UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
Jamani kuna siku nilishawaambia washibiki wa Barcelona hapa hawana timu inabidi wajipange upya tena, beki hakuna kabisa, midfield haina pace tena Xavi Hernandez ameshachoka; Sasa ona aibu kama hii jamani Champion League mtu unapigwa nne ubuyu. Ha ha ha ha ha ha ha ha ha. Fainali Bayern Munich na Real Madrid na nilishaongea haya mapema kwa wenye kumbukumbu....Raha sana leo....aibu yetu ...aibu yaooo?.....Ha ha ha ha ha ha ha
Aibu yao wenyewe Nou Camp
 
Attachments

  • d5bb937b0063c6570203c4bb0543ffc0.jpg
    d5bb937b0063c6570203c4bb0543ffc0.jpg
    46 KB · Views: 65
Yaani Baca leo imeshikwa baya sana
maarifa yaliwaisha kabisa
Maana ukuta wa Berlin wameshindwa
kuuvuka lakini pia leo wamenawa mpira
goloni mara mbili refa kawapa mbereko

Bay 4-0 Bar
 
Barca leo wameona the true colours. Ni muda mrefu sana nimeangalia mechi huku barca wakicheza kama yanga.
 
BAY 4-0 BAR

Leo zile mvua zenye madhara zimewakuta
Tz tunaziita ELNINO na jua lake LANINO

Sasa hili jua linakausha kila kitu
 
Safari yao imefika
Pia Bar hawana jipya
kapu lote wataweza
kuwafunga Bay 5 o 'clock?
 
Barca leo wameona the true colours. Ni muda mrefu sana nimeangalia mechi huku barca wakicheza kama yanga.

haya ndo matani ya ngumi sasa, hapa Yanga inaingilia wapi sasa? Lol!

Jangwani wamebakiza point moja tu kumbuka mpwa.....
 
Swahiba wangu Gutierez najua leo upo jukwaani kama guest,ngoja nikuimbie kale ka wimbo ka Marijani Rajabu,"MAATESO MAATESO MAATESO YAMEZIDI NACHOKA AH!POLE MAMAA KWA TABU UNAZOZIPATAA LAKINI KWANZAA USICHUKUE UAMUZI HUO MAMAA,MIMI NA WAZAZI WAKE TUTAMUITA "BAYERN" TUMKANYEE IKISHINDIKANAA MIMI NITAKUWA SHAHIDI WA KIFO CHAKO MAMAAA!
 
sasa hivi wanaumwa na mwenzake mucoprin
 
Bayern wakilikosa hili kombe kwa safari ya 4 ndani ya miaka 14 itabidi wauze timu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom