DreezyD98
JF-Expert Member
- Nov 6, 2020
- 1,613
- 2,885
Barcelona kama wapo siriazi wamsajili huyu mtoto anauwasha balaaWilliams kaperform vizuri mno usiku huu.
Barcelona kama wapo siriazi wamsajili huyu mtoto anauwasha balaaWilliams kaperform vizuri mno usiku huu.
Aikambe Meku.Meku pole sana
Walker kwnz alikuwa majeruhi ht kabla game halijaanza...lkn amejitahidi sana na England nzima hainaga beki kisiki kama ile...nakumbuka wakati France iko vizuri msimu uliopita kina Gary Neville na Bekham walisema hakuna beki wa kumzuia Mbape zaidi ya WalkerYaani, lakini pia sijui kwa ninj kamuacha walker. Hata goli la kwanza limetokea upande wake
Hawa Leo wangepigwa pakti kbs sema bas pale mbele Spain walikosa umakiniWalidhani San Marino kumbe Spain.
Kudorora.Waingereza wanazidi kudolola
Nimefurahi ile mbaya.Hamna timu pale.
Team ya wapiga domo tu
Tuombe uzimaAikambe Meku.
2028 tupo home. Tunalibeba katika ardhi yetu tukufu.
Hamna offside, VAR imeonyesha beki alizidi gotiBaada ya kukabidhiwa komne turudi hapa kuhadili goal la pili la spain. Nimeona kama offside vile!!!
nilijua hawafiki popote mashoga wale. Uingereza kinachowaponza ni laana ya kumkataa Mungu. nimefurahi wamedhalilishwa na vitoto vidogo kabisa.Kwa furaha tu kubwa niliyonayo Usiku huu ngoja sasa nitafute Baa ya kwenda Kunywa na Niokote kwa Kumsuuza nao.
Hakabiki...ana speed, control, dribbling....kanahama namba tu🤣Huyo dogo ni hatari kuliko Yamal
Hongera kwa furaha ndugu.Kwa furaha tu kubwa niliyonayo Usiku huu ngoja sasa nitafute Baa ya kwenda Kunywa na Niokote kwa Kumsuuza nao.
Yamal ana kismati.Huyo dogo ni hatari kuliko Yamal
Ana nguvu pia, ana uwezo wa kupiga maweHakabiki...ana speed, control halafu mjanja anahama namba sana
Basi hawezi kuwa Mchezaji bora wa mashindano.Mchezaji bora mwenye umri mdogo. Yamal from spain and barcelona