Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,541
- 61,998
DaaahNilikwambia bwana kuwa spain anahitaji goli mbili...wacha football ishinde bwana spain deserve it.
DaaahNilikwambia bwana kuwa spain anahitaji goli mbili...wacha football ishinde bwana spain deserve it.
Yaani walker toka alivyoanguka, kapoteza nguvu na speedYaani, lakini pia sijui kwa ninj kamuacha walker. Hata goli la kwanza limetokea upande wake
Nyie kalaleni sie full kupartyIts coming home
Kama nini? 😁Inauma sana.
Jitulize baba.Inauma sana.
Kwakweli wasitulaze usiku hawaiishe tu *****
😃😃😃😃polemkuuRefa anawapendelea mno
Hizi sekunde likiingia goli ndo utajua hujui mpira haunaga adabuEngland wamelaliwa na spain hawana chao leo