UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
Inter Milan wametusaidia sana sisi Real Madrid. Maana hawa jamaa wangekuja kutia nuksi kasri letu la Santiago Bernabeau. Afadhari wamepigwa chini. sijui kama leo watamlaumu nani, ahh nimesahau watasema Inter Milan walikuwa wanazuia badala ya kusema kwamba wao walikosa plan B.
 
yaani hawa Barca wana boa sana.......wamezidi kutafuta huruma ya refa...........mi naona sawa sawa kutolewa kwao
 
yaani hawa Barca wana boa sana.......wamezidi kutafuta huruma ya refa...........mi naona sawa sawa kutolewa kwao
wamezoea magoli ya dkk za majeruhi, wanasubiri kubebwa sana!
 
FL1 pole sana

obsession Vs Dream !!!!
maneno hayo ndo yaliimaliza barca. na ni hapo ndo morinyo huwa namuona ni bonge la kocha
 
FL1 pole sana

obsession Vs Dream !!!!
maneno hayo ndo yaliimaliza barca. na ni hapo ndo morinyo huwa namuona ni bonge la kocha

huu ndio mpira Bwana nimemkubali Jose Mourinhino kocha ana akili sana ..naona aliwajenga wachezaji kisaikolojia kwanza
kisha akashusha ukuta wa Berlin pale mbele ..
Big up Inter Milan kazi mmmeifanya nzuri sana pamoja na kuwa mlikuwa pungufu
Mie nauguza maumivu hapa!
 
Dark City upo? Kama unashabikia Barca pole.....!!
Na Barca wasipoangalia ata La Liga wanaweza kukosa lol...

Hapana Mkuu, mimi sishabikii Barca. Nilitaka Inter washinde. Siyo kwa sababu mimi ni mshabiki wa Inter bali kwa nature yangu ya kutowapenda watu wanaotaka kujitangazia ufalme. Hawa Barca wanataka kujifanya CCM (kutawala milele) kwa hiyo nitafurahi hata kombe la La Liga wakilikosa ili adabu urudi mahali pake. Na hiyo pia ndo sababu inayonifanya niwachukie Man U.
 
huu ndio mpira Bwana nimemkubali Jose Mourinhino kocha ana akili sana ..naona aliwajenga wachezaji kisaikolojia kwanza
kisha akashusha ukuta wa Berlin pale mbele ..
Big up Inter Milan kazi mmmeifanya nzuri sana pamoja na kuwa mlikuwa pungufu
Mie nauguza maumivu hapa
!

Pole sana FL1,

Huo (kwenye red) ndo unaitwa unamichezo (sportsmanship). Unaumia kufungwa lakini unampongeza mpinzani wako kwa kukunyuka mabao. Natamani wanasiasa wangeweza kuja uwachape shule.
 
Pole sana FL1,

Huo (kwenye red) ndo unaitwa unamichezo (sportsmanship). Unaumia kufungwa lakini unampongeza mpinzani wako kwa kukunyuka mabao. Natamani wanasiasa wangeweza kuja uwachape shule.

Acha tu Dark City ukweli lazima usemwe Daima ...ni kweli najisikia mnyonge sana nimetokeza tu hapa kwenye kijiwe changu cha supu kila mtu anatoa pole ndo wananiongezea maumivu rohoni ...
 
Inter captain Javier Zanetti has said reaching the Champions League final is fully deserved after beating Barcelona 3-2 on aggregate.

The Nerazzurri held on with 10-men after Thiago Motta was sent off in the first half. But, despite conceding a late goal to Gerard Pique, they can now look forward to the Madrid final against Bayern Munich.

"We suffered, but we deserve to be in the final. We were tremendous. Apart from the inferno from the fans we were focused on the game," he told Rai Uno after the match.

"And, apart from Thiago Motta's red card, we showed all the spirit of the group and this was important.

"Now we are thinking about Madrid, but also the league."

Inter thus reach their first European Cup final since 1972. Back then they played Johan Cruyff's Ajax and lost 2-0 in Rotterdam.
 
Najua Supersport wanaonyesha.

Nataka kujua kwa local channels, Channel Ten wanaonyesha? TBC, Star?
Na kama ni ndio, wanaonyesha mechi gani?

kwenye king'amuzi cha Startimes, kuna mechi yoyote?
 
Mpaka sasa ratiba kamili haijatolewa kuwa ni mechi gani zitaonyeshwa ingawa chanel ten wanatangaza kuwa wataonyesha!
 
Twente Enschede1Internazionale123'
Werder Bremen0Tottenham Hotspur225'
Benfica1Hapoel Tel Aviv023'
Lyon1Schalke 04024'
Bursaspor0Valencia124'
Manchester United0Rangers025'
Barcelona1Panathinaikos125'
FC Copenhagen0FK Rubin Kazan025'
 
ATN - AGAPE TV - Ya NABII Mwingira - wanaonyesha MAN U vs RANGERS LIVE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Bwana Asifiwe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom