UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
Huenda Gibson akaleta mabadiliko mana hawa rangers wanatumvinyo wa kiscotish wagumu kweli...
 
Dah hili kundi la Man UTD naona linamashaka mwaka huu...au nitimu yetu mashaka?? 6 minutes added time..bado Ubao wa magoli umenuna tu
 
Barcelona4-1Panathinaikos
Benfica2-0Hapoel Tel-Aviv
Bursaspor0-4Valencia
FC Copenhagen1-0Rubin Kazan
FC Twente2-2Inter Milan
Lyon1-0Schalke 04
Man Utd0-0Rangers
Werder Bremen2-2Tottenham
 
Wadau hebu mwenye uhakika anisaidie kuniambia ukweli kama hawa ATN= AGAPE TELEVISION NETWORK, wanaonyesha hii michuano maana kuna mdau amenieleza habari hizi hivi punde
 
Hiyo tv ni ya dini, sijui wakati wa matangazo ya bia ya heineken wanafanyeje?
 
ATN waonyeshe UEAFA mmh! watakuwa wamepotea njia au....
Yes, walionesha match day 1&2 na wakasema wataonesha hadi mechi ya fainali hapo May.
Nakumbuka hakukuwa na matangazo ya biashara siku hiyo kwani walisema Pastor na Mkewe ndo walilipia gharama za matangazo, hivyo wanaomba watu wenye biashara zao kumsaidia pastor kupitia matangazo ya biashara ili wawe kama wadhamini.
Sasa sijajua ni aina gani ya matangazo yanayoruhusiwa na yale ambayo hayataruhusiwa.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom