UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
Naomba Real tuingie na hawa jamaa final ili wajue kila kubwa ina kubwa yake!
 
Kiboko ya Messi ndio anatoka Ribery kwa leo manake Messi atapumua alikuwa anamkaba tu ribery akawa kama Beki ya Kulia.
 
Niko mbaali na TV hebu naomba swahiba yangu Gutierez unisimulie jinsi timu yako inavyomponda kichwa nyoka leo!teh teh kwi..kwi..kwii!hivi barca ndo wamevaa T mobile nyekundu..aah nimesahau jamani niko mbali na TV,Gutierez mwaga mambo yakhee!
 
Wakati Munich wakitembeza dozi ya 6 kwenda mbele kama dawa mseto watu walibeza kua ligi yao rahisi.
Sasa oneni leo watu wanachezeshwa chandimu hapa.
 
Kapu la magoli...sijui kama wana uwezo wa kushinda 5-0 kwenye mchezo wa marudiano.
 
...tunaomba... Live Upade...WanaJF.
Tanesco wamekata umeme..., inaonekana fundi wazamu leo, ni mshabiki wa timu iliyofungwa...
 
Wadau wa Jamiiforum wanauliza Bayern wameshinda ngapi? Mr Patel anajibu Imefunga Ineeee(4)
 
Bora siye Arsenal tuliwadindia kinyegere hawa Bavarians,walifuzu ila mziki wetu wanautambua,sio hawa Juve na Barca!
 
Jamani kuna siku nilishawaambia washibiki wa Barcelona hapa hawana timu inabidi wajipange upya tena, beki hakuna kabisa, midfield haina pace tena Xavi Hernandez ameshachoka; Sasa ona aibu kama hii jamani Champion League mtu unapigwa nne ubuyu. Ha ha ha ha ha ha ha ha ha. Fainali Bayern Munich na Real Madrid na nilishaongea haya mapema kwa wenye kumbukumbu....Raha sana leo....aibu yetu ...aibu yaooo?.....Ha ha ha ha ha ha ha
 
... Leo ni "Kifo cha Nyani..."
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom