Hivi mnasikia mnachokiongea? Mnajiona mna akili timamu nyie? Mnaelewa kuwa tunamchagua rais wa Tanzania?
Hebu acheni kufanya hili suala la uchaguzi kama ushabiki wa Bobgo Star Search
Ukiweka rais kichaa tutaumia wote lakini utaumia we binafsi na marafiki zako. Maisha yenu hayataboreka sasa mtakuwa mmepata mabadiliko gani?

alishawah waambia kwamba nchi hii haijawah kuwa na rais mkatolik???CCM na propaganda za dini ni hatari..Magufuli kila anakopita lazima asalimiane na Masista wa Kikatoliki walioandaliwa vizuri.. Nasema hili kufuatia picha mbali mbali na nyingine zimenukuliwa na Magazeti ya kila siku..Tuache kuwasha moto tusioweza kuuzima..
aliomba wamuombee na akatamka nchi hii haijawah kuwa na rais mluther kama ulishawah soma critical think hapa ni alikuwa anasema wamchague yeye kwa sababu ni mluther so ameshaonyesha kuna kama kaudin!!Ameteleza wapi?! Au kuwaomba waumini wenzake wamuombee ndio ishakuwa kosa?
Huu ndio utetezi wa mgombea urais kupitia tiketi ya UKAWA kuhusu kauli yake aliyoitoa alipokuwa katika kanisa la Kilutheri huko Tabora. Nanukuu...
"Kwanza, niombe radhi kwa wale ambao kwa njia moja au nyingine wamekwazika kwa maneno ambayo yametafsiriwa na baadhi ya watu kuwa ni 'udini' wakati naongea na waumini mjini Tabora siku ya jumapili na kuripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari.
Pili, niseme kwa uwazi kabisa kuwa mimi sio mdini hata kidogo. Mimi ni mcha Mungu na mojawapo ya mambo ambayo imani yangu imenifundisha ni upendo kwa kila mtu bila kujali dini yake.
Tatu, mimi kama mgombea ni jukumu langu kuomba kura kwa kila Mtanzania bila kujali dini yake. Hili ni jambo ambalo mimi binafsi naliamini kwa dhati kabisa pamoja na chama changu.
Nne, naomba nifafanue nilichokisema na kumaanisha wakati wa Ibada. Lengo langu kuu lilikuwa ni kuomba waumini wenzangu waniombee kwa sala zao katika safari yetu ya kuikomboa Tanzania. Sikuwaambia wanichague au wanipigie kura kwa sababu mimi ni Mlutheri. Hapana. Nilichowaomba na wote mmesikia ni sala zao. Sijawaambia wamchague Mlutheri mwenzao. Ni kweli kwamba hakuna Mlutheri ambae amewahi kuwa rais. Sidhani kama nimesema uongo. Lakini nisisitize kwamba Ulutheri sio kigezo cha kuwa rais. Dini sio kigezo. Maombi yangu kwao waumini ni sala zao na hili jambo mtu yeyote mwenye imani anaruhusiwa kulifanya.
Nimalizie kwa kuwaomba radhi tena wale ambao wamekwazika kwa kauli yangu. Najua baadhi ya watu ambao wanapinga harakati zetu watajitahidi sana kuchochea na kulikuza jambo hili. Sababu zao tunazijua. Naomba muwapuuze tusonge mbele. Watanzania watachagua sio kwa sababu ya dini, ukanda, ukabila au jinsia. Watachagua kwa kuangalia uwezo wa mtu na utekelezaji wa ahadi kutokana na mipango ambayo tumeiweka." Mwisho wa kunukuu.
Hatuta chagua mtu kwa u-lutheri wake au u-katoliki wake au u-sunni wake. Kubali umeteleza. na unakotupeleka siko.

haina haja ya ufanunuzi watanzania tumeona ile clip na tumemuelewa ..... asubiri kura za walutheri..
waislam wanaojitambua watakaa naye mbali..
kwahiyo unadhan ndo amepanga tuwaingize wezi waje watuibie rasilimali zetu? unaweza kuwaelezea watz hiyo mihela mingi ya kampeni Lowassa anaitoa wapi na atairudisha kwa utaratibu gan km sio kutoa vitalu vya gas n.k