UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
zote au....hujaona...???!!1 uliona tempo za gemu zilikua zinabadilika baada ya nini...?

mnajipa moyo tu, barca ni timu bora kuliko man city na walicheza vizuri, bayern ni timu bora kuliko arsenal na hata kabla kipa hajatolewa bayern walikuwa wana attack mfululizo. Arsenal ingeshinda kwa bahati na si kucheza vizuri kuliko bayern na ukweli ni kuwa barca na bayern ndizo zilionekana zinacheza vizuri kabla hata ya red cards ,kwa hiyo man city na arsenal walihitaji bahati zaidi kuweza kushinda kuliko uwezo lakini stage hii imeonekana anayejua, aliyecheza vizuri ndiye aliyeshinda.
 
Baba jeni baibaiiiii...tokeni bana na mitimu yenu mibovu mumezidiwa ujuzi na mbinu ndani na nje ya uwanja....waacheni wazee wa mashindano hayo man utd na chelsea wawakilishi sahihi wa uingereza.

Hao arsenal na man city walitaka washinde kwa historia ipi waliyonayo kwenye mashindano hayo bana...watu munacheza na wenye makombe yao eti munataka ushindi..hovyooooo.


Ni hayo tuu.
 
Timu 3 za spain zitaingia robo fainali.UK hakuna mpira ligi ni dhaifu sana
 
Hivi hata Fabiansk kupigiwa bomba lile na Kroos na kusababisha ajigonge mwenyewe kwenye mwamba wa goli ni hujuma??
 
maajabu zaidi ni mashabiki wa arsenal kushangilia eti goli 2 walizopigwa ni chache sana hivyo wamewamudu bayern
Mkuu hata mimi nimeshangaa sana kuwasikia washabiki wa Arsenal wakifurahia kufungwa goli 2, kwa kweli nilipata shida kuwaelewa.

Lakini badaye nikapata jibu kuwa kama wameweza kukaa miaka 8 bila hata ngao ya hisani wakifurahia kulamba chenga timu pinzani, kwa kweli nimekumbuka ni watu wa aina gani hawa.
 
mnajipa moyo tu, barca ni timu bora kuliko man city na walicheza vizuri, bayern ni timu bora kuliko arsenal na hata kabla kipa hajatolewa bayern walikuwa wana attack mfululizo. Arsenal ingeshinda kwa bahati na si kucheza vizuri kuliko bayern na ukweli ni kuwa barca na bayern ndizo zilionekana zinacheza vizuri kabla hata ya red cards ,kwa hiyo man city na arsenal walihitaji bahati zaidi kuweza kushinda kuliko uwezo lakini stage hii imeonekana anayejua, aliyecheza vizuri ndiye aliyeshinda.
Hivi kabla ya card zile dakika 20 za mwanzo unasema Buyern alicheza vizuri???????Oohh My LMFAO!!! Sijui ulikuwa uwanjani au ukiangalia tv za mchina...uwe fair bwana!!
 
[h=1]MATCH STATS[/h]

  • [*=left]Arsenal
    [*=right]Bayern Munich
[TABLE="class: no-borders, width: 0"]
[TR]
[TD="class: first"]8(4)[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Shots (on goal)[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]26(5)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]8[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Fouls[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]16[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]2[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Corner kicks[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]3[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Offsides[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]21%[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Time of Possession[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]79%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]2[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Yellow Cards[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]1[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Red Cards[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]3[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Saves[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]4[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom