Elections 2010 UDSM wapeleka kesi mahakamani

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Kwa taarifa nilizo pata toka kwa prime minister wa UDSM ni kwamba,ingawa maandamano yame zuiliwa,.. kesi ya kucheleweshwa kufungua chuo na hivyo kunyima wanafunzi kupiga kura ina funguliwa leo!!
 
Kwa taarifa nilizo pata toka kwa prime minister wa UDSM ni kwamba,ingawa maandamano yame zuiliwa,.. kesi ya kucheleweshwa kufungua chuo na hivyo kunyima wanafunzi kupiga kura ina funguliwa leo!!
Sound great, if real what your saying is going to happen.Wizara na uongozi wa Chuo utajifunza namna bora ya kuendesha Chuo na si kuingiza Siasa kwenye Taasisi muhimu kama hii.
 
HAO WANAFUNZI WAACHANE NA HIYO BIASHARA YA KUFUNGUA KESI, HAINA TIJA KWA SABABU MWISHO WAKE UNAJULIKANA HAWATAPATA HIYO HAKI.NAWASHAURI WAFANYE MAMBO AMBAYO NI STRATEGIC, KAMA VILE TO PERSUADE THEIR RELATIVES AND CLOSE FRIENDS TO VOTE FOR THE ALREADY KNOWN SAVIOUR OF THE PEOPLE IN OUR COUNTRY (TRUE CANDIDATE WITH A A REAL PHd).
 
huo muda wa kwenda kufuatilia kesi.. october 31st si wangekwenda vituoni.. tu! wanajiita wanapapinduzi kwa nini wasipigane kisawasawa hata kama kutembea kwa miguu hadi vituoni.. instead of kukaa kwenye kideo na kuangali upuuzi "BIG BROTHER"
 
Hawa wanafunzi wanatumiwa na JK na CCM kwa maana ya viongozi wao ili kuahirisha uchaguzi kwa sababu CCM is not ready for it. Haki ya wanafunzi ni kuja mapema na kudai fidia lakini siyo kuahirisha uchaguzi
 
Kwa taarifa nilizo pata toka kwa prime minister wa UDSM ni kwamba,ingawa maandamano yame zuiliwa,.. kesi ya kucheleweshwa kufungua chuo na hivyo kunyima wanafunzi kupiga kura ina funguliwa leo!!

They had all the time in the world and they just kept quiet, sasa ndo wanaanza kuzima moto. One week iliyobaki ni rahisi kupigwa danadana na msifike popote. Where were you guys....????
 
Nilishauri jambo hili muda mrefu uliopita na kwa nini hawakulifikilia at the beginning? waache tu tupige kura maana wamejichelewesha bure. Au waende vituoni kwa gharama zao kama sasa wanauchungu na serikali ya sisi m.
 
Hakuna lolote hapo,wamekosea maana muda wote walikuwa kimya halafu zimebaki siku chache ndo wanaufngua kesi.Kwanza wanajidhalilisha kama wanataaluma,maana inaonesha hawana mipango inayoendana na muda,pia hawaangalii hali halisi ya mazingira.Suala la Uchaguzi kuahirishwa halina faida na tija kwa watanzania,uchaguzi ni gharama wasiwaongezee wadau wa uchaguzi gharama kwa sababu ya uzembe wao.Watumie akili katika kufanya maamuzi sio kukurupuka dakika za mwisho.
 
mambo mengine itsba total waste of time. jana tu bodi ya TAHLISO wamekana kuidhinisha hayo maandamano na kumtwisha zigo m/kiti wao. na walikana kuliona suala zima la mpango wa serikali kuwanyimma haki yao ya kikatiba wakitoa sababu kiwa, wanafunzi wengi ni mwaka wa mwisho na wengine wanajiunga sasa kwagiyo wananafasi ya kupiga kura huko walikojiandikisha.
Sasa hii kesi sijaelewa ni UDSM kama ilivyo an kama mwanachama wa TAHLSO?
 
Wana JF kuna mwenye Up date ya habari hii ya kesi wanachuo vs NEC ? tunaomba mtujuze.
 
Kuna hatari mambo si shwari kwa CCM, hivyo wanataka muda zaidi wa kujipanga. Inawezekana kabisa kuwa mambo yao ya kuchakachua kura hayajakaa sawa ukizingatia kuwa kila walifanyalo linajulikana bila ya kujua ni nani anayetoa siri. Hapa wanataka kuahirisha uchaguzi ili kutafuta mchawi ili waweze kuchakachua kura kwa kujinafasi. Kuna haja ya makusudi kufuatilia hilin suala kwa kina na kujua hatma yake. Nakumbuka muda si mwingi wanachuo walikuwa na malumbano na mwenyekiti wa TALHISO, na kudai anatumiwa, kavunja katiba na taarifa anazotoa ni za uongo kwani wengi wa wanachuo wamejiandika majumbani kwao. Sasa iweje leo warudi mwanzo na kuenda mahakamani kama si kutumiwa? Walikuwa wapi toka muda mrefu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom