Nadhani ni solution nzuri. Mpira uchezwe Ulaya, mtu avue ngua Tanzania, hata mechi moja hajawahi kwenda kuangali UK. Makubwa.
me nitajinyongamikazó;8681796 said:Mara nyini nimekua ni mtu wa kutimiza ahadi zangu ninazoziweka,safari hii ahadi yangu ni kwamba man utd ikicheza uefa mwakani mi nitatembea uchi kwa muda wa siku 3,kutoka ubungo hadi kariakoo
tunamtakia safari njema..
![]()
Timu gani unahisi imehujumiwa kati ya Arsenal na Manchester City?platin na uefa...hawazitaki timu za england
Team za ugenini ndio zinashinda....kuna wingi wa penalt....kila team inajitahid kupiga cape exept at madrid....red card zinatolewa sana..tupia maajabu mengne uliyoona
Waaache wanajipa moyo lakini ukweli waujua moyoni kuwa Bayern, Barcelona, Atletico Madrid, PSG walicheza vizuri na walistahili kushinda.Hizi takwimu nazo ni hujuma?
View attachment 140392
zote au....hujaona...???!!1 uliona tempo za gemu zilikua zinabadilika baada ya nini...?Timu gani unahisi imehujumiwa kati ya Arsenal na Manchester City?
Hizi takwimu nazo ni hujuma?
View attachment 140392
Waaache wanajipa moyo lakini ukweli waujua moyoni kuwa Bayern, Barcelona, Atletico Madrid, PSG walicheza vizuri na walistahili kushinda.
"Never argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat you with experience" Mark Twain
kupiga cape ndo nini