UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
Hahahaha ebanae Mourinho anavyokimbiaga uwanjani ananiacha hoi.
 
hahaaaaaaaaaaaaa safi sana, the special one and his team. sasa tusubiri 22 Mei. Ribery) (mbakaji hata cheza. Etoo atajipatia kagoli kazuri, hureeeeeeee
 
i can,t bilivu it bro Balatanda nimepata shock ngoja nilale,Arsenal Wenger nimeishiwa nguvu mwenzenu kweli mpira ni ugonjwa
 
guardiola mwanaume akiongea na vyombo vya habari uwe na adabu utajizalilisha
polen sana wapenz wa barca huu ndio mpira kuna kushindwa na kushinda lakini akuna ushondi mzuri kama a kutangaza kabla na ukapita...
huyo ndio josee morinyoooooooooooooooooooooo
 
Safi sana Inter...hahaaaaaaaaaaaa,ukuta wa Inter ni kiboko...Mourinho ni kiboko....Kiungo cha Inter ni kiboko....yaani wote walirudi kulinda goli...mpaka Eto'o........Refa pamoja na kuwapa Barca goli la offside ya wazi lakini ngoma imewaangukia Barca doro.........Pole FL1
 
hahaaaaaaaaaaaaa safi sana, the special one and his team. sasa tusubiri 22 Mei. Ribery) (mbakaji hata cheza. Etoo atajipatia kagoli kazuri, hureeeeeeee
UEFA's Control and Disciplinary Body has handed a three-game suspension to Franck Ribéry for serious foul play in FC Bayern München's UEFA Champions League semi-final first leg.
FC Bayern München's Franck Ribéry will miss the UEFA Champions League final after the UEFA Control and Disciplinary Body today decided to suspend the winger for three UEFA club competition matches for assault.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom