wa nuru na upande wa giza, upande wa mema na upande wa mabaya nk.
Katika kila upande kuna alama na viashiria vyake vinavyotumika kama kiwakilishi
Angalia kwa mfano nyota, ncha moja ikiangalia juu na mbili chini hutumiwa kama kiwakilishi cha nuruni, lakini ncha mbili nikiangalia juu ni alama na kiwakilishi cha giza (shetani)
Angalia pia shwastika iliyotumiwa na Hitler na ile iliyotumiwa na mabudhist au wakatoliki
 
Bro bado hujaonyesha ni kipi kilichokujulisha kama hizo ni alama za shetani.
 
Bro bado hujaonyesha ni kipi kilichokujulisha kama hizo ni alama za shetani.
Matumizi yake kama nilivyoainisha kwenye mfano huo wa nyota...
Kwa mfano kuna vitu viko wazi sana ukikuta tunguri utaiweka upande gani?
Kwa wakristo kuna alama ya msalaba ambao chini ni kurefu kuliko juu lakini msalaba huo huo dini ya mashetani wameugeuza na kufanya juu kuwa kurefu kuliko chini
 
Mzee Mshana mi walishaniumiza nimefurukuta hadi leo sijapata majibu nasubiri kufa tu maana ni miaka mingi nimepanda milima na mabonde bila majibu, nina maumivu yasiyoisha, umasikini wa kuogofya, n.k. laikini elimu yangu ni University, mwajiliwa wa kudumu, lakini maisha kwangu ni machungu kama shubiri na sijamfanyia mtu ubaya wowote, je kupitia elimu ya SIGIL naweza pata ahuweni?
 
Jamaa walinifungia nyota, mali, heshima, elimu, ndoa, n.k. Lakini Mungu si athumani elimu niliipata ingawa kwa taabu sana mfano kila ilipokaribia fina examination lazima nikalazwe sometimes kufanyiwa upasuaji hii ilijitokeza kuanzia O' level, A' level na chuo kikuu ni kuumwa hadi kazini hadi sasa hadi dunia imekuwa chungu. cjui ni lini haya yata kwisha
 
Tumia tiba rahisi sana ya kuogea chumvi ya mabonge... Tiba hii haina maagano, haina viapo, haina kafara, haina gharama na matokeo yake ni makubwa navya hakika
 
Mwisho wake ndio huu tumia chumvi ya mabonge kiganja kimoja kwenye ndoo ya Lita 20 ogea kila siku mfululizo kwa siku 30, nyingine nyunyiza kuzunguka nyumba nje na ndani... Utashangazwa na matokeo
 
Hakuna "dini ya Kiarabu" ewe punguani. Dini ni ya Mwenyeezi Mungu tu unless uwe hujuwi maana ya neno "dini".

Halafu huko ulikuwa kopi na ku pesti umeshindwa kabisa kuitafsiri hiyo mada. Mengi sana humu unadanganya.

Ntarudi.
Faiza zamani nilikuwa nakuchukia sana kwa kuona kwa kuwa ww ni li ccm nikajua utakuwa likatili na una miliki roho mbaya balaa! Lkn baada ya kukuchunguza muda mrefu sana na kwa kuelevuka kwangu khs mambo mbali mbali hasa siasa na dini sasa hivi nakupenda na kukuheshimu tu. Itikadi za dini na siasa hutupata kitofauti kulingana na kila mtu na bahati yake yaani sawa na kuzaliwa Amerika au Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…