Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
utaliwa pesa wewe.
hakuna hela inayoliwa na sio kwamba nawapenda bayern naah sitaki kuhusikia mdomo mchafu wa mourhino akishinda hili kombe tena.
utaliwa pesa wewe.
Safi sana Inter...hahaaaaaaaaaaaa,ukuta wa Inter ni kiboko...Mourinho ni kiboko....Kiungo cha Inter ni kiboko....yaani wote walirudi kulinda goli...mpaka Eto'o........Refa pamoja na kuwapa Barca goli la offside ya wazi lakini ngoma imewaangukia Barca doro.........Pole FL1
i can,t bilivu it bro Balatanda nimepata shock ngoja nilale,Arsenal Wenger nimeishiwa nguvu mwenzenu kweli mpira ni ugonjwa
Ribéry received a red card for serious foul play in the UEFA Champions League semi-final first leg against Olympique Lyonnais in Munich on 21 April. The French international was banned for last night's second leg in Lyon, which means that the suspension now remains in place for two further games – the UEFA Champions League final in Madrid on 22 May and the following match in any UEFA club competition for which he is eligible.hahaaaaaaaaaaaaa safi sana, the special one and his team. sasa tusubiri 22 Mei. Ribery) (mbakaji hata cheza. Etoo atajipatia kagoli kazuri, hureeeeeeee
hakuna hela inayoliwa na sio kwamba nawapenda bayern naah sitaki kuhusikia mdomo mchafu wa mourhino akishinda hili kombe tena.
Dark City upo? Kama unashabikia Barca pole.....!!
Na Barca wasipoangalia ata La Liga wanaweza kukosa lol...
Sure...La Liga wanaweza kuikosa,maana hao Madrid wako nyuma kwa point moja,wanawabana mpaka basi,hawapumui
Ebanae this might sound strange ila nataka Inter washinde (I secretly support them na Barcelona), hao Bayern I just don't like them and never will.hahahaaa! technically hata mimi napata unafuu to wish Buyern kwasababu nitakubali kwamba tulitolewa na mabingwa. Lakini nataka kuona kichaa cha 'the special one' amewalamba Chelsea sasa amewatoa kiburi Barca. Wacha dogo apete tu.
"As the Inter players celebrated on the Camp Nou pitch, someone turned the sprinklers on. Why can't clubs who lose these semi-finals just lose them with good grace? Another point - Barca wanted a wet surface after last week's dry pitch in Milan, but a lot of their players were slipping tonight. Did they overdo it?"
Ebanae this might sound strange ila nataka Inter washinde (I secretly support them na Barcelona), hao Bayern I just don't like them and never will.
You should have been Prayed before starting the war, sio unaanza vita then katikati ndio unakumbuk kuwa kuna Mungu. Ukiulizwa ulipoanza kupigana uliuwa na Nguvu za nani utasemaje!!!.Vijana msikate tamaa pamoja a mwamuz wao final tutaingia ongezen maombi walichofanya kupunguza magoli
"As the Inter players celebrated on the Camp Nou pitch, someone turned the sprinklers on. Why can't clubs who lose these semi-finals just lose them with good grace? Another point - Barca wanted a wet surface after last week's dry pitch in Milan, but a lot of their players were slipping tonight. Did they overdo it?"