Sound great, if real what your saying is going to happen.Wizara na uongozi wa Chuo utajifunza namna bora ya kuendesha Chuo na si kuingiza Siasa kwenye Taasisi muhimu kama hii.Kwa taarifa nilizo pata toka kwa prime minister wa UDSM ni kwamba,ingawa maandamano yame zuiliwa,.. kesi ya kucheleweshwa kufungua chuo na hivyo kunyima wanafunzi kupiga kura ina funguliwa leo!!
Kwa taarifa nilizo pata toka kwa prime minister wa UDSM ni kwamba,ingawa maandamano yame zuiliwa,.. kesi ya kucheleweshwa kufungua chuo na hivyo kunyima wanafunzi kupiga kura ina funguliwa leo!!