Tushajua team yako usikimbieSijui leo nishabikie ipi!
Nani anakufa?Anakufa mtu 3 nunge, 00:00
Kafanya maajabu kwenye kikosi Southgate?#ItsComingHome
Hamna jipya sana sana kamuanzisha Luke Shaw badala ya TrippierKafanya maajabu kwenye kikosi Southgate?
Ewaa nimekumbuka ile 2017 finali na Madrid Pale CardiffGiorgio Chiellini, duo yake na Bonucci niliipenda sana.