DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,976
Huyu mamvi ni mfa maji...hizo dalili za mtu desparate
Dhambi ya ubaguzi hiyooo.....na nilishatabiri siku nyingi kuwa tunakoelekea itakuwa mchague huyu mweusi usimchague yule mweupe, itakuja hadi mrefu na mfupi....Mungu hawaachi wadhalimu hivi hivi....Tanzania oyeeeee...
Nangoja waraka
Muhimu simchagui KKKT anaewaambia waumini wake kuwa Tanzania kuna ubaguzi wa dini na wamchaguwe yeye eti kwa sababu tu ni KKKT.
Lakini nikitazama listi iliyomfukuza Slaa na Lipumba wala sishangai, Mbowe, Mbatia, Lowassa. Hao wote ni wale wale tu.
Kama hata baada ya kusoma alichokiandika Hammy D ambacho ndicho alichokiomba kwa waumini wenzie wazidishe sala kwa mungu aweze kufanikiwa basi uelewa wako aidha ni mdogo sana au pengine ni mnafiki wa kutupa. Tunakuacha uamini upendacho wala hakibadilishi lolote.
Hivi mtu kuomba aombewe ni kosa?
Kwani nyerere ni biblia au msahafu..kwamba ikitokea hitilafu flani unakimbilia kwenda kufunua kurasa usome maelekezo..came on. .msipotoshe umma kwa kitu kidogo kama hiki..unataka kuniambia jk..hakuwahi kwenda msikitini na kuwaomba waislam wenzake wamwoombee..mta gain nn kwa hilo..majority of the people wamesh decide nani wa kumpa kura..waluobaki lbd ni 10% ambayo haina effect yoyote ya ku influence the outcome!