Promenthous
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 358
- 448
England hawana sababu ya kuhuzunika wamefika fainali kwa kuunga unga,Spain wamepambana sana tangu makundi, wanastahili kuchukua ubingwa.
Rodri, fabian ruiz unawaacha wapi?Walistahili
Player of the tournament:
Yamine Yamaal.
OlmoWalistahili
Player of the tournament:
Yamine Yamaal.
Sana tena sanaJamaaa ana gundu
Labda the puppyTrump survives assassination attempt while Spanish national team beats The lions
Player of the tournament anakuwaga mmoja sasa hao wote wa nini?Rodri, fabian ruiz unawaacha wapi?
Walidhani San Marino kumbe Spain.Huraaaaaaaaaaaaaa
Naelewa, sasa yamal over hao wawili?Player of the tournament anakuwaga mmoja sasa hao wote wa nini?
Sijamuelewa kwann Palmer alikuwa anamuweka nje dk zote hizomuda wa kumtukana southgate umewadia
Nashukuru, tumepata mechi nzuri. Na wengi wa walicheza tutakutana nao kwenye fainali zijazo. Football imetenda haki.