UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
"MAATESO MAATESO MAATESO YAMEZIDI NACHOKA AH!POLE MAMAA KWA TABU UNAZOZIPATAA LAKINI KWANZAA USICHUKUE UAMUZI HUO MAMAA,MIMI NA WAZAZI WAKE TUTAMUITA "BAYERN" TUMKANYEE IKISHINDIKANAA MIMI NITAKUWA SHAHIDI WA KIFO CHAKO MAMAAA!

hahahahahaha Juve unatuvunja mbavu watu, tathimini inaonyesha mashabiki wote wa Barca weshalala mda huu.
Labda watarudisha hayo magoli ndotoni
 
Niko mbaali na TV hebu naomba swahiba yangu Gutierez unisimulie jinsi timu yako inavyomponda kichwa nyoka leo!teh teh kwi..kwi..kwii!hivi barca ndo wamevaa T mobile nyekundu..aah nimesahau jamani niko mbali na TV,Gutierez mwaga mambo yakhee!


Atakuja hapa na hadithi za mitaa ya Mestala, La Coruna, Catalan, uongo mwiiiiiiingi lakini mwisho wa siku kapiga mbizi kwenye kokoto...
 
Yes please

Pouwa. Vua hicho kitu cha njano vaa the real kala like this.

Hapo lazima Yanga watabakia kuyacheza mayenu kama anavyoyacheza huyo kipa wa Barca. Siyo mchezo.


_67198972_67193381.jpg
 
huyo messi leo na mimi niliekuwa kbanda umiza hatukuuwa na tofauti na pengne kwa hali moja nilimzid koz nilipata pa kukaa pemben juice kuliko yeye alieangalia mpiraa akiwa uwanjani tena kasimama si angetoka tuu awe shabiki kama sisi... atubish kuwa anajua ila kwa hili la leo WAJIPAAANGEEE... Wasijepigwa agregate ya 6 kavu:wink:
 
Hapa ndo utaiona difference ya C.ronaldo na mkia wa mbuzi messi.,Hata timu izidiwe vipi, huwezi kumficha Ronaldo kiasi alichofichwa Messi.


Teh teh Messi kweli ni mkia wa Mbuzi...haustiri uchi wala haufukuzi Nzi...
 
Barcelona traveled all the way from Spain to
Germany FOUR nothing.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Messi: I was fit but not '100 per cent'

The Argentine has confessed that he was
rusty after a couple of weeks on the
sidelines after rushing back from a
hamstring injury in time to face PSG in the
quarters...

Masaburi yake...
 
Messi: I was fit but not '100 per cent'

The Argentine has confessed that he was
rusty after a couple of weeks on the
sidelines after rushing back from a
hamstring injury in time to face PSG in the
quarters...

Masaburi yake...

Aende zake kule! Yaani yeye asipokuwa fit na timu nzima ya Barca inakuwa pia haiko fit?

Guardiola alijua kuwa the team is in decline ndo maana akasepa mapema. Janja sana yule.
 
Siongei mengi tumaini langu ni kwa Morinho la sivyo itakuwa Eloi Eloi lama sabaktani maana wajerumani wana tabia mbaya kama waAngola.
 
Nimeshinda central jaman baada ya kumtandika msengerema mmoja hv baada ya kukataa kutoa pesa ya kamali maaaaanina zake na kesho nnaye maa mbegesu, barca team mbovu kaiwekea hela iliponjunjwa hataki kutoa hela, sasa anategemea nini? Kutoa masaburi? Maaanina!
 
angalia vituo vyote vya luninga vitakavyo rusha game hii uone wachambuzi watakuwa wanamzungumzia nani. hapo ndo utajua nepi utashika wewe. hivi sasa nasikiliza dw radio kipindi cha michezo anazungumzwa megician

Haya we mama umemchambisha vizuri kinyesi dogo messi baada ya kajambishwa na kunyeshwa ucku kucha na mkoloni?
 
Messi: I was fit but not '100 per cent'

The Argentine has confessed that he was
rusty after a couple of weeks on the
sidelines after rushing back from a
hamstring injury in time to face PSG in the
quarters...

Masaburi yake...

Yametapakaa nnya!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom