Ufafanuzi kuhusu Ulutheri na Urais - Lowassa

Yupo correct maana ni jambo la busara kuomba kuombewa na wanajumuiya wenzako
 
Hivi Nyerere aliposema hatutamchagua mtu kwa ukristo wake hukumuelewa..!!! yaani kwasababu waliotangulia walikuwa wakatoliki..sasa ni zamu ya lutherani. na sabato je..moravian..assemblies nao. orthodox je ?

Hivi mtu kuomba aombewe ni kosa?
 
Kiufupi watanzania tumeona na kusikia ya Lowassa...haihitaji kupata ufafanuzi...

Mtu tumemsikia mchana kweupeee anatangaza udini tusemeje?...na hilo linahitaji ufafanuzi gani..sisi sio watoto wa chekechea.
 
2.0 Maadili kwa Vyama vya Siasa na Wagombea katikakuendesha shughuli za Siasa wakati wa Kampeni.
2.1 Wajibu wa Vyama vya Siasa na Wagombea.
Kila Chama cha Siasa na Mgombea atazingatia yafuatayo:-

  1. (a) Kuheshimu na kutekeleza Sheria za Uchaguzi, Kanuni za
    Uchaguzi, Maadili ya Uchaguzi na Maelekezo ya Tumeya Taifa ya Uchaguzi pamoja na Sheria zingine za nchikatika kipindi chote cha Uchaguzi.
  2. (b) Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wagombeawawaelimishe, wawahamasishe na kuwasisitiziaWanachama wao kutekeleza Sheria za Uchaguzi, Sheriazingine za nchi, Kanuni na taratibu zilizopo.
  3. (c) Vyama vya Siasa vifanye mikutano ya Kampeni kwakuzingatia ratiba rasmi iliyoratibiwa na Tume ya Taifaya Uchaguzi au Wasimamizi wa Uchaguzi katikakutangaza sera zao. Aidha, mikutano yote itafanyikakati ya saa 2:00 asubuhi na saa 12:00 jioni. Bilakuathiri muda ulioelezwa hapo juu, Vyama vyaSiasa vinaweza kutumia vipaza sauti kuanziasaa1:00 asubuhi hadi saa 2:00 usiku kutoamatangazo ya mikutano itakayofuata.

2

  1. (d) Vyama vyote vya Siasa, Wagombea, Wanachama naWafuasi wa Vyama vya Siasa wahakikishe kwambawanachukua hatua za makusudi:-
    1. (i) Kufanya uchaguzi ulio huru na wa haki;
    2. (ii) Kukataa na kulaani vitendo vya vurugu navitisho;
    3. (iii) Kukataa aina yoyote ya Ubaguzi katika misingiya jinsia, ulemavu, ukabila, udini au rangi; na
    4. (iv) Kueneza taarifa sahihi kuhusiana na mchakatowa Uchaguzi.
  2. (e) Kuchapisha vijitabu, vipeperushi, vitini, mabango namachapisho ya aina yoyote yanayoelezea sera zao.Hata hivyo kabla ya vitu hivyo kutumika vinatakiwakuidhinishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwaUchaguzi wa Rais na Msimamizi wa Uchaguzi kwaUchaguzi wa Wabunge na Madiwani.
  3. (f) Kutumia Vyombo vya Habari vya Umma kutangaza serazao kwa kuzingatia Sheria za Vyombo vya Habari,Sheria za Uchaguzi, na utaratibu uliowekwa na Tume yaTaifa ya Uchaguzi. Vyombo hivyo vinaweza kutumiwana Wagombea wa Urais na kugharamiwa na Serikali.
  4. (g) Vyama vyote vya Siasa na Wagombea wajengemazingira ambayo yatawezesha Uchaguzi kufanyikakwa uhuru na haki, ikiwa ni pamoja na kuwezeshamakundi maalum (Katika Maadili haya Makundi Maalumyanajumuisha Wazee, wajawazito, wanawake wenyewatoto wa changa na wanaishi na ulemavu) kushirikivyema katika Uchaguzi. Ni wajibu wao kushirikiana naWatendaji wa Uchaguzi kuhakikisha upigaji kuraunakuwa wa amani na utulivu ili Wapiga Kura wawehuru kutumia haki yao ya kupiga kura bila usumbufu,bughudha au vitisho.
  5. (h) Vyama vya Siasa vinavyotaka kufanya maandamanowakati wa Kampeni za Uchaguzi vihakikishe vinafuatamasharti ya Sheria husika kwa kuwa Sheria za Uchaguzihazisimamii maandamano bali Mikutano ya hadhara tu.
  6. (i) Vyama vya Siasa na Wafuasi wao wahakikishe hifadhina usafi wa mazingira katika kusambaza matangazo ya

3

kampeni. Aidha, kila chama kiwajibike kuyaondoamabango, matangazo na machapisho ya aina yoyote ileyaliyotumika wakati wa kampeni katika sehemu za wazibaada ya Uchaguzi.

  1. (j) Lugha ya Kiswahili itakuwa ndiyo lugha pekeeitakayotumika katika kampeni za Uchaguzi. Paleambapo Kiswahili hakieleweki na itakapolazimuMgombea atazungumza katika lugha ya Kiswahili naMkalimani atatafsiri katika lugha inayoeleweka katikaeneo husika.
  2. (k) Viongozi wa Vyama vya Siasa, Wagombea au Wafuasiwao wahakikishe kuwa majengo wanayotumia kufanyakampeni sio ya ibada au sehemu zinazotumiwa kwa ajiliya ibada. Vile vile, Vyama vya Siasa vihakikishe kuwahavitumii Viongozi wa dini kupiga kampeni kwa ajili yaVyama vya Siasa au Wagombea wao.
  3. (l) Vyama vya Siasa au Wagombea wanatakiwa watoetaarifa mara moja kwa mamlaka husika marawanapofahamu au wanapoona tukio linalowezakusababisha vurugu.
  4. (m) Vyama vya Siasa, Wagombea na Wafuasi waowahakikishe kuwa wanafanya kampeni kwa kuzingatiamisingi inayolenga kutangaza sera zao na ambayohaijengi chuki, mfarakano na mgawanyiko wa jamii.
  5. (n) Vyama vyote vya Siasa na Wagombea watachukuahatua za lazima kuhakikisha kuwa hakuna migonganoya mikutano ya kampeni na vyama vingine. Ambapomikutano inagongana, Wawakilishi wao watakutana naTume na kutatua tatizo hilo kwa amani bila ya kutumianguvu, vitisho au vurugu.
  6. (o) Kila Chama kitawakataza Wanachama au Wafuasi wakekutamka kauli mbiu, kuonyesha ishara za vyamavyao, au kuvaa sare zenye rangi ya Chama chao katikamikutano ya hadhara ya Vyama vingine.
(p) Vyama vya Siasa na Wagombea wao watawaelekezaMawakala wao watakaokuwepo katika Vituo vya Kupigia,kuhesabia na kujumlishia Kura watekeleze majukumu yao kwa

4

mujibu wa Sheria za Uchaguzi, Kanuni za Uchaguzi, Taratibu
na Maelekezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
2.2 Yasiyotakiwa Kufanywa na Vyama vya Siasa naWagombea

  1. (a) Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wagombea waohawatakiwi kufanya fujo au kusababisha vurugu ya ainayoyote katika mkutano wa Chama kingine.
  2. (b) Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wagombea waohawatakiwi kutumia lugha ya matusi, kashfa, kejeli,udhalilishaji na vitisho au lugha inayochochea uvunjajiwa Amani, au kuashiria ubaguzi wa kijinsia,ulemavu au maumbile, kwenye mikutano yakampeni.
  3. (c) Mtu yeyote haruhusiwi kuwa na/au kubeba silahayoyote ikiwa ni pamoja na silaha za jadi au zana yoyoteinayoweza kumdhuru mtu katika mkutano wa kampeniau mkusanyiko wowote wa kisiasa.
  4. (d) Hairuhusiwi kuwa na/au kubeba sanamu, kinyago aukitu chochote ambacho kinaonyesha kudhalilisha,kukebehi au kufedhehesha Chama kingine cha Siasa auKiongozi wake au Serikali, katika mkutano aumkusanyiko wowote wa kisiasa.
  5. (e) Viongozi wa Vyama vya Siasa, Wagombea waohawaruhusiwi kutumia vipaza sauti vya aina yoyote ilekwa shughuli za kisiasa nyakati zote za usiku kuanziasaa 2:00 usiku hadi saa 12:00 asubuhi.
  6. (f) Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wagombea waohawaruhusiwi kuchafua, kubandua au kuharibumatangazo ya kampeni ya Vyama vingine vya Siasa namatangazo ya Uchaguzi yanayotolewa na Tume yaTaifa ya Uchaguzi.
  7. (g) Vyama vya Siasa visibandike mabango ya kampeni,matangazo au mchoro wowote kwenye nyumba,majengo au vyombo vya usafiri vya watu binafsi auTaasisi mbalimbali bila idhini ya wamiliki husika.
  8. (h) Kukosoana kati ya Vyama na Wagombea kunapofanyikani lazima kujikita katika Sera, programu na kazi zao

5

walizofanya. Ukosoaji wa Vyama vingine au Wagombeawengine kwa tuhuma zisizothibitishwa ni lazimauepukwe.

  1. (i) Vyama vya Siasa au Wagombea hawaruhusiwi kuombakupigiwa Kura kwa misingi ya udini, ukabila, jinsia aurangi.
  2. (j) Vyama vyote vya Siasa vikubali na kuheshimu maamuziya Tume ya Taifa ya Uchaguzi yanayofanywa kwamujibu wa Sheria za Uchaguzi. Hii ni pamoja naMatokeo ya Uchaguzi yanayotangazwa na Tume yaUchaguzi na Wasimamizi wa Uchaguzi. Pale ambapomtu hatoridhika na matokeo yaliyotangazwa na Tumeya Taifa ya Uchaguzi au wasimamizi wa Uchaguzi anahaki ya kupeleka malalamiko ya Uchaguzi Mahakamanikwa mujibu wa Sheria za Uchaguzi.
  3. (k) Vyama vyote vya Siasa, Wagombea, Wanachama auWafuasi wa Vyama vya Siasa, hawaruhusiwi kutoarushwa au shukrani ili kumshawishi mtu kusimamakama mgombea au kujitoa Ugombea wake.
  4. (l) Vyama vyote vya Siasa, Wagombea, Wanachama auWafuasi wasiwazuie watu kuhudhuria mikutano yahadhara ya Vyama vingine.
  5. (m) Siku ya upigaji Kura Vyama vya Siasa, Wagombea,Wanachama au Wafuasi hawaruhusiwi kukodi aukutumia usafiri wa aina yoyote kubeba Wapiga Kurakwa madhumuni ya kupiga kura.

    Sisi Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Serikali ya Jamhuri yaMuungano wa Tanzania kwa pamoja tumekubaliana kuwa na uchaguzihuru, wa haki, uwazi, na wa kuaminika. Na kwamba Amani, Ustawi waNchi, Usalama wa Raia, Uhuru wa Vyama vya Siasa na Utii wa Sheria,Kanuni na taratibu za uchaguzi ndio msingi wa uchaguzi ulio huru, haki nawenye kuzingatia ushiriki wa makundi yote ya jamii katika uchaguzi.Tunajipa, na tunakubaliana kuwajibika kuyatekeleza maadili hayayanayotokana na kifungu cha 124A cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi yamwaka 1985, (sura 343). Tutafanya jitihada za wazi kuhakikisha maadilihaya yanajulikana na kuheshimiwa na wagombea na wanachama wote waVyama vya Siasa.

  1. 2.0 Maadili kwa Vyama vya Siasa na Wagombea katikakuendesha shughuli za Siasa wakati wa Kampeni.
    2.1 Wajibu wa Vyama vya Siasa na Wagombea.

    1. (k) Viongozi wa Vyama vya Siasa, Wagombea au Wafuasiwao wahakikishe kuwa majengo wanayotumia kufanyakampeni sio ya ibada au sehemu zinazotumiwa kwa ajiliya ibada. Vile vile, Vyama vya Siasa vihakikishe kuwahavitumii Viongozi wa dini kupiga kampeni kwa ajili yaVyama vya Siasa au Wagombea wao.

      2.2 Yasiyotakiwa Kufanywa na Vyama vya Siasa na Wagombea

      (i) Vyama vya Siasa au Wagombea hawaruhusiwi kuomba kupigiwa Kura kwa misingi ya udini, ukabila, jinsia au rangi.

Hatutachagua mtu kwa u-lutheri wake ....au u-katoliki wake... au u-sunni wake.
Kubali umeteleza. na unakotupeleka siko.

Kama hata baada ya kusoma alichokiandika Hammy D ambacho ndicho alichokiomba kwa waumini wenzie wazidishe sala kwa mungu aweze kufanikiwa basi uelewa wako aidha ni mdogo sana au pengine ni mnafiki wa kutupa. Tunakuacha uamini upendacho wala hakibadilishi lolote.
 
2.0 Maadili kwa Vyama vya Siasa na Wagombea katikakuendesha shughuli za Siasa wakati wa Kampeni.
2.1 Wajibu wa Vyama vya Siasa na Wagombea.
Kila Chama cha Siasa na Mgombea atazingatia yafuatayo:-

  1. (a) Kuheshimu na kutekeleza Sheria za Uchaguzi, Kanuni za
    Uchaguzi, Maadili ya Uchaguzi na Maelekezo ya Tumeya Taifa ya Uchaguzi pamoja na Sheria zingine za nchikatika kipindi chote cha Uchaguzi.
  2. (b) Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wagombeawawaelimishe, wawahamasishe na kuwasisitiziaWanachama wao kutekeleza Sheria za Uchaguzi, Sheriazingine za nchi, Kanuni na taratibu zilizopo.
  3. (c) Vyama vya Siasa vifanye mikutano ya Kampeni kwakuzingatia ratiba rasmi iliyoratibiwa na Tume ya Taifaya Uchaguzi au Wasimamizi wa Uchaguzi katikakutangaza sera zao. Aidha, mikutano yote itafanyikakati ya saa 2:00 asubuhi na saa 12:00 jioni. Bilakuathiri muda ulioelezwa hapo juu, Vyama vyaSiasa vinaweza kutumia vipaza sauti kuanziasaa1:00 asubuhi hadi saa 2:00 usiku kutoamatangazo ya mikutano itakayofuata.

2

  1. (d) Vyama vyote vya Siasa, Wagombea, Wanachama naWafuasi wa Vyama vya Siasa wahakikishe kwambawanachukua hatua za makusudi:-
    1. (i) Kufanya uchaguzi ulio huru na wa haki;
    2. (ii) Kukataa na kulaani vitendo vya vurugu navitisho;
    3. (iii) Kukataa aina yoyote ya Ubaguzi katika misingiya jinsia, ulemavu, ukabila, udini au rangi; na
    4. (iv) Kueneza taarifa sahihi kuhusiana na mchakatowa Uchaguzi.
  2. (e) Kuchapisha vijitabu, vipeperushi, vitini, mabango namachapisho ya aina yoyote yanayoelezea sera zao.Hata hivyo kabla ya vitu hivyo kutumika vinatakiwakuidhinishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwaUchaguzi wa Rais na Msimamizi wa Uchaguzi kwaUchaguzi wa Wabunge na Madiwani.
  3. (f) Kutumia Vyombo vya Habari vya Umma kutangaza serazao kwa kuzingatia Sheria za Vyombo vya Habari,Sheria za Uchaguzi, na utaratibu uliowekwa na Tume yaTaifa ya Uchaguzi. Vyombo hivyo vinaweza kutumiwana Wagombea wa Urais na kugharamiwa na Serikali.
  4. (g) Vyama vyote vya Siasa na Wagombea wajengemazingira ambayo yatawezesha Uchaguzi kufanyikakwa uhuru na haki, ikiwa ni pamoja na kuwezeshamakundi maalum (Katika Maadili haya Makundi Maalumyanajumuisha Wazee, wajawazito, wanawake wenyewatoto wa changa na wanaishi na ulemavu) kushirikivyema katika Uchaguzi. Ni wajibu wao kushirikiana naWatendaji wa Uchaguzi kuhakikisha upigaji kuraunakuwa wa amani na utulivu ili Wapiga Kura wawehuru kutumia haki yao ya kupiga kura bila usumbufu,bughudha au vitisho.
  5. (h) Vyama vya Siasa vinavyotaka kufanya maandamanowakati wa Kampeni za Uchaguzi vihakikishe vinafuatamasharti ya Sheria husika kwa kuwa Sheria za Uchaguzihazisimamii maandamano bali Mikutano ya hadhara tu.
  6. (i) Vyama vya Siasa na Wafuasi wao wahakikishe hifadhina usafi wa mazingira katika kusambaza matangazo ya

3

kampeni. Aidha, kila chama kiwajibike kuyaondoamabango, matangazo na machapisho ya aina yoyote ileyaliyotumika wakati wa kampeni katika sehemu za wazibaada ya Uchaguzi.

  1. (j) Lugha ya Kiswahili itakuwa ndiyo lugha pekeeitakayotumika katika kampeni za Uchaguzi. Paleambapo Kiswahili hakieleweki na itakapolazimuMgombea atazungumza katika lugha ya Kiswahili naMkalimani atatafsiri katika lugha inayoeleweka katikaeneo husika.
  2. (k) Viongozi wa Vyama vya Siasa, Wagombea au Wafuasiwao wahakikishe kuwa majengo wanayotumia kufanyakampeni sio ya ibada au sehemu zinazotumiwa kwa ajiliya ibada. Vile vile, Vyama vya Siasa vihakikishe kuwahavitumii Viongozi wa dini kupiga kampeni kwa ajili yaVyama vya Siasa au Wagombea wao.
  3. (l) Vyama vya Siasa au Wagombea wanatakiwa watoetaarifa mara moja kwa mamlaka husika marawanapofahamu au wanapoona tukio linalowezakusababisha vurugu.
  4. (m) Vyama vya Siasa, Wagombea na Wafuasi waowahakikishe kuwa wanafanya kampeni kwa kuzingatiamisingi inayolenga kutangaza sera zao na ambayohaijengi chuki, mfarakano na mgawanyiko wa jamii.
  5. (n) Vyama vyote vya Siasa na Wagombea watachukuahatua za lazima kuhakikisha kuwa hakuna migonganoya mikutano ya kampeni na vyama vingine. Ambapomikutano inagongana, Wawakilishi wao watakutana naTume na kutatua tatizo hilo kwa amani bila ya kutumianguvu, vitisho au vurugu.
  6. (o) Kila Chama kitawakataza Wanachama au Wafuasi wakekutamka kauli mbiu, kuonyesha ishara za vyamavyao, au kuvaa sare zenye rangi ya Chama chao katikamikutano ya hadhara ya Vyama vingine.
(p) Vyama vya Siasa na Wagombea wao watawaelekezaMawakala wao watakaokuwepo katika Vituo vya Kupigia,kuhesabia na kujumlishia Kura watekeleze majukumu yao kwa

4

mujibu wa Sheria za Uchaguzi, Kanuni za Uchaguzi, Taratibu
na Maelekezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
2.2 Yasiyotakiwa Kufanywa na Vyama vya Siasa naWagombea

  1. (a) Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wagombea waohawatakiwi kufanya fujo au kusababisha vurugu ya ainayoyote katika mkutano wa Chama kingine.
  2. (b) Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wagombea waohawatakiwi kutumia lugha ya matusi, kashfa, kejeli,udhalilishaji na vitisho au lugha inayochochea uvunjajiwa Amani, au kuashiria ubaguzi wa kijinsia,ulemavu au maumbile, kwenye mikutano yakampeni.
  3. (c) Mtu yeyote haruhusiwi kuwa na/au kubeba silahayoyote ikiwa ni pamoja na silaha za jadi au zana yoyoteinayoweza kumdhuru mtu katika mkutano wa kampeniau mkusanyiko wowote wa kisiasa.
  4. (d) Hairuhusiwi kuwa na/au kubeba sanamu, kinyago aukitu chochote ambacho kinaonyesha kudhalilisha,kukebehi au kufedhehesha Chama kingine cha Siasa auKiongozi wake au Serikali, katika mkutano aumkusanyiko wowote wa kisiasa.
  5. (e) Viongozi wa Vyama vya Siasa, Wagombea waohawaruhusiwi kutumia vipaza sauti vya aina yoyote ilekwa shughuli za kisiasa nyakati zote za usiku kuanziasaa 2:00 usiku hadi saa 12:00 asubuhi.
  6. (f) Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wagombea waohawaruhusiwi kuchafua, kubandua au kuharibumatangazo ya kampeni ya Vyama vingine vya Siasa namatangazo ya Uchaguzi yanayotolewa na Tume yaTaifa ya Uchaguzi.
  7. (g) Vyama vya Siasa visibandike mabango ya kampeni,matangazo au mchoro wowote kwenye nyumba,majengo au vyombo vya usafiri vya watu binafsi auTaasisi mbalimbali bila idhini ya wamiliki husika.
  8. (h) Kukosoana kati ya Vyama na Wagombea kunapofanyikani lazima kujikita katika Sera, programu na kazi zao

5

walizofanya. Ukosoaji wa Vyama vingine au Wagombeawengine kwa tuhuma zisizothibitishwa ni lazimauepukwe.

  1. (i) Vyama vya Siasa au Wagombea hawaruhusiwi kuombakupigiwa Kura kwa misingi ya udini, ukabila, jinsia aurangi.
  2. (j) Vyama vyote vya Siasa vikubali na kuheshimu maamuziya Tume ya Taifa ya Uchaguzi yanayofanywa kwamujibu wa Sheria za Uchaguzi. Hii ni pamoja naMatokeo ya Uchaguzi yanayotangazwa na Tume yaUchaguzi na Wasimamizi wa Uchaguzi. Pale ambapomtu hatoridhika na matokeo yaliyotangazwa na Tumeya Taifa ya Uchaguzi au wasimamizi wa Uchaguzi anahaki ya kupeleka malalamiko ya Uchaguzi Mahakamanikwa mujibu wa Sheria za Uchaguzi.
  3. (k) Vyama vyote vya Siasa, Wagombea, Wanachama auWafuasi wa Vyama vya Siasa, hawaruhusiwi kutoarushwa au shukrani ili kumshawishi mtu kusimamakama mgombea au kujitoa Ugombea wake.
  4. (l) Vyama vyote vya Siasa, Wagombea, Wanachama auWafuasi wasiwazuie watu kuhudhuria mikutano yahadhara ya Vyama vingine.
  5. (m) Siku ya upigaji Kura Vyama vya Siasa, Wagombea,Wanachama au Wafuasi hawaruhusiwi kukodi aukutumia usafiri wa aina yoyote kubeba Wapiga Kurakwa madhumuni ya kupiga kura.

    Sisi Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Serikali ya Jamhuri yaMuungano wa Tanzania kwa pamoja tumekubaliana kuwa na uchaguzihuru, wa haki, uwazi, na wa kuaminika. Na kwamba Amani, Ustawi waNchi, Usalama wa Raia, Uhuru wa Vyama vya Siasa na Utii wa Sheria,Kanuni na taratibu za uchaguzi ndio msingi wa uchaguzi ulio huru, haki nawenye kuzingatia ushiriki wa makundi yote ya jamii katika uchaguzi.Tunajipa, na tunakubaliana kuwajibika kuyatekeleza maadili hayayanayotokana na kifungu cha 124A cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi yamwaka 1985, (sura 343). Tutafanya jitihada za wazi kuhakikisha maadilihaya yanajulikana na kuheshimiwa na wagombea na wanachama wote waVyama vya Siasa.

Mkuu nafkir sasa ni kaz ya nec kutoa tamko
 
hata afanyeje clip tumeiona sisi waislam tushasema toka kitambo LOWASA HATUMCHAGUI
 
Kuna mgombea au raisi hana dini?
Wa ache polojo zao zisizo na msingi kwa taifa letu
 
Kwa kutaja 'hapajawahi kuwa na raisi Mlutheru eh?' Au kuomba aombewe ili awe raisi?

Basi atachaguliwa na walutheri acheni kutufanya sisi ni wajinga kwamba hatumuelewa huyo rais wenu!! Hawezi kuwa rais watz akaombe uaskofu wa walutheri full stop!!!
 
Ameteleza wapi?! Au kuwaomba waumini wenzake wamuombee ndio ishakuwa kosa?

Pengine alikua amelewa aliposema nchi hii haijawahi kutawaliwa na mlutheri, what has been done cant be undone! Vipofu, viziwi na wenye mahaba ndio tu kwao mbili jumlisha kwa mbili ni nane,
 
Basi atachaguliwa na walutheri acheni kutufanya sisi ni wajinga kwamba hatumuelewa huyo rais wenu!! Hawezi kuwa rais watz akaombe uaskofu wa walutheri full stop!!!

Full stop???..wewe ni nani si kikaragosi tu cha mafisadi wa ccm..sisi mamilioni ya watanzania tupo nyuma yake na tunampeleka magogoni penda usipende..ukipenda ungana nasi kama hutaki..unaruhusiwa kuhama nchi kama dr mihogo!
 
Hivi Nyerere aliposema hatutamchagua mtu kwa ukristo wake hukumuelewa..!!! yaani kwasababu waliotangulia walikuwa wakatoliki..sasa ni zamu ya lutherani. na sabato je..moravian..assemblies nao. orthodox je ?

Kwani nyerere ni biblia au msahafu..kwamba ikitokea hitilafu flani unakimbilia kwenda kufunua kurasa usome maelekezo..came on. .msipotoshe umma kwa kitu kidogo kama hiki..unataka kuniambia jk..hakuwahi kwenda msikitini na kuwaomba waislam wenzake wamwoombee..mta gain nn kwa hilo..majority of the people wamesh decide nani wa kumpa kura..waluobaki lbd ni 10% ambayo haina effect yoyote ya ku influence the outcome!
 
Vipi waliosema rais hawszi kutoka kaskazini tena mtoto wa rais.ccm wamekuwa na uchonganishi sana

walituambiaga cuf ni chama cha waislam,baadae chadema ni chama cha wakristo ccm mmehubiri sana udini na ukabila.
 
tumesikia kuwa kuna video ya lowasa akiwa kanisani akiomba walutheli wampigie kura ili tanzania itawaliwe na yeye ambaye ni mlutheli na kutaka sasa zamu yao.
tuelezwe na wahusika kama ni kweli au imepangwa ili watanzania tujue ukweli.
tusipende kufichaficha haya mambo ni hatari.

tunaomba uhakika wa hili jambo

ni kweli alisema hvyo ni video ipo ni ushahidi tosha...wati wanaosema lowassa ni chaguo la Mungu wasije rudia tena ni dhambi kumsingizia Mungu sababu ya kumpigia mtu kampeni..ni vbaya kulitaja nina la Mungu ukishuhudia uongo fanyeni njia nyingne za kampeni ila sio kumsingizia Mungu

Mbona nyie maccm mnapandikiza ukabila hawajawalalamikia? Hii SMS inayozunguka Usukumani ni ya nini kama siyo ukabila huo? SMS yenyewe inasema hivi nanukuu "Wasukuma oyeeeeeee!! Pigia kura yako ngosha. Hii ni zamu yetu WASUKUMA kuongoza Taifa, uwezo wa kushinda tunao na nia tunayo. Chagua MAGUFULI ili awe MSUKUMA wa kwanza kuwa RAIS wa TANZANIA. CCM OYEEEEEEEEEE!!! Tuma SMS hii kwa WASUKUMA wote waliomo kwenye cm yako!" Mwisho wa kunukuu. JE, huu siyo ukabila? hii ndo gia waliyoingia nayo ccm baada ya mbinu ovu kushindwa na Wasukuma wenzangu wamehadaika sijapata kuona! Basi kama ni habari ya zamu nasema hii ni zamu ya Walutheri, zamu ya Wamaasai, zamu ya kanda ya kaskazini!

Nashindwa kuwaeleweni. Kwani ni uongo urais Tanzania tunapeana kwa zamu za udini kwa maana ya waisilamu na wakristu na japo halijawekwa rasmi kimaandishi lakini lipo tu vizuri kiutamaduni na wala halitupi shida? Sasa kuna ubaya gani walutheri nao wakapata nafasi hiyo sasa jambo ambalo hata wakatoliki hawatalinungunikia kabisa. Hata awamu ingine ya waisilamu nao wataangalia nani achukue. Kama mshia msuni nk mradi ana sifa za kuongoza. Kwa hali hiyo tusiipe tafsiri potofu ya udini kauli ya lowasa.[/kwani walutheran sio wakristu , kwa hiyo na wasabato , waanglicana wapentecoste , wasunn , washiya nao walalamike ili nao watoe raisi

ukikonect dot unapata kitu tatizo humu ni ushabiki , cc dr slaa,na mshenga

hakuna deen wala Imani yeyote inayo kuletea pilau!

Mwenyekiti wa CCM Geita kasema sasa ni zamu ya kanda ya Ziwa si nongwa.

CCM ni mfumo wa kinafiki Tanzania.
Tatizo ni katiba mbovu inayomfanya rais kuwa mungu mtu. Sasa inawatafuna wanapohisi anakuja rais asiye na chembe ya mfumo waliouzoea wa kubaba chama kwa misingi ya dini na ukabila.

Leo wanatuletea wakina makamba kujibu mambo yaliyoingelewa kanisani.Eti Lowasa ni mdini ,Magufuli alipojenga kanisa kwa pesa zake kule chato tena la dhehebu lake hakuitwa mdini ,
kwa nini hakjkeenga msikiti pia
Lowasa tatizo lake sio msemaji sana na hapo ndipo wanapomuonea kwa kila jambo. Wamesahau kwamba Lowasa ni mtendaji sio mpiga porojo. Amekua akishirikiana na dini zote kwa vitendo sio kwa maneno.

CCM wanapinga udini kwa maneno na sio vitendo.
Hivi ni kwa nini Zanzibar hawakupewa nafasi ya urais wakati ilikua ni zamu ya Zanzibar?
Walisema ni zamu ya wakristo .Wakasema John Ramadhani ambaye ni muanglikana achukue Form ,mtu ambaye alikua na sifa zoote za kimaadili ndani ya ccm .John Ramadhani ambaye ni mwadilifu wa kiwango cha juu kabisa alipoteza sifa hata ya kuingia tano bora ndani ya CCM kwa hofu ya Dr.Slaa ambaye ni Mkatoliki .CCM ilihofia kupoteza kura za wakatoliki na kuamua kumweka Mkatoliki na Fisadi wa kuuza nyumba za umma ,kununua kivuko kibovu kwa bei ya kuruka kama ile ya rada,kupoteza mabilioni kwenye wizara yake bila hata kuhojiwa,kisa tu ni hofu ya kukosa kura.
Sasa tujiuluze ni kwa nini Lipumba na Slaa walioitwa wadini na CCM leo wamekua ni mashujaa baada ya mradi wao wa kudumaza mabadiliki kukwama na kurudi kuisaidia CCM.

CCM walijua kuwa bado watanzania wataendelea kuichagua kwa misingi ya kikabila na kidini. Mwaka huu tumempata Lowasa,Mgombea anayeungwa mkono na watanzania wa kila dini na Kabila .Wamekuja na wimbo wa kumchafua eti ni mdini kwa sababu aliwaomba waumini wenzake wamwombee ili Mumgu akipenda waluteri nao wapate rais.
Lowasa hakuomba kura za watu bali Mungu amwezeshe na kupata nguvu ya kushinda .

CCM ni chama kilichomdharau Mungu kwa kiburi cha Madaraka ,hata sadaka wanaiita rushwa.
Hofu ya kisichojulikana .

CCM ni kama malkia wa mchwa bila kupasuka na kufa ni wazi kuwa hili taifa litakufa na halitandelea mbele kamwe.
 
It is very true.

Maccm kwa uroho wao wa kutaka kuitawala nchi hii milele, wako tayari kuanzisha propaganda yoyote chafu hata kama wakijua propaganda hizo zinaweza kuliangamiza Taifaletu.

Mbona mwaka 2005 wakati Askofu Kilaini alipowasihi watanzania wote wamchague Kikwete kwa kuwa ni chaguo la Mungu, hatukuwahi kumsikia mwanaccm yeyote akinyanyua mdomo wake kumkemea Askofu Kilaini kutokana na kauli yake hiyo potofu?
kumbe lowasa hajaongea anasingiziwa kwa propaganda za ccm eehhh. tafuta video isikilize acha mahaba niue hapa
 
Huu ndio utetezi wa mgombea urais kupitia tiketi ya UKAWA kuhusu kauli yake aliyoitoa alipokuwa katika kanisa la Kilutheri huko Tabora. Nanukuu...

"Kwanza, niombe radhi kwa wale ambao kwa njia moja au nyingine wamekwazika kwa maneno ambayo yametafsiriwa na baadhi ya watu kuwa ni 'udini' wakati naongea na waumini mjini Tabora siku ya jumapili na kuripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari.

Pili, niseme kwa uwazi kabisa kuwa mimi sio mdini hata kidogo. Mimi ni mcha Mungu na mojawapo ya mambo ambayo imani yangu imenifundisha ni upendo kwa kila mtu bila kujali dini yake.

Tatu, mimi kama mgombea ni jukumu langu kuomba kura kwa kila Mtanzania bila kujali dini yake. Hili ni jambo ambalo mimi binafsi naliamini kwa dhati kabisa pamoja na chama changu.

Nne, naomba nifafanue nilichokisema na kumaanisha wakati wa Ibada. Lengo langu kuu lilikuwa ni kuomba waumini wenzangu waniombee kwa sala zao katika safari yetu ya kuikomboa Tanzania. Sikuwaambia wanichague au wanipigie kura kwa sababu mimi ni Mlutheri. Hapana. Nilichowaomba na wote mmesikia ni sala zao. Sijawaambia wamchague Mlutheri mwenzao. Ni kweli kwamba hakuna Mlutheri ambae amewahi kuwa rais. Sidhani kama nimesema uongo. Lakini nisisitize kwamba Ulutheri sio kigezo cha kuwa rais. Dini sio kigezo. Maombi yangu kwao waumini ni sala zao na hili jambo mtu yeyote mwenye imani anaruhusiwa kulifanya.

Nimalizie kwa kuwaomba radhi tena wale ambao wamekwazika kwa kauli yangu. Najua baadhi ya watu ambao wanapinga harakati zetu watajitahidi sana kuchochea na kulikuza jambo hili. Sababu zao tunazijua. Naomba muwapuuze tusonge mbele. Watanzania watachagua sio kwa sababu ya dini, ukanda, ukabila au jinsia. Watachagua kwa kuangalia uwezo wa mtu na utekelezaji wa ahadi kutokana na mipango ambayo tumeiweka." Mwisho wa kunukuu.
tunaomba uweke video clip ya hayo maneno. tutaamini vipi kasema hayo na si yako? aliyasema akiwa wapi
 
Back
Top Bottom