TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 873
hapo kwenye redi umekosea au?
tatizo kwa refa lilkuwepo labda tujifanye hatukuona.
Nisawa na mchi ya man city, faul ilichezwa mapema kati ya uwanja refa akafumba macho, ikapigwa ndefu ikazaa red na penati na messi kufunga. angeiona ile ya kwanza nadhani man city wasingepata red card
Inawezekana bayern na bacelona wazuri lakini marefa wa mechi hizo mbili walichangia kuharibu mechi kiasi flani.
red nimekosea[8]...nilijua ulipokuwa unaenda na ndio maana nimejaribu kuchambua as neutral as possible mngeshinda msingesema refa kaharibu....
unajua kuwa Mueller aliangushwa na Kolschieny na ilitakiwa iwe penalty??sijakusikia ukimlaumu refa kwa hilo,kwahio unataka kusema kadi nyekundu aliotoa refa haikustahili??[maanake hio ndio ilibadili mchezo hilo liko wazi] na kama ilistahili utasema vipi refa kaharibu mchezo??
hivi unajua kuwa Ozil alipokea ile pass akiwa offside kabla ya kupata ile penalty???[kaangalie tena hii mechi. kama mngeshinda msingeona makosa ya refa[kwangu mimi ni maamuzi sahihi kwa bayern] ila kwenu refa kafanya blunder mbili on your favor [1]penalty ya Mueller kabana[2]Ozil alikuwa offside kabla ya penalty