UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
red nimekosea[8]...nilijua ulipokuwa unaenda na ndio maana nimejaribu kuchambua as neutral as possible mngeshinda msingesema refa kaharibu....

unajua kuwa Mueller aliangushwa na Kolschieny na ilitakiwa iwe penalty??sijakusikia ukimlaumu refa kwa hilo,kwahio unataka kusema kadi nyekundu aliotoa refa haikustahili??[maanake hio ndio ilibadili mchezo hilo liko wazi] na kama ilistahili utasema vipi refa kaharibu mchezo??

hivi unajua kuwa Ozil alipokea ile pass akiwa offside kabla ya kupata ile penalty???[kaangalie tena hii mechi. kama mngeshinda msingeona makosa ya refa[kwangu mimi ni maamuzi sahihi kwa bayern] ila kwenu refa kafanya blunder mbili on your favor [1]penalty ya Mueller kabana[2]Ozil alikuwa offside kabla ya penalty

wewe huna akili unaongea kwa chuki dhidi ya timu flani badala ya kuchambua uhalisia,ile ya muller unayoisema 100% haikuwa penat kwani imerudiwa mara kadhaa ktk angle tofauti inaonesha wazi hakuguswa,na angekuwa refa makini angepata kadi kwa udanganyifu,
cha msingi mpira ni mchezo wa makosa,unapokosea mpinzani wako anatumia mwanya huo,faulo mbaya aliyochezewa Gibbs kupelekea kutolewa uwanjani na red ya kipa ndivyo hasa viliikosti gunnerz kwani robben akawa anatiririka tu na goli la kwanza lilitokea upande wake,naamini mechi ya marudiano utafunga domo lako,kwani watakuwa 11/11 uwanjani.
We msubiri Villa akupe kichapo uende "8"
 
Acha kutokwa povu we,Arsenal ina wenyewe na wenyewe ndo sisi tuachie Arsenal yetu,Wenger wetu na ata Ozil pia
COYG......in Wenger we trust
 
Esabu faulo (fauls) za Bayern...ulinganishe na Kadi za njano ama red walizopewa...fanya hivyo hivyo kwa Arsenal...! Na hapo ndipo utagundua Dr.Mo anachomaanisha.
..mkuu tujutegemee ukiangalia mpira kwa makini....dakika kwa dakika .....utaona uefa champions legue ya sasa iivi ni tofauti sana ya zamani kidogo....hivi hawa marefea wa platini...wangeweza kuchezesha mpira wa viungo na mabeki wagumu kama....gatuso, makelele, geizka, keane , viera, nesta, maldin......waache tuone timu zikipambana...wamekuwa too sensitive game zote zimeharibika baada ya soft red card na penalt za kijinga....
 
wewe huna akili unaongea kwa chuki dhidi ya timu flani badala ya kuchambua uhalisia,ile ya muller unayoisema 100% haikuwa penat kwani imerudiwa mara kadhaa ktk angle tofauti inaonesha wazi hakuguswa,na angekuwa refa makini angepata kadi kwa udanganyifu,
cha msingi mpira ni mchezo wa makosa,unapokosea mpinzani wako anatumia mwanya huo,faulo mbaya aliyochezewa Gibbs kupelekea kutolewa uwanjani na red ya kipa ndivyo hasa viliikosti gunnerz kwani robben akawa anatiririka tu na goli la kwanza lilitokea upande wake,naamini mechi ya marudiano utafunga domo lako,kwani watakuwa 11/11 uwanjani.
We msubiri Villa akupe kichapo uende "8"
...kuna age flani ukifika unatakiwa uasiangalie mpira kishabiki....kweli mkuu wakiwa 11 kwa 11...beyern angeweza kukaa vizuri tu sema marefa wa platin wanashida siku hizi
 
mnajipa moyo tu, barca ni timu bora kuliko man city na walicheza vizuri, bayern ni timu bora kuliko arsenal na hata kabla kipa hajatolewa bayern walikuwa wana attack mfululizo. Arsenal ingeshinda kwa bahati na si kucheza vizuri kuliko bayern na ukweli ni kuwa barca na bayern ndizo zilionekana zinacheza vizuri kabla hata ya red cards ,kwa hiyo man city na arsenal walihitaji bahati zaidi kuweza kushinda kuliko uwezo lakini stage hii imeonekana anayejua, aliyecheza vizuri ndiye aliyeshinda.
ukiangalia mpira kishabiki itakupa shida....mechi ya beyer na arsenal ...hata statisticaly dk 20 za kwanza arsenal ndo ilikua juu
 
Team za ugenini ndio zinashinda....kuna wingi wa penalt....kila team inajitahid kupiga cape exept at madrid....red card zinatolewa sana..tupia maajabu mengne uliyoona

arsenal na mancity wamefungwa wakiwa kumi uwanjani magoli yote yaliingia muda sawa na timu zilizoshinda uingereza ni fcb
 
Mkuu Asante sn kwa link yako! Naona watakua wamejionea wenyewe! Mimi Nimesema hapa! Lkn nimeonekana Nina chuki na Ozil. Sasa wataalam hao Wa nje wanagusia mulemule!

mkuu naona busara ni kukaa kimya,maanake kuna watu washaanza matusi....dawa ya mjinga kumpuuza.
 
Arsenal lost 2-0 to bayern munich at home,arsenal were 10 men,kroos scored in 54th minute,muller scored at 88th minute

man city lost 2-0 at home,city were 10 men,messi scored in 54 miute,and alves scored in 88th minute

both clubs are fcb and both won in england
 
Kwa post zako tu nilishakuelewa wewe ni mtu wa aina gani ndiyo maana nikamwambia Ntuzu mimi nimekusamehe, hujishangai sikujibu! Hivi ni mtu gani mwenye akili zake timamu ataongea maneno kama hayo hapo juu wakati mpira umeangaliw adunia nzima na kila mtu ameona Arsenal hamna kitu pale.

Matokeo yake unanilazimisha nitoe maneno ya kashfa kama ulivyozoea wewe na malezi yako mabovu. Anyway kama mimi niliugua degedege niwewe mama yangu ndiye uliyeniuguza mpaka nikapata nafuu. Hongera!!
[h=1]Guardiola - The red card changed the game[/h]19/02/14 10:13pm
Bayern Munich manager Pep Guardiola said Arsenal were the better team in the first 15 minutes, but the game changed after Wojciech Szczesny was sent off.
#Mburukenge
 
Arsenal lost 2-0 to bayern munich at home,arsenal were 10 men,kroos scored in 54th minute,muller scored at 88th minute

man city lost 2-0 at home,city were 10 men,messi scored in 54 miute,and alves scored in 88th minute

both clubs are fcb and both won in england
Naona mashabiki na wadau wa Man City ni waungwana wamekubali matokeo tofauti na wenzao.
 
Arsenal lost 2-0 to bayern munich at home,arsenal were 10 men,kroos scored in 54th minute,muller scored at 88th minute

man city lost 2-0 at home,city were 10 men,messi scored in 54 miute,and alves scored in 88th minute

both clubs are fcb and both won in england

Na zote zilikuwa ugenini na aidha zina/ilifundishwa na Pep....kamari hiyo aka freemasons...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom