Likwanda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 3,926
- 1,159
Team za ugenini ndio zinashinda....kuna wingi wa penalt....kila team inajitahid kupiga cape exept at madrid....red card zinatolewa sana..tupia maajabu mengne uliyoona
Timu zote zilizongoza makundi ndizo zilizoshinda.