UDSM tupunguzeni masifa sasa

Watu bahna, ule ni utambulisho wao. They are proud of! wacha wavae wanajikubali ni wanafunzi mbona askari anapita na nguo zake popote? Huo ni utambulisho kuwa yeye ni mwanafunzi sio dhambi. Wacha wafurahie wakati ukipita basi.
Basi wavae tu sare kama hao maaskari kieleweke. Na mashati yapigwe nembo kubwa UDSM,, alafu kitambulisho mtu akiwa mbali hwez kukujua ila uniform ndo yenyewe.
 
Basi wavae tu sare kama hao maaskari kieleweke. Na mashati yapigwe nembo kubwa UDSM,, alafu kitambulisho mtu akiwa mbali hwez kukujua ila uniform ndo yenyewe.
hahaha
 
Wapo wadogo zao MUCE nao wamekuwa kama mbuzi... Muda wote wana kamba
 
Wapo wadogo zao MUCE nao wamekuwa kama mbuzi... Muda wote wana kamba
udsm kuna ugonjwa flan wakujiona tangu nilipoingiaga hapa nikaona huu ugonjwa ila sikuupenda mimi ,, watu wanafrahii kuitwa UDSM ila hajui kuna maisha baada ya chuo
 
Aizeee mkuu hii kero sana mana kuna kajamaa kamekuja huku mbeya bado kanavaa likamba lake shingoni kutoka udsm..yani kero tupu hizi
 
udsm kuna ugonjwa flan wakujiona tangu nilipoingiaga hapa nikaona huu ugonjwa ila sikuupenda mimi ,, watu wanafrahii kuitwa UDSM ila hajui kuna maisha baada ya chuo
Huo ugonjwa unaitwa "ULIMBUKENI" vile vikamba vinazalisha tabia flan flan sio za kiafrika... Kati ya neno na neno kunakuwa na msamiati wa kigeni kuonesha msisitizo... Madogo wanasumbua sana. Ila poa wakishamaliza wanarudi kwao hakuna uzungu tena
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kumbe tatizo ni hilo neno UDSM Student..... Maana hata akilivaa hilo kamba sioni tofauti na nguo yake nyingine yoyote au hata begi lake. Nimegundua tatizo lenu hamtaki neno UDSM.... Immagine lingekuwa kamba halina maandishi hayo.... Msingeongea. Vaeni tu bhana, tatizo nini hapo mtu anapita na likamba lake shingoni?
 
Kuna kujisahau sio sifa kama uhisivyo na sio wote uko na bias tu. Nimewahi fika Moro na kitambulisho cha Law School shingoni (sio makusudi)
 
Kuna kujisahau sio sifa kama uhisivyo na sio wote uko na bias tu. Nimewahi fika Moro na kitambulisho cha Law School shingoni (sio makusudi)
Hyo ulisahau ww ndo maana hadi leo unakumbuka hyo event sasa wenzio UDSM, MUCE n. k ni sehemu ya basic needs. Kila anapokuwepo ni lazima avae ID shingon
 
Hiv ndio hao wasomi ambao mtu hata ukimuuliza swali kulingana na taaluma yake anajizungusha?
!!?,gedree za xx nyingi za kupeana ila si za uwezo wa mtu
 
Sishangai, UDSM ndo chuo kinachoongoza kwa kupokea washamba wengi kutoka mikoani wengine huwa wanabadilika wakifika mwaka wa tatu na wengine ndo wanabaki hivyo hivyo mpaka huku maofisini bado ni wanama tu
Ndio chuo pekee kinachopokea Gifted na Talented.

Chuo chenye Ma-TO au vipanga wa masomo kitaifa kwenye mitihani ya kidato cha nne na sita.

Ndio chuo pekee ambacho wanafunzi wake huweza kupata nafasi ya kuongea na viongozi wa kiulimwengu kama viongozi hao wakija Tanzania. Mfano G. Bush, Obama n.k.

Ndio chuo pekee ambacho kipo katika Noti ya sh.500 ya Tanzania.

Ndio Chuo pekee ambacho kinakozi nyingi na maprofesa wakutosha kuliko chuo chochote.


Sasa we mtu asomaye katika chuo hicho utawezaje kumwita mshamba ikiwa wewe hufikia hata nusu ya IQ yake. Au ujanja kwako ni UPI??

Acha wajivunia mafanikio yao, maana hata wao wanakuona umshamba.

Kila MTU na afurahie maisha na mafanikio yake.

Safi sana Wadogo zetu wa Udsm mnaonyesha uzalendo mkubwa Sana kwa Chuo chenu.
 

Baadhi ya Watanzania wamechanganyikiwa Mkuu.

Mtu na mapenzi yake kwa chuo chake eti Ushamba. Yaani Elimu kweli ni muhimu.

Mbona kuna watu wanavaa majezi ya Man U, Liverpool n.k. hamuwasemi. Hayo ni mapenzi ya mtu jamani.

Kila mtu anao Uhuru wake katika kuvaa ilimradi asivunje sheria.
 
ukanda wa ziwa mkoa gani mkuu niweke wazi, ilikuwa miaka ipi, huenda nilikuwapo kipind hicho?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…